Nenda kwa yaliyomo

Imamu Hadi (a.s) : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 95: Mstari 95:
=== Mjadala juu ya Uumbwaji wa Qur'an ===
=== Mjadala juu ya Uumbwaji wa Qur'an ===


Imamu Hadi (a.s) katika barua yake kwa mmoja wa Mashia zake, alimwomba katu asitoa maoni juu ya suala la uumbwaji wa Qur'an na asijisimame na upande wowote wa nadharia; si upande wa nadharia ya utangu na umilele kwa Qur'an, wala si upande wa nadharia kuumbwa kwa Qur’ani. Katika barua hiyo, Imamu (a.s), alitaja suala la uumbwaji wa Qur'an kuwa ni mzozo, na aliona kuingia katika mjadala kama huo ni kuhiliki. Pia alisisitiza kuwa Qur'an ni maneno ya Mweny Ezi Mungu na mazungumzo juu ya hilo ni bid'ah (uzushi) ambapo wanaouliza maswali na wanaojibu wote wanashiriki katika dhambi ya uzushi huo. [95] Wakati huo, mjadala juu ya uumbwaji na utangu wa milele wa Qur'an, ulisababisha kuzuka kwa madhehebu na makundi mbali mbali kati ya Waislamu wa Kisunni. Ma'muni na Mu'tasimu walisimama upande wa nadharia ya uumbwaji wa Qur'an na waliwafinya na kuwakandamiza wapinzani wa nadharia hiyo, hivyo kipindi hicho kinasemekana kuwa kilikuwa ni kipindi cha mateso. Walakini, al-Mutawakkil alisaidia hoja ya kuwa Qur'an ni kitabu kilichokuwepo tangu na tangu, na akawasifu wapinzani wa nadharia hiyo, wakiwemo Mashia, kuwa ni waanzishaji wa bid'ah. [96]
Imamu Hadi (a.s) katika barua yake kwa mmoja wa Mashia zake, alimwomba katu asitoa maoni juu ya [[suala la uumbwaji wa Qur'an]] na asijisimame na upande wowote wa nadharia; si upande wa nadharia ya utangu na umilele kwa Qur'an, wala si upande wa nadharia kuumbwa kwa Qur’ani. Katika barua hiyo, Imamu (a.s), alitaja suala la uumbwaji wa Qur'an kuwa ni mzozo, na aliona kuingia katika mjadala kama huo ni kuhiliki. Pia alisisitiza kuwa [[Qur'an Kareem|Qur'an]] ni maneno ya Mweny Ezi Mungu na mazungumzo juu ya hilo ni [[bid'ah]] (uzushi) ambapo wanaouliza maswali na wanaojibu wote wanashiriki katika [[dhambi]] ya uzushi huo. [95] Wakati huo, mjadala juu ya uumbwaji na utangu wa milele wa Qur'an, ulisababisha kuzuka kwa madhehebu na makundi mbali mbali kati ya Waislamu wa [[Kisunni]]. [[Ma'muni]] na Mu'tasimu walisimama upande wa nadharia ya uumbwaji wa Qur'an na waliwafinya na kuwakandamiza wapinzani wa nadharia hiyo, hivyo kipindi hicho kinasemekana kuwa kilikuwa ni [[kipindi cha mateso]]. Walakini, al-Mutawakkil alisaidia hoja ya kuwa Qur'an ni kitabu kilichokuwepo tangu na tangu, na akawasifu wapinzani wa nadharia hiyo, wakiwemo [[shia|Mashia]], kuwa ni waanzishaji wa bid'ah. [96]


== Hadithi ==
== Hadithi ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,127

edits