Nenda kwa yaliyomo

Imamu Hadi (a.s) : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 99: Mstari 99:
== Hadithi ==
== Hadithi ==


Kuna Hadithi kadhaa katika vyanzo vya Kishia, zilizonukuliwa kutoa kwa Imamu Hadi (a.s). Hadithi hizo zinapatikana katika vyanzo mbali mbali maarufu vya Kishia, kama vile Kutubu al-Arba'ah, Tuhafu al-'Uqul, Misbahu al-Mutahajjid, al-Ihtijaaju, na Tafsiri 'Ayyashi. Ni idadi chache ya Hadithi zilizonakuluwa kutoka kwa Imamu Hadi (a.s) ikilinganishwa na Maimamu wengine waliotangulia kabla yake. Ataaridi anachukulia sababu ya suala hili kuwa linatokana na kukaa kwake huko Samarra kwa kulazimishwa akiwa chini ya utawala wa Banu Abbasi, ambao haukumpa yeye fursa ya kusambaza elimu na maarifa yake. [97] Imamu Hadi (a.s) alitajwa na kutambuliwa kwa majina mbali mbali, katika riwaya zilizonakiliwa kutoka kwake (a.s). Miongoni mwa majina hayo ni; Abu al-Hassan al-Hadi, Abu al-Hassan al-Thaalith, Abu al-Hassan al-Akhiir, Abu al-Hassan al-Askari, al-Faqih al-Askari, al-Rajul, al-Tayyib, al-Akhir, al-Sadiq bin al-Sadiq, na al-Faqih. Imesemekana kuwa matumizi ya majina hayo mbalimbali ilikuwa ni mbinu ya taqiyya (kuficha siri). [98]
Kuna Hadithi kadhaa katika vyanzo vya Kishia, zilizonukuliwa kutoa kwa Imamu Hadi (a.s). Hadithi hizo zinapatikana katika vyanzo mbali mbali maarufu vya Kishia, kama vile [[Kutub al-Ar’baa (Vitabu Vinne)|Kutubu al-Arba'ah,]] [[Tuhafu al-'Uqul]], [[Misbahu al-Mutahajjid]], [[al-Ihtijaaju]] na [[Tafsiri 'Ayyashi]]. Ni idadi chache ya Hadithi zilizonakuluwa kutoka kwa Imamu Hadi (a.s) ikilinganishwa na Maimamu wengine waliotangulia kabla yake. Ataaridi anachukulia sababu ya suala hili kuwa linatokana na kukaa kwake huko Samarra kwa kulazimishwa akiwa chini ya [[utawala wa Banu Abbasi]], ambao haukumpa yeye fursa ya kusambaza elimu na maarifa yake. [97] Imamu Hadi (a.s) alitajwa na kutambuliwa kwa majina mbali mbali, katika riwaya zilizonakiliwa kutoka kwake (a.s). Miongoni mwa majina hayo ni; Abu al-Hassan al-Hadi, Abu al-Hassan al-Thaalith, Abu al-Hassan al-Akhiir, Abu al-Hassan al-Askari, al-Faqih al-Askari, al-Rajul, al-Tayyib, al-Akhir, al-Sadiq bin al-Sadiq, na al-Faqih. Imesemekana kuwa matumizi ya majina hayo mbalimbali ilikuwa ni mbinu ya [[taqiyyah]] (kuficha siri). [98]


Riwaya zilizonakuluwa kutoka kwa Imamu Hadi (a.s) zinahusiana na masuala ya Tawhid (upwekeshaji wa Mungu), Imamah (uongozi wa kiimamu), ziara (sala na salamu takatifu), tafsiri ya Qur'an, na masuala mbalimbali ya fiqhi kamakama vile; tohara (usafi), sala, saumu, khumsi (seheme maalumu ya kipato), zakaat (zaka), ndoa, na maadili. Zaidi ya riwaya 21 kutoka kwa Imamu Hadi (a.s) zimenukuliwa kuhusiana na Tawhid na kujiepusha na shirki (ushirikina). [99]
Riwaya zilizonakuluwa kutoka kwa Imamu Hadi (a.s) zinahusiana na masuala ya Tawhid (upwekeshaji wa Mungu), Imamah (uongozi wa kiimamu), ziara (sala na salamu takatifu), tafsiri ya Qur'an, na masuala mbalimbali ya fiqhi kamakama vile; tohara (usafi), sala, saumu, khumsi (seheme maalumu ya kipato), zakaat (zaka), ndoa, na maadili. Zaidi ya riwaya 21 kutoka kwa Imamu Hadi (a.s) zimenukuliwa kuhusiana na Tawhid na kujiepusha na shirki (ushirikina). [99]
Automoderated users, confirmed, movedable
7,127

edits