Nenda kwa yaliyomo

Imamu Hadi (a.s) : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 83: Mstari 83:
=== Makabiliano Dhidi ya Maghulat ===
=== Makabiliano Dhidi ya Maghulat ===


[[Ghulat]] walikuwa na harakati kadhaa katika zama za Uimamu wa Imamu Hadi (a.s). Wao walijitambulisha kama ni wafuasi na Masahaba wa karibu wa Hadi (a.s), na walianasibisha maneno na mafunzo yao kwa Maimamu wa Kishia, ikiwa ni pamoja na Imamu Hadi (a.s), habari ambazo kiuhalisia zilikuwa zilichafua kila nyoyo za wale waliofikiwa na habari hizo, kama ilivyoelezwa katika barua ya Ahmad bin Muhammad bin Isa Ash'ari alioituma kwa Imam Hadi (a.s). Kwa kuwa habari hizo zilikuwa wanazihusisha na Maimamu, hivyo hapakuwa na mtu aliyetokea kuwa na ujasiri wa kukataa au kupinga habari hizo. Walifasiri majukumu na mambo yaliyoharamishwa kwa njia yao wenyewe. Kwa mfano, wao katika kuifasiri sala na zaka iliokuja katika Aya isemayo: “وَأَقِيمُواْ الصَّلاَةَ وَآتُواْ الزَّكَاةَ” "Na simamisheni sala na toeni zakat" [79], walisema kuwa; Aya hii haikuwa na maana ya sala na zaka, bali inaashiria watu maalumu kupitia lugha hiyo ya sala na zaka. Imam Hadi (a.s), alijibu kwa kuandika barua kwa Ahmad bin Muhammad kwamba; tafsiri kama hizo sio sehemu ya dini yetu. Jiepusheni na watu kama hao. [80] Fathu bin Yazid Jorjani aliamini kuwa kula na kunywa hailingani na hadhi ya Uimamu, na Maimamu hawana haja ya kula wala kunywa. Katika jibu lake, Imamu Hadi (a.s) alinukuu na kurejelea Aya za Qur’ani zinazo husiana na kula na kunywa kwa Mitume na kutembea kwao katika masoko na akisema: "Kila mwili unahitajia kula na kunywa, isipokuwa Mungu tu ambaye ndiye aliye umba kiwiliwili." [81]
[[Ghulat]] walikuwa na harakati kadhaa katika zama za Uimamu wa Imamu Hadi (a.s). Wao walijitambulisha kama ni wafuasi na Masahaba wa karibu wa Hadi (a.s), na walianasibisha maneno na mafunzo yao kwa [[Maimamu wa Kishia]], ikiwa ni pamoja na Imamu Hadi (a.s), habari ambazo kiuhalisia zilikuwa zilichafua kila nyoyo za wale waliofikiwa na habari hizo, kama ilivyoelezwa katika barua ya [[Ahmad bin Muhammad bin Isa Ash'ari]] alioituma kwa Imam Hadi (a.s). Kwa kuwa habari hizo zilikuwa wanazihusisha na Maimamu, hivyo hapakuwa na mtu aliyetokea kuwa na ujasiri wa kukataa au kupinga habari hizo. Walifasiri [[Wajibat]] na [[Muharamat]] kwa njia yao wenyewe. Kwa mfano, wao katika kuifasiri sala na zaka iliokuja katika Aya isemayo: ''((وَأَقِيمُواْ الصَّلاَةَ وَآتُواْ الزَّكَاةَ ; Na simamisheni sala na toeni zakat))'' [79], walisema kuwa; Aya hii haikuwa na maana ya sala na zaka, bali inaashiria watu maalumu kupitia lugha hiyo ya sala na zaka. Imam Hadi (a.s), alijibu kwa kuandika barua kwa Ahmad bin Muhammad kwamba; tafsiri kama hizo sio sehemu ya dini yetu. Jiepusheni na watu kama hao. [80] Fathu bin Yazid Jorjani aliamini kuwa kula na kunywa hailingani na hadhi ya [[Uimamu au Uongozi|Uimamu]], na Maimamu hawana haja ya kula wala kunywa. Katika jibu lake, Imamu Hadi (a.s) alinukuu na kurejelea Aya za Qur’ani zinazo husiana na kula na kunywa kwa [[Mitume]] na kutembea kwao katika masoko na akisema: Kila mwili unahitajia kula na kunywa, isipokuwa Mungu tu ambaye ndiye aliye umba kiwiliwili. [81]


Imamu wa kumi wa Shia, katika jibu barua ya Sahlu bin Ziyad, iliyo kuja  kumpa khabari za Ughulat wa Ali bin Hasakau, Imamu (a.s) akakanusha uhusiano wa mtu huyo na Ahl al-Bayt (a.s), na kuyatangaza maneno yake kuwa ni maneneo batili, kisha akawataka Mashia wajiepushe naye, na hata akatoa hukumu ya kifo juu yake. Kulingana na barua hiyo, Ali bin Huska aliamini kuwa Imamu Hadi ni Mungu na kwamba yeye ndiye mjumbe (Mtume) na msiri wa Imam Hadi (a.s). [82] Imam Hadi aliwalaani Maghulat kadha akiwemo Muhammad bin Nusayr, anayejulikana kama ndiye mwanzilishi wa madhehebu ya Nusaariyya, [83] Hassan bin Muhammad maarufu kama Ibnu Baba, na Faaris bin Hatam Qazwini. [84]
Imamu wa kumi wa Shia, katika jibu barua ya [[Sahlu bin Ziyad]], iliyo kuja  kumpa khabari za [[Ughulat]] wa [[Ali bin Hasakau]], Imamu (a.s) akakanusha uhusiano wa mtu huyo na [[Ahlul-Bayt (a.s)]], na kuyatangaza maneno yake kuwa ni maneneo batili, kisha akawataka [[shia|Mashia]] wajiepushe naye, na hata akatoa hukumu ya kifo juu yake. Kulingana na barua hiyo, Ali bin Huska aliamini kuwa Imamu Hadi ni Mungu na kwamba yeye ndiye [[mjumbe]] (Mtume) na [[msiri]] wa Imam Hadi (a.s). [82] Imam Hadi [[aliwalaani]] Maghulat kadha akiwemo Muhammad bin Nusayr, anayejulikana kama ndiye mwanzilishi wa [[madhehebu ya Nusaariyya]], [83] Hassan bin Muhammad maarufu kama Ibnu Baba, na [[Faaris bin Hatam Qazwini]]. [84]


Ghulat mwingine aliye jitambulisha kama ni mfuasi wa Imamu Hadi (a.s), alikuwa ni Ahmad bin Muhammad Sayyari, ambaye wengi miongoni wa wataalamu wa nasaba za wapokezi wa Hadithi waliomchukulia kuwa ni miongoni mwa Maghulat, na mwenye madhehebu mabovu. [86] Kitabu chake kiitwacho Al-Qiraa-aatu ndio chanzo chake muhimu cha Hadithi, ambacho wengine wamekitumia kama kama ndio msingi wa ithibati na kielelezo cha kuthibitishia upotoshwaji wa Qur'an. [87] Imam Hadi (a.s), katika barua iliyo nukuliwa na Ibn Shu'bah Harani, alisisitiza ndani yake umuhimu wa ukweli wa Qur'an na kuitambulisha kuwa ndio kigezo cha kuchunguza Hadithi na kutambua yalio sahihi na yasiyo sahihi. [88] Kando na hayo, Imam Hadi (a.s) aliwatetea Mashia ambao kimakosa, walikuwa wakilaumiwa kuwa ni miongoni mwa Maghulati. Kwa mfano, pale wakaazi wa Qom walipo mfukuza Muhammad bin Urmah kwa madai ya Ughulati, Yeye (a.s) aliandika barua kwa watu wa Qom na kumtakasa kutokana na tuhuma hizo za Ughulati. [89]
Ghulat mwingine aliye jitambulisha kama ni [[mfuasi wa Imamu Hadi (a.s)]], alikuwa ni [[Ahmad bin Muhammad Sayyari]], ambaye wengi miongoni wa wataalamu wa nasaba za wapokezi wa Hadithi waliomchukulia kuwa ni miongoni mwa [[Maghulat]], na mwenye madhehebu mabovu. [86] Kitabu chake kiitwacho Al-Qiraa-aatu ndio chanzo chake muhimu cha Hadithi, ambacho wengine wamekitumia kama kama ndio msingi wa ithibati na kielelezo cha kuthibitishia [[upotoshwaji wa Qur'an]]. [87] Imam Hadi (a.s), katika barua iliyo nukuliwa na [[Ibn Shu'bah Harani]], alisisitiza ndani yake umuhimu wa [[ukweli wa Qur'an]] na kuitambulisha kuwa ndio kigezo cha kuchunguza [[Hadithi]] na kutambua yalio [[sahihi]] na yasiyo sahihi. [88] Kando na hayo, Imam Hadi (a.s) aliwatetea Mashia ambao kimakosa, walikuwa wakilaumiwa kuwa ni miongoni mwa Maghulati. Kwa mfano, pale wakaazi wa Qom walipo mfukuza [[Muhammad bin Urmah]] kwa madai ya Ughulati, Yeye (a.s) aliandika barua kwa watu wa Qom na kumtakasa kutokana na tuhuma hizo za Ughulati. [89]


=== Mawasiliano na Mashia ===
=== Mawasiliano na Mashia ===
Automoderated users, confirmed, movedable
7,127

edits