Nenda kwa yaliyomo

Imamu Hadi (a.s) : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 101: Mstari 101:
Kuna Hadithi kadhaa katika vyanzo vya Kishia, zilizonukuliwa kutoa kwa Imamu Hadi (a.s). Hadithi hizo zinapatikana katika vyanzo mbali mbali maarufu vya Kishia, kama vile [[Kutub al-Ar’baa (Vitabu Vinne)|Kutubu al-Arba'ah,]] [[Tuhafu al-'Uqul]], [[Misbahu al-Mutahajjid]], [[al-Ihtijaaju]] na [[Tafsiri 'Ayyashi]]. Ni idadi chache ya Hadithi zilizonakuluwa kutoka kwa Imamu Hadi (a.s) ikilinganishwa na Maimamu wengine waliotangulia kabla yake. Ataaridi anachukulia sababu ya suala hili kuwa linatokana na kukaa kwake huko Samarra kwa kulazimishwa akiwa chini ya [[utawala wa Banu Abbasi]], ambao haukumpa yeye fursa ya kusambaza elimu na maarifa yake. [97] Imamu Hadi (a.s) alitajwa na kutambuliwa kwa majina mbali mbali, katika riwaya zilizonakiliwa kutoka kwake (a.s). Miongoni mwa majina hayo ni; Abu al-Hassan al-Hadi, Abu al-Hassan al-Thaalith, Abu al-Hassan al-Akhiir, Abu al-Hassan al-Askari, al-Faqih al-Askari, al-Rajul, al-Tayyib, al-Akhir, al-Sadiq bin al-Sadiq, na al-Faqih. Imesemekana kuwa matumizi ya majina hayo mbalimbali ilikuwa ni mbinu ya [[taqiyyah]] (kuficha siri). [98]

Riwaya zilizonakuluwa kutoka kwa Imamu Hadi (a.s) zinahusiana na masuala ya Tawhid (upwekeshaji wa Mungu), Imamah (uongozi wa kiimamu), ziara (sala na salamu takatifu), tafsiri ya Qur'an, na masuala mbalimbali ya fiqhi kamakama vile; tohara (usafi), sala, saumu, khumsi (seheme maalumu ya kipato), zakaat (zaka), ndoa, na maadili. Zaidi ya riwaya 21 kutoka kwa Imamu Hadi (a.s) zimenukuliwa kuhusiana na Tawhid na kujiepusha na shirki (ushirikina). [99]
Riwaya zilizonakuluwa kutoka kwa Imamu Hadi (a.s) zinahusiana na masuala ya [[Tawhidi]] (upwekeshaji wa Mungu), [[Uimamu au Uongozi|Imamah]] (uongozi wa kiimamu), [[ziara]] (sala na salamu takatifu), [[tafsiri ya Qur'an]], na masuala mbalimbali ya fiqhi kamakama vile; [[tohara]] (usafi), [[sala]], [[saumu]], [[khumsi]] (seheme maalumu ya kipato), [[zakaat]] (zaka), [[ndoa]], na maadili. Zaidi ya riwaya 21 kutoka kwa Imamu Hadi (a.s) zimenukuliwa kuhusiana na Tawhid na [[kujiepusha]] na shirki (ushirikina). [99]

Kuna barua iliyoka kwa Imamu Hadi (as) kuhusu suala la jabru (shinikizo la mungu katika matendo ya wanadamu) na ikhtiyaru (uhuru). Katika barua hiyo, ile Hadithi maarufu isemayo: “لا جبر و لا تفویض بل امر بین الاَمرین” "Hakuna shinikizo la lazima wala htiyari huria, bali ni kati ya mambo mawili hayo" imefafnuliwa kulingana na Qur'an, na misingi ya elimu ya tawhidi ya Kishia, katika ufafanuzi huo wa masuala ya jabr na ikhtiyaru. Miongoni mwa Hadithi zilizonukuliwa kuhusiana na mijadala mbali mbali ya Imamu Hadi (a.s), ni Hadithi zinazo husiana na ithibati juu ya masuala ya jabru na ikhtiyaru. [100]
Kuna barua iliyoka kwa Imamu Hadi (a.s) kuhusu suala la [[jabru]] (shinikizo la mungu katika matendo ya wanadamu) na [[ikhtiyaru]] (uhuru). Katika barua hiyo, ile Hadithi maarufu isemayo: “Hakuna shinikizo la lazima wala ihtiyari huria, bali ni kati ya mambo mawili hayo” ''(لا جبر و لا تفویض بل امر بین الاَمرین)'' imefafnuliwa kulingana na [[Qur'an Kareem|Qur'an]], na misingi ya elimu ya tawhidi ya [[shia|Kishia]], katika ufafanuzi huo wa masuala ya jabr na ikhtiyaru.[100] Miongoni mwa Hadithi zilizonukuliwa kuhusiana na mijadala mbali mbali ya Imamu Hadi (a.s), ni Hadithi zinazo husiana na ithibati juu ya masuala ya jabru na ikhtiyaru. [101]

=== Ziara (Sala na Salamu) ===
=== Ziara (Sala na Salamu) ===
Mstari 109: Mstari 109:
:''Makala Asili: [[Ziara ya Jamia Kubra]]''
:''Makala Asili: [[Ziara ya Jamia Kubra]]''

Kuna Ziara mbili zilizonukuliwa kutoka kwa Imam Hadi, nazo ni; Ziaratu Jami’a al-Kabira [102] na Ziaratu al-Ghadiriyyah. [103] Ziaratu Jami’a al-Kabira, inatambulika kama ni moja wapo ya maandiko yanayotoa elimu juu ya dhana ya Uimamu. [104] Dhana kuu ya Ziaratu al-Ghadiriyyah ni juu ya suala na kufungamana na Maimamu na Kutengana na maadui zao, na maudhui yake ni kuelezea wasifu wa Imam Ali (a.s). [105]
Kuna Ziara mbili zilizonukuliwa kutoka kwa Imam Hadi, nazo ni; Ziaratu Jami’a al-Kabira [102] na [[Ziaratu al-Ghadiriyyah]]. [103] Ziaratu Jami’a al-Kabira, inatambulika kama ni moja wapo ya maandiko yanayotoa elimu juu ya dhana ya Uimamu. [104] Dhana kuu ya Ziaratu al-Ghadiriyyah ni juu ya suala na [[kufungamana na Maimamu]] na [[Kutengana na maadui]] zao, na maudhui yake ni kuelezea [[Sifa na wasifu wa Imamu Ali (a.s)|wasifu wa Imam Ali (a.s]]). [105]

=== Mashairi ya Imamu Hadi (a.s) Mbele ya Mutawakkil ===
=== Mashairi ya Imamu Hadi (a.s) Mbele ya Mutawakkil ===

Katika ripoti ya Masudi, mwanahistoria wa karne ya nne Hijiria, emeelezwa ya kwamba; kuna watu waliomwambia Mutawakkil kwamba nyumbani kwa Imamu Hadi (a.s) kulikuwa na silaha za kivita pamoja na barua kutoka kwa wafuasi wa madhehebu ya Shia. Hilo lilipelekea Mutawakkil kutuma maafisa wake kadhaa kuivamia nyumba ya Imam Hadi (a.s) bila ya taarifa za awali. [106] Pale walipompeleka Imamu kwenye kikao cha Mutawakkil, Khalifa alikuwa na kikombe cha divai (pombe) mkononi mwake na akamkaribisha Imamu kinywaji hicho. [107] Imam alikataa ombi la Mutawakkil akisema kuwa katu mwili na damu yake haijawahi kuchafuliwa na divai. [108] Kisha Mutawakkil akamwomba Imam amsomee shairi ambalo lingemfurahisha. [109] Mwanzo Imamu alikataa ombi lake, ila baada ya Mutawkkil kusisitiza zaidi na zaidi, Imamu Hadi (a.s) akasoma shairi lifuatalo:
Katika ripoti ya [[Masudi]], mwanahistoria wa karne ya nne Hijiria, emeelezwa ya kwamba; kuna watu waliomwambia Mutawakkil kwamba nyumbani kwa Imamu Hadi (a.s) kulikuwa na silaha za kivita pamoja na barua kutoka kwa wafuasi wa madhehebu ya Shia. Hilo lilipelekea Mutawakkil kutuma maafisa wake kadhaa kuivamia nyumba ya Imam Hadi (a.s) bila ya taarifa za awali. [106] Pale walipompeleka Imamu kwenye kikao cha Mutawakkil, Khalifa alikuwa na kikombe cha divai (pombe) mkononi mwake na akamkaribisha Imamu kinywaji hicho. [107] Imam alikataa ombi la Mutawakkil akisema kuwa katu mwili na damu yake haijawahi kuchafuliwa na [[divai]]. [108] Kisha Mutawakkil akamwomba Imam amsomee shairi ambalo lingemfurahisha. [109] Mwanzo Imamu alikataa ombi lake, ila baada ya Mutawkkil kusisitiza zaidi na zaidi, Imamu Hadi (a.s) akasoma shairi lifuatalo:
    
   باتوا علی قُلَلِ الأجبال تحرسهم غُلْبُ الرجال فما أغنتهمُ القُللُ
   باتوا علی قُلَلِ الأجبال تحرسهم غُلْبُ الرجال فما أغنتهمُ القُللُ
Automoderated users, confirmed, movedable
7,127

edits