Nenda kwa yaliyomo

Imamu Hadi (a.s) : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 54: Mstari 54:
== Kipindi cha Uimamu ==
== Kipindi cha Uimamu ==


Ali bin Muhammad, alipata uimamu akiwa na umri wa miaka nane mnamo mwaka [[220 Hijiria]]. [40] Kulingana na vyanzo mbali mbali, umri mdogo aliokuwa nao Imam Hadi (a.s) pale aliposhika nafasi ya Uimamu haukupelekea wafuasi wa madhehebu ya Shia kuwa na shaka juu ya Uimamu wake. Kwani hata baba yake (Imamu Jawad) (a.s) naye pia alishika nafasi ya Uimamu akiwa bado na umri mdogo. [41] Kulingana na maandishi ya [[Sheikh Mufidu|Sheikh Mufid]] ni kwamba; Mashia wengi walikubaliana na Uimamu wa Imamu Hadi (a.s) baada ya kuondoka Imamu wa tisa wa Mashia, na ni wachache tu miongoni mwao walio onekana kupingana na Uimamu wake. [42]  
Ali bin Muhammad, alipata uimamu akiwa na umri wa miaka nane mnamo mwaka [[220 Hijiria]]. [40] Kulingana na vyanzo mbali mbali, umri mdogo aliokuwa nao Imam Hadi (a.s) pale aliposhika nafasi ya [[Uimamu au Uongozi|Uimamu]] haukupelekea wafuasi wa madhehebu ya Shia kuwa na shaka juu ya Uimamu wake. Kwani hata baba yake (Imamu Jawad) (a.s) naye pia alishika nafasi ya Uimamu akiwa bado na umri mdogo. [41] Kulingana na maandishi ya [[Sheikh Mufidu|Sheikh Mufid]] ni kwamba; Mashia wengi walikubaliana na Uimamu wa Imamu Hadi (a.s) baada ya kuondoka Imamu wa tisa wa Mashia, na ni wachache tu miongoni mwao walio onekana kupingana na Uimamu wake. [42]  


Kauli Moja ya Wafuasi wa Shia kuhusu kuwafikiana na Uimamu wa Imam Hadi (a.s) na Kutokudai Uimamu na Mtu Mwingine isipokuwa yeye tu, imechukuliwa kama ni hoja imara ya kuthibitisha Uimamu wake. [47] Muhammad bin Ya'aqub al-Kulaini na Sheikh Mufidu wameorodhesha maandiko kadhaa katika kazi zao yanayohusiana na uthibitisho wa Uimamu wake (a.s). [48] Kulingana na maelezo ya Ibnu Shahriashub ni kwamba; Wafuasi wa Shia walifahamu kuhusiana na Uimamu wa Ali bin Muhammad kupitia maandiko yanayohusiana na Imamu wake kutoka kwa Imamu wa awali, ambayo yamenukuliwa na waandishi wa Hadithi kama vile; Ismail bin Mihran na Abu Ja'far al-Ash'ari. [49]
Kauli Moja ya Wafuasi wa Shia kuhusu kuwafikiana na Uimamu wa Imam Hadi (a.s) na Kutokudai Uimamu na Mtu Mwingine isipokuwa yeye tu, imechukuliwa kama ni hoja imara ya kuthibitisha Uimamu wake. [47] [[Muhammad bin Ya'aqub al-Kulaini]] na Sheikh Mufidu wameorodhesha maandiko kadhaa katika kazi zao yanayohusiana na uthibitisho wa Uimamu wake (a.s). [48] Kulingana na maelezo ya Ibnu Shahriashub ni kwamba; Wafuasi wa Shia walifahamu kuhusiana na Uimamu wa Ali bin Muhammad kupitia maandiko yanayohusiana na Imamu wake kutoka kwa Imamu wa awali, ambayo yamenukuliwa na waandishi wa Hadithi kama vile; [[Ismail bin Mihran]] na Abu Ja'far al-Ash'ari. [49]


=== Makhalifa wa Zama Hizo ===
=== Makhalifa wa Zama Hizo ===


Imamu Hadi (a.s) alishika nafasi ya Imamu kwa muda wa miaka 33 (kuanzia mwaka 220 hadi 254 Hijiria) [50]. Katika kipindi hichi, watawala kadhaa wa Banu Abbasi waliingia madarakani. Wakati wa mwanzo mwa Uimamu wake ulisadifiana na wakati wa utawala wa al-Mu'tasim, na ukamalizika wakati wa utawala wa al-Mu'utasim. [51] Hata hivyo, Ibn Shahriashub amesema kuwa; mwisho wa maisha ya Imamu Hadi (a.s) ilikuwa ni katika kipindi cha utawala wa al-Mu'tamidu Abbasi. [52]
Imamu Hadi (a.s) alishika nafasi ya [[Uimamu au Uongozi|Uimamu]] kwa muda wa miaka 33 (kuanzia [[mwaka 220]] hadi [[254 Hijiria]]) [50]. Katika kipindi hichi, watawala kadhaa wa Banu Abbasi waliingia madarakani. Wakati wa mwanzo mwa Uimamu wake ulisadifiana na wakati wa utawala wa al-Mu'tasim, na ukamalizika wakati wa utawala wa al-Mu'utasim. [51] Hata hivyo, Ibn Shahriashub amesema kuwa; mwisho wa maisha ya Imamu Hadi (a.s) ilikuwa ni katika kipindi cha utawala wa al-Mu'tamidu Abbasi. [52]


Imamu wa Kumi wa Shia alitumikia miaka saba ya Uimamu wake wakati wa utawala wa al-Mu'utasim Abbasi. [53] Kulingana na Jassim Hussein, mwandishi wa kitabu "Tarikhe Siyasi Ghaybate Imame Dawazdahom" (Historia ya Kisiasa ya Kughibu kwa Imamu wa Kumi na Mbili), ni kwamba; al-Mu'utasim alikuwa na msimamo laini zaidi kwa Wafuasi wa mahdehebu ya Shia wakati wa Imamu Hadi (a.s), ikilinganishwa na kipindi cha Imamu Jawad (a.s), na alikuwa na imani nao zaidi kuliko viongozi waliopita kabla yake. Mabadiliko haya ya mtazamo wake yalitokana na kuboreshwa kwa hali ya kiuchumi na kupungua kwa uasi wa Alawiyyina (watu wa kizazi cha Mtume (s.a.w.w)). [54] Pia, karibu miaka mitano ya kipindi cha Uimamu wa Imamu wa Kumi, ilikuwa ni wakati wa utawala wa al-Wathiqu, miaka kumi na nne na nusu Uimamu wake ulisadifiana na wakati wa utawala wa al-Mutawakkil, miezi sita ikasadifiana na wakati wa utawala wa al-Muntasir, miaka miwili na miezi tisa ilisadifiana na wakati wa utawala wa al-Mustain, na zaidi ya miaka nane ya Uimamu wake ikawa ndani ya wakati wa utawala wa al-Mu'atazz. [55]
Imamu wa Kumi wa Shia alitumikia miaka saba ya Uimamu wake wakati wa utawala wa [[al-Mu'utasim Abbasi]]. [53] Kulingana na Jassim Hussein, mwandishi wa kitabu [[Tarikhe Siyasi Ghaybate Imame Dawazdahom]] (Historia ya Kisiasa ya Kughibu kwa Imamu wa Kumi na Mbili), ni kwamba; al-Mu'utasim alikuwa na msimamo laini zaidi kwa Wafuasi wa mahdehebu ya Shia wakati wa Imamu Hadi (a.s), ikilinganishwa na kipindi cha Imamu Jawad (a.s), na alikuwa na imani nao zaidi kuliko viongozi waliopita kabla yake. Mabadiliko haya ya mtazamo wake yalitokana na kuboreshwa kwa hali ya kiuchumi na kupungua kwa uasi wa [[Alawiyyina]] (watu wa kizazi cha Mtume (s.a.w.w)). [54] Pia, karibu miaka mitano ya kipindi cha Uimamu wa Imamu wa Kumi, ilikuwa ni wakati wa utawala wa al-Wathiqu, miaka kumi na nne na nusu Uimamu wake ulisadifiana na wakati wa utawala wa [[al-Mutawakkil]], miezi sita ikasadifiana na wakati wa utawala wa al-Muntasir, miaka miwili na miezi tisa ilisadifiana na wakati wa utawala wa al-Mustain, na zaidi ya miaka nane ya Uimamu wake ikawa ndani ya wakati wa utawala wa al-Mu'atazz. [55]


=== Kuhamishwa Kwake Kutoka Madina Kwenda Samarra ===
=== Kuhamishwa Kwake Kutoka Madina Kwenda Samarra ===


Mnamo mwaka 233 Hijiria, al-Mu'tawakilu al-Abbasi alimwamuru Imamu Hadi (a.s) kuhama kutoka Madina kwenda Samarra. [56] Sheikh Mufidu ameandika akisema ya kwamba; hatua hii ilifanyika mwaka 243 Hijri [57], lakini kulingana na utafiti wa Ja'farian, mtafiti wa historia ya Kiislamu, tarehe hii si sahihi. [58] Inasemekana kwamba sababu ya hatua hii ya al-Mu'tawakil ilikuwa ni kutokana na ushawishi na tuhuma dhidi ya Imamu iliyotolewa na Abdullah bin Muhammad, afisa wa utawala wa Abbasid huko Madina [59], yakifuatana na uchochezi dhidi ya Imamu Hadi (a.s) uliofanya na Buraiha Abbasi Imamu wa sala za jamaa aliyeitwa na khalifa huko Makkah na Madina [60], pamoja na ripoti za watu kumuunga mkono Imamu wa Kumi wa Shia. [61]
Mnamo [[mwaka 233 Hijiria]], [[al-Mu'tawakilu al-Abbasi]] alimwamuru Imamu Hadi (a.s) kuhama kutoka [[Madina]] kwenda [[Samarra]]. [56] Sheikh Mufidu ameandika akisema ya kwamba; hatua hii ilifanyika mwaka 243 Hijri [57], lakini kulingana na utafiti wa [[Ja'farian]], mtafiti wa historia ya Kiislamu, tarehe hii si sahihi. [58] Inasemekana kwamba sababu ya hatua hii ya al-Mu'tawakil ilikuwa ni kutokana na ushawishi na tuhuma dhidi ya Imamu iliyotolewa na Abdullah bin Muhammad, afisa wa utawala wa Abbasid huko Madina [59], yakifuatana na uchochezi dhidi ya Imamu Hadi (a.s) uliofanya na [[Buraiha Abbasi]] Imamu wa sala za jamaa aliyeitwa na khalifa huko Makkah na Madina [60], pamoja na ripoti za watu kumuunga mkono Imamu wa Kumi wa Shia. [61]
Kulingana na maeelezo ya Mas'udi, ni kwamba; Buraiha aliandika barua kwa al-Mu'tawakkil akimwambia ya kwamba: "Ikiwa unaitaka Makkah na Madina, basi mtoa nje ya miji hiyo Ali bin Muhammad; kwani nafanya kazi ya kuwalingania watu, na tayari jopo kubwa la limeshaungana naye." [62] Kwa msingi huu, Yahya bin Harthama akaamriwa na al-Mu'tawakil kuhamisha Imamu Hadi (a.s) kwenda Samarra. [63] Imamu Hadi (a.s) alijibu katika barua yake kwa al-Mu'tawakil akikataa madai mabaya yalio elekezwa dhidi yake [64], lakini al-Mu'tawakil alimjibu kwa heshima akimwomba ahamie Samarra. [65] Nakala ya barua ya al-Mu'tawakil imenukuliwa katika kazi za Sheikh Mufid na Kulayni. [66]


Kulingana na maoni ya Ja'fariyyan; al-Mu'tawakil alipanga mpango wa kuhamisha Imamu Hadi (a.s) kwenda Samarra kwa njia ambayo asiweze kutonesha sana hisia za watu ili safari hiyo ya lazima ya Imamu isilete athari mbaya katika jamii. [67] Walakini, Subait bin Juzi, mmoja wa wanazuoni wa Sunni, alinukuu ripoti kutoka kwa Yahya bin Harthama ambayo kwa mujibu wake; watu wa Madina walikuwa wamekasirika na kuchafuka sana, na huzuni yao ilifikia kiwango cha kilio na ghasia, ambapo katu Madina haikuwahi kuona hali kama hiyo hapo awali. [68] Baada ya Imamu Hadi (a.s) kuondoka Madina, aliwasili Kadhimaini na kukaribishwa vizuri na watu wa mji huo. [69] Alipofika mji wa Kadhimaini, alienda nyumbani kwa Khazimah bin Hazam na baada ya hapo aliondoka na kuelekea Samarra. [70]
Kulingana na maeelezo ya Mas'udi, ni kwamba; Buraiha aliandika barua kwa al-Mu'tawakkil akimwambia ya kwamba: "Ikiwa unaitaka Makkah na Madina, basi mtoa nje ya miji hiyo Ali bin Muhammad; kwani nafanya kazi ya kuwalingania watu, na tayari jopo kubwa la limeshaungana naye." [62] Kwa msingi huu, [[Yahya bin Harthama]] akaamriwa na al-Mu'tawakil kuhamisha Imamu Hadi (a.s) kwenda Samarra. [63] Imamu Hadi (a.s) alijibu katika barua yake kwa al-Mu'tawakil akikataa madai mabaya yalio elekezwa dhidi yake [64], lakini al-Mu'tawakil alimjibu kwa heshima akimwomba ahamie [[Samarra]]. [65] Nakala ya barua ya al-Mu'tawakil imenukuliwa katika kazi za [[Sheikh Mufidu|Sheikh Mufid]] na [[Kulayni]]. [66]


Kwa mujibu wa maoni ya Sheikh Mufid, Imamu Hadi (a.s) alionekana kuwa na heshima kwa al-Mu'tawakil, hata hivyo al-Mu'tawakil alikuwa akifanya njama dhidi yake. [71] Kulingana na maandishi ya Tabarsi, lengo la al-Mu'tawakil katika hatua hii lilikuwa ni kumnyima hadhi na heshima Imamu huyo machoni mwa watu. [72] Kulingana na Sheikh maelezo ya Sheikh Mufid; siku ya kwanza Imamu alipowasili Samarra, kwa amri ya al-Mu'tawakil, kwa muda wa siku nzima alishikiliwa katika "Nyumba ya Sa'aliq" (mahali pa makazi na watu omba omba) na siku ya pili akapelekwa nyumbani ambapo alipangiwa kuishi ndani yake. [73] Kwa mujibu wa maoni ya Saleh bin Said, hatua hii ilifanywa kwa lengo la kumdharau Imamu Hadi (a.s). [74]
Kulingana na maoni ya [[Ja'fariyyan]]; al-Mu'tawakil alipanga mpango wa kuhamisha Imamu Hadi (a.s) kwenda Samarra kwa njia ambayo asiweze kutonesha sana hisia za watu ili safari hiyo ya lazima ya Imamu isilete athari mbaya katika jamii. [67] Walakini, Subait bin Juzi, mmoja wa wanazuoni wa Sunni, alinukuu ripoti kutoka kwa Yahya bin Harthama ambayo kwa mujibu wake; watu wa Madina walikuwa wamekasirika na kuchafuka sana, na huzuni yao ilifikia kiwango cha kilio na ghasia, ambapo katu Madina haikuwahi kuona hali kama hiyo hapo awali. [68] Baada ya Imamu Hadi (a.s) kuondoka Madina, aliwasili Kadhimaini na kukaribishwa vizuri na watu wa mji huo. [69] Alipofika mji wa [[Kadhimaini]], alienda nyumbani kwa [[Khazimah bin Hazam]] na baada ya hapo aliondoka na kuelekea Samarra. [70]
 
Kwa mujibu wa maoni ya Sheikh Mufid, Imamu Hadi (a.s) alionekana kuwa na heshima kwa al-Mu'tawakil, hata hivyo al-Mu'tawakil alikuwa akifanya njama dhidi yake. [71] Kulingana na maandishi ya Tabarsi, lengo la al-Mu'tawakil katika hatua hii lilikuwa ni kumnyima hadhi na heshima Imamu huyo machoni mwa watu. [72] Kulingana na maelezo ya [[Sheikh Mufidu|Sheikh Mufid]]; siku ya kwanza Imamu alipowasili Samarra, kwa amri ya al-Mu'tawakil, kwa muda wa siku nzima alishikiliwa katika Nyumba ya Sa'aliq (mahali pa makazi na watu omba omba) na siku ya pili akapelekwa nyumbani ambapo alipangiwa kuishi ndani yake. [73] Kwa mujibu wa maoni ya Saleh bin Said, hatua hii ilifanywa kwa lengo la kumdharau Imamu Hadi (a.s). [74]


Watawala wa Banu Abbasi walimdhibiti na kumtesa sana Imamu Hadi (a.s) wakati wa kukaa kwake mjini humo. Kwa mfano, walichimba kaburi ndani ya chumba chake cha kuishi. Pia, bila ya kumpa habari ghafla usiku walimtaka kuhudhuria kwenye kasri la Khalifa, pia walizuia uhusiano baina yake na Shia wake. [75] Baadhi ya waandishi wametja sababu za uadui wa al-Mu'tawakil dhidi ya Imam Hadi kama ifuatavyo:
Watawala wa Banu Abbasi walimdhibiti na kumtesa sana Imamu Hadi (a.s) wakati wa kukaa kwake mjini humo. Kwa mfano, walichimba kaburi ndani ya chumba chake cha kuishi. Pia, bila ya kumpa habari ghafla usiku walimtaka kuhudhuria kwenye kasri la Khalifa, pia walizuia uhusiano baina yake na Shia wake. [75] Baadhi ya waandishi wametja sababu za uadui wa al-Mu'tawakil dhidi ya Imam Hadi kama ifuatavyo:


# Al-Mu'tawakil alikuwa na mwelekeo wa kijamaa kwa Ahl al-Hadith, ambao walikuwa wakipingana na Mu'tazilah na Shia, na Ahl al-Hadith walimchochea al-Mu'tawakil dhidi ya Shia.
# Al-Mu'tawakil alikuwa na mwelekeo wa kijamaa kwa [[Ahlul-Hadith]], ambao walikuwa wakipingana na [[Mu'tazilah]] na [[Shia]], na Ahl al-Hadith walimchochea al-Mu'tawakil dhidi ya Shia.
# Al-Mu'tawakil alikuwa na wasiwasi juu ya hadhi yake kijamii na alikuwa na hofu juu ya kupatikana kwa uhusiano baina ya watu na Maimamu wa Shia. Kwa hiyo, alijaribu kuvunja uhusiano huo kadri iwezekanavyo. [76] Kwa nia hiyo hiyo Al-Mu'tawakil alichukua hatua ya kuharibu la kaburi ya Imamu Hussein (a.s) na akawa mkali dhidi wale waendao kuzuru kaburi la Imam Hussein (a.s). [77]
# Al-Mu'tawakil alikuwa na wasiwasi juu ya hadhi yake kijamii na alikuwa na hofu juu ya kupatikana kwa uhusiano baina ya watu na [[Maimamu wa Kishia|Maimamu wa Shia]]. Kwa hiyo, alijaribu kuvunja uhusiano huo kadri iwezekanavyo. [76] Kwa nia hiyo hiyo Al-Mu'tawakil alichukua hatua ya kuharibu la [[kaburi ya Imamu Hussein (a.s)]] na akawa mkali dhidi wale waendao kuzuru kaburi la Imam Hussein (a.s). [77]


Baada ya kufariki kwa al-Mu'tawakil, mtoto wake (al-Muntasiru) alikaa madarakani. Katika kipindi hichi, shinikizo la serikali dhidi ya familia ya Alawi (Ahlu al-Baiti) (a.s) lilipungua, na Mashia kwa ujumla ikiwa ni pamoja na Imam Hadi (a.s), wakapata nafasi ya kuvuta pumzi. [78]
Baada ya kufariki kwa al-Mu'tawakil, mtoto wake ([[al-Muntasiru]]) alikaa madarakani. Katika kipindi hichi, shinikizo la serikali dhidi ya familia ya [[Alawi]] (Ahlul-Baiti) (a.s) lilipungua, na Mashia kwa ujumla ikiwa ni pamoja na Imam Hadi (a.s), wakapata nafasi ya kuvuta pumzi. [78]


=== Makabiliano Dhidi ya Maghulat ===
=== Makabiliano Dhidi ya Maghulat ===


Ghulat walikuwa na harakati kadhaa katika zama za Uimamu wa Imamu Hadi (a.s). Wao walijitambulisha kama ni wafuasi na Masahaba wa karibu wa Hadi (a.s), na walianasibisha maneno na mafunzo yao kwa Maimamu wa Kishia, ikiwa ni pamoja na Imamu Hadi (a.s), habari ambazo kiuhalisia zilikuwa zilichafua kila nyoyo za wale waliofikiwa na habari hizo, kama ilivyoelezwa katika barua ya Ahmad bin Muhammad bin Isa Ash'ari alioituma kwa Imam Hadi (a.s). Kwa kuwa habari hizo zilikuwa wanazihusisha na Maimamu, hivyo hapakuwa na mtu aliyetokea kuwa na ujasiri wa kukataa au kupinga habari hizo. Walifasiri majukumu na mambo yaliyoharamishwa kwa njia yao wenyewe. Kwa mfano, wao katika kuifasiri sala na zaka iliokuja katika Aya isemayo: “وَأَقِيمُواْ الصَّلاَةَ وَآتُواْ الزَّكَاةَ” "Na simamisheni sala na toeni zakat" [79], walisema kuwa; Aya hii haikuwa na maana ya sala na zaka, bali inaashiria watu maalumu kupitia lugha hiyo ya sala na zaka. Imam Hadi (a.s), alijibu kwa kuandika barua kwa Ahmad bin Muhammad kwamba; tafsiri kama hizo sio sehemu ya dini yetu. Jiepusheni na watu kama hao. [80] Fathu bin Yazid Jorjani aliamini kuwa kula na kunywa hailingani na hadhi ya Uimamu, na Maimamu hawana haja ya kula wala kunywa. Katika jibu lake, Imamu Hadi (a.s) alinukuu na kurejelea Aya za Qur’ani zinazo husiana na kula na kunywa kwa Mitume na kutembea kwao katika masoko na akisema: "Kila mwili unahitajia kula na kunywa, isipokuwa Mungu tu ambaye ndiye aliye umba kiwiliwili." [81]
[[Ghulat]] walikuwa na harakati kadhaa katika zama za Uimamu wa Imamu Hadi (a.s). Wao walijitambulisha kama ni wafuasi na Masahaba wa karibu wa Hadi (a.s), na walianasibisha maneno na mafunzo yao kwa Maimamu wa Kishia, ikiwa ni pamoja na Imamu Hadi (a.s), habari ambazo kiuhalisia zilikuwa zilichafua kila nyoyo za wale waliofikiwa na habari hizo, kama ilivyoelezwa katika barua ya Ahmad bin Muhammad bin Isa Ash'ari alioituma kwa Imam Hadi (a.s). Kwa kuwa habari hizo zilikuwa wanazihusisha na Maimamu, hivyo hapakuwa na mtu aliyetokea kuwa na ujasiri wa kukataa au kupinga habari hizo. Walifasiri majukumu na mambo yaliyoharamishwa kwa njia yao wenyewe. Kwa mfano, wao katika kuifasiri sala na zaka iliokuja katika Aya isemayo: “وَأَقِيمُواْ الصَّلاَةَ وَآتُواْ الزَّكَاةَ” "Na simamisheni sala na toeni zakat" [79], walisema kuwa; Aya hii haikuwa na maana ya sala na zaka, bali inaashiria watu maalumu kupitia lugha hiyo ya sala na zaka. Imam Hadi (a.s), alijibu kwa kuandika barua kwa Ahmad bin Muhammad kwamba; tafsiri kama hizo sio sehemu ya dini yetu. Jiepusheni na watu kama hao. [80] Fathu bin Yazid Jorjani aliamini kuwa kula na kunywa hailingani na hadhi ya Uimamu, na Maimamu hawana haja ya kula wala kunywa. Katika jibu lake, Imamu Hadi (a.s) alinukuu na kurejelea Aya za Qur’ani zinazo husiana na kula na kunywa kwa Mitume na kutembea kwao katika masoko na akisema: "Kila mwili unahitajia kula na kunywa, isipokuwa Mungu tu ambaye ndiye aliye umba kiwiliwili." [81]


Imamu wa kumi wa Shia, katika jibu barua ya Sahlu bin Ziyad, iliyo kuja  kumpa khabari za Ughulat wa Ali bin Hasakau, Imamu (a.s) akakanusha uhusiano wa mtu huyo na Ahl al-Bayt (a.s), na kuyatangaza maneno yake kuwa ni maneneo batili, kisha akawataka Mashia wajiepushe naye, na hata akatoa hukumu ya kifo juu yake. Kulingana na barua hiyo, Ali bin Huska aliamini kuwa Imamu Hadi ni Mungu na kwamba yeye ndiye mjumbe (Mtume) na msiri wa Imam Hadi (a.s). [82] Imam Hadi aliwalaani Maghulat kadha akiwemo Muhammad bin Nusayr, anayejulikana kama ndiye mwanzilishi wa madhehebu ya Nusaariyya, [83] Hassan bin Muhammad maarufu kama Ibnu Baba, na Faaris bin Hatam Qazwini. [84]
Imamu wa kumi wa Shia, katika jibu barua ya Sahlu bin Ziyad, iliyo kuja  kumpa khabari za Ughulat wa Ali bin Hasakau, Imamu (a.s) akakanusha uhusiano wa mtu huyo na Ahl al-Bayt (a.s), na kuyatangaza maneno yake kuwa ni maneneo batili, kisha akawataka Mashia wajiepushe naye, na hata akatoa hukumu ya kifo juu yake. Kulingana na barua hiyo, Ali bin Huska aliamini kuwa Imamu Hadi ni Mungu na kwamba yeye ndiye mjumbe (Mtume) na msiri wa Imam Hadi (a.s). [82] Imam Hadi aliwalaani Maghulat kadha akiwemo Muhammad bin Nusayr, anayejulikana kama ndiye mwanzilishi wa madhehebu ya Nusaariyya, [83] Hassan bin Muhammad maarufu kama Ibnu Baba, na Faaris bin Hatam Qazwini. [84]
Automoderated users, confirmed, movedable
7,127

edits