Nenda kwa yaliyomo

Imamu Hadi (a.s) : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 103: Mstari 103:
Riwaya zilizonakuluwa kutoka kwa Imamu Hadi (a.s) zinahusiana na masuala ya [[Tawhidi]] (upwekeshaji wa Mungu), [[Uimamu au Uongozi|Imamah]] (uongozi wa kiimamu), [[ziara]] (sala na salamu takatifu), [[tafsiri ya Qur'an]], na masuala mbalimbali ya fiqhi kamakama vile; [[tohara]] (usafi), [[sala]], [[saumu]], [[khumsi]] (seheme maalumu ya kipato), [[zakaat]] (zaka), [[ndoa]], na maadili. Zaidi ya riwaya 21 kutoka kwa Imamu Hadi (a.s) zimenukuliwa kuhusiana na Tawhid na [[kujiepusha]] na shirki (ushirikina). [99]

Kuna barua iliyoka kwa Imamu Hadi (a.s) kuhusu suala la [[jabru]] (shinikizo la mungu katika matendo ya wanadamu) na [[ikhtiyaru]] (uhuru). Katika barua hiyo, ile Hadithi maarufu isemayo: Hakuna shinikizo la lazima wala ihtiyari huria, bali ni kati ya mambo mawili hayo ''(لا جبر و لا تفویض بل امر بین الاَمرین)'' imefafanuliwa kulingana na [[Qur'an Kareem|Qur'an]], na misingi ya elimu ya tawhidi ya [[shia|Kishia]], katika ufafanuzi huo wa masuala ya jabr na ikhtiyaru.[100] Miongoni mwa Hadithi zilizonukuliwa kuhusiana na mijadala mbali mbali ya Imamu Hadi (a.s), ni Hadithi zinazo husiana na ithibati juu ya masuala ya jabru na ikhtiyaru. [101]
Kuna barua iliyoka kwa Imamu Hadi (a.s) kuhusu suala la [[jabru]] (shinikizo la mungu katika matendo ya wanadamu) na [[ikhtiyaru]] (uhuru). Katika barua hiyo, ile Hadithi maarufu isemayo: Hakuna shinikizo la lazima wala ihtiyari huria, bali ni kati ya mambo mawili hayo ''(لا جبر و لا تفویض بل امر بین الاَمرین)'', imefafanuliwa kulingana na [[Qur'an Kareem|Qur'an]], na misingi ya elimu ya tawhidi ya [[shia|Kishia]], katika ufafanuzi huo wa masuala ya jabr na ikhtiyaru.[100] Miongoni mwa Hadithi zilizonukuliwa kuhusiana na mijadala mbali mbali ya Imamu Hadi (a.s), ni Hadithi zinazo husiana na ithibati juu ya masuala ya jabru na ikhtiyaru. [101]

=== Ziara (Sala na Salamu) ===
=== Ziara (Sala na Salamu) ===
Mstari 115: Mstari 115:
Katika ripoti ya [[Masudi]], mwanahistoria wa karne ya nne Hijiria, emeelezwa ya kwamba; kuna watu waliomwambia Mutawakkil kwamba nyumbani kwa Imamu Hadi (a.s) kulikuwa na silaha za kivita pamoja na barua kutoka kwa wafuasi wa madhehebu ya Shia. Hilo lilipelekea Mutawakkil kutuma maafisa wake kadhaa kuivamia nyumba ya Imam Hadi (a.s) bila ya taarifa za awali. [106] Pale walipompeleka Imamu kwenye kikao cha Mutawakkil, Khalifa alikuwa na kikombe cha divai (pombe) mkononi mwake na akamkaribisha Imamu kinywaji hicho. [107] Imam alikataa ombi la Mutawakkil akisema kuwa katu mwili na damu yake haijawahi kuchafuliwa na [[divai]]. [108] Kisha Mutawakkil akamwomba Imam amsomee shairi ambalo lingemfurahisha. [109] Mwanzo Imamu alikataa ombi lake, ila baada ya Mutawkkil kusisitiza zaidi na zaidi, Imamu Hadi (a.s) akasoma shairi lifuatalo:

  باتوا علی قُلَلِ الأجبال تحرسهم غُلْبُ الرجال فما أغنتهمُ القُللُ
<center>باتوا علی قُلَلِ الأجبال تحرسهم * غُلْبُ الرجال فما أغنتهمُ القُللُ</center>
واستنزلوا بعد عزّ عن معاقلهم فأودعوا حُفَراً، یا بئس ما نزلوا
<center>واستنزلوا بعد عزّ عن معاقلهم * فأودعوا حُفَراً، یا بئس ما نزلوا</center>
ناداهُم صارخ من بعد ما قبروا أین الأسرة والتیجان والحلل؟
<center>ناداهُم صارخ من بعد ما قبروا * أین الأسرة والتیجان والحلل؟</center>
أین الوجوه التی کانت منعمة من دونها تضرب الأستار والکللُ
<center>أین الوجوه التی کانت منعمة * من دونها تضرب الأستار والکللُ</center>
فأفصح القبر عنهم حین ساء لهم تلک الوجوه علیها الدود یقتتل (تنتقل)
<center>فأفصح القبر عنهم حین ساء لهم * تلک الوجوه علیها الدود یقتتل (تنتقل)</center>
قد طالما أکلوا دهراً وما شربوا فأصبحوا بعد طول الأکل قد أُکلوا
<center>قد طالما أکلوا دهراً وما شربوا * فأصبحوا بعد طول الأکل قد أُکلوا</center>
وطالما عمروا دوراً لتحصنهم ففارقوا الدور والأهلین وانتقلوا
<center>قد طالما أکلوا دهراً وما شربوا * فأصبحوا بعد طول الأکل قد أُکلوا</center>
وطالما کنزوا الأموال وادخروا فخلفوها علی الأعداء وارتحلوا
<center>وطالما کنزوا الأموال وادخروا * فخلفوها علی الأعداء وارتحلوا</center>
أضحت مَنازِلُهم قفْراً مُعَطلة وساکنوها إلی الأجداث قد رحلوا.[110]
<center>.أضحت مَنازِلُهم قفْراً مُعَطلة * وساکنوها إلی الأجداث قد رحلوا</center>

Maana ya Shairi hili ni kwamba: Walikuwa juu ya vilele vya milima wakilindwa na wanaume wenye nguvu. Lakini milima hiyo haukuwa na faida kwao. Waliondoka kutoka kwenye makazi yao ya heshima na hatimae kuingizwa mashimoni, wameporomoka mporomoka baya ulioje. Baada ya kuingizwa kaburini, sauti ililingana juu yao: "Vile Viti vya enzi na mataji ya kifalme yameenda wapi? Nyuso zilizofurahia neema na kufunikwa na pazia zimefikia wapi?" Na kaburi likajibu: "Wadudu wanakula kwa kuwaniana nyuso hizi. Walivaa na kula kwa muda mrefu na leo ni yao kuliwa. Walijenga nyumba kwa muda mrefu ili kujilinda na kisha wakawaachana nyumba hizo na kutengana na watu na wao wenyewe wakatokomea. Walikusanya mali kwa muda mrefu na kuzihifadhi na mwishowe wakawaachia maadui zao na wakaenda waliokwenda. Nyumba zao zilibaki tupu na wenyeji wao wakasafiri kuelekea kaburini. [111]
:Maana ya Shairi hili ni kwamba: Walikuwa juu ya vilele vya milima wakilindwa na wanaume wenye nguvu. Lakini milima hiyo haukuwa na faida kwao. Waliondoka kutoka kwenye makazi yao ya heshima na hatimae kuingizwa mashimoni, wameporomoka mporomoka baya ulioje. Baada ya kuingizwa kaburini, sauti ililingana juu yao: "Vile Viti vya enzi na mataji ya kifalme yameenda wapi? Nyuso zilizofurahia neema na kufunikwa na pazia zimefikia wapi?" Na kaburi likajibu: "Wadudu wanakula kwa kuwaniana nyuso hizi. Walivaa na kula kwa muda mrefu na leo ni yao kuliwa. Walijenga nyumba kwa muda mrefu ili kujilinda na kisha wakawaachana nyumba hizo na kutengana na watu na wao wenyewe wakatokomea. Walikusanya mali kwa muda mrefu na kuzihifadhi na mwishowe wakawaachia maadui zao na wakaenda waliokwenda. Nyumba zao zilibaki tupu na wenyeji wao wakasafiri kuelekea kaburini. [111]

Masudi ameeleza akisema ya kwamba; Mashairi ya Imamu Hadi (a.s), yalimwathiri Mutawakkil na wenzake kikaoni humo, kiasi ya kwamba uso wa Mutawakkil ulionekana kuroa machozi, na akaamuru meza ya divai iondolewe na kumrudisha Imamu nyumbani kwake kwa heshima. [112]

Automoderated users, confirmed, movedable
7,127

edits