Nenda kwa yaliyomo

Imamu Hadi (a.s) : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 91: Mstari 91:
=== Mawasiliano na Mashia ===
=== Mawasiliano na Mashia ===


Ingawa wakati wa Imamu Hadi (a.s) kulikuwa na ukandamizaji mkali kutoka upande wa Makhalifah wa Banu Abbasi waliokuwa wakitawala katika zama hizo, ila kulikuwa na uhusiano mzuri kati ya Imamu Hadi (a.s) na Mashia nchini Iraq, Yemen, Misri, na maeneo mengine. [90] Yeye aliwasiliana na Mashia kupitia shirika lake la mawakala na kwa njia ya uandishi wa barua. Kulingana na Riwaya ya Ja'farian, ni kwamba; katika zama za Imamu Hadi (a.s), Qom ilikuwa ni kitovu kikuu cha kukusanyika Mashia wa Iran, na kulikuwa na uhusiano imara kati ya Mashia wa mji huu na Maimamu (a.s). [91] Muhammad bin Daudi Qommi na Muhammad Talhi kutoka Qom walifanya kazi ya kukusanya khumsi, zawadi pamoja na maswali ya watu wa kutoka miji ya jirani na kumfikishia Imam Hadi (a.s). [92] Kulingana na maelezo ya Ja'farian, mawakili, mbali na kukusanya mali za khumsi na kuwasilisha kwa Imamu (a.s), pia walikuwa na jukumu la kutatua masuala ya kisheria na kifiqhi, pamoja na jukumu la kusimamisha na kudhatiti dhana ya Uimamu wa Imamu wa baadaye katika eneo lao. [93] Muhammad Rida Jabbaari, mwandishi wa kitabu “Saazimane Wikaalat” "Shirika la Mawakala", amemtaja Ali bin Ja'afar Hamani, Abu Ali bin Rashid, na Hassan bin Abdul Rabbi kama ni mawakala wa Imamu Hadi (a.s). [94]
Ingawa wakati wa Imamu Hadi (a.s) kulikuwa na ukandamizaji mkali kutoka upande wa [[Makhalifah wa Banu Abbasi]] waliokuwa wakitawala katika zama hizo, ila kulikuwa na uhusiano mzuri kati ya Imamu Hadi (a.s) na Mashia nchini [[Iraq]], [[Yemen]], [[Misri]], na maeneo mengine. [90] Yeye aliwasiliana na Mashia kupitia [[mtandao wake wa mawakala]] na kwa njia ya uandishi wa barua. Kulingana na Riwaya ya Ja'farian, ni kwamba; katika zama za Imamu Hadi (a.s), [[Qom]] ilikuwa ni kitovu kikuu cha kukusanyika Mashia wa [[Iran]], na kulikuwa na uhusiano imara kati ya Mashia wa mji huu na [[Maimamu wa Kishia|Maimamu (a.s)]]. [91] [[Muhammad bin Daudi Qommi]] na [[Muhammad Talhi]] kutoka Qom walifanya kazi ya kukusanya [[khumsi]], zawadi pamoja na maswali ya watu wa kutoka miji ya jirani na kumfikishia Imam Hadi (a.s). [92] Kulingana na maelezo ya Ja'farian, mawakili, mbali na kukusanya mali za khumsi na kuwasilisha kwa Imamu (a.s), pia walikuwa na jukumu la kutatua masuala ya [[kiitikadi]] na [[fiqhi|kifiqhi]], pamoja na jukumu la kusimamisha na kudhatiti dhana ya Uimamu wa Imamu wa baadaye katika eneo lao. [93] Muhammad Rida Jabbaari, mwandishi wa [[kitabu Saazimane Wikaalat]] Mtandao wa Mawakala, amemtaja [[Ali bin Ja'afar Hamani]], Abu Ali bin Rashid, na [[Hassan bin Abdul Rabbi]] kama ni mawakala wa Imamu Hadi (a.s). [94]


=== Mjadala juu ya Uumbwaji wa Qur'an ===
=== Mjadala juu ya Uumbwaji wa Qur'an ===
Automoderated users, confirmed, movedable
7,127

edits