Nenda kwa yaliyomo

Imamu Hadi (a.s) : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 26: Mstari 26:
Hakuna habari nyingi zinazopatikana kuhusu maisha ya Imamu Hadi, Imamu Jawad, na Imamu Askari, ikilinganishwa na [[Maimamu wa Kishia|Maimamu wengine wa Shia]]. Muhammad Hussein Rajabi Duwani, mwanahistoria (aliyezaliwa 1339 Hijiria), ameelezea sababu ya suala hili kuwa ni umri mfupi wa [[Maimamu wa Kishia|Maimamu]] hao, kuweko kwao kifungoni na kuto kuwepo kwa waandishi wa historia wa Kishia katika wakati huo. [21]
Hakuna habari nyingi zinazopatikana kuhusu maisha ya Imamu Hadi, Imamu Jawad, na Imamu Askari, ikilinganishwa na [[Maimamu wa Kishia|Maimamu wengine wa Shia]]. Muhammad Hussein Rajabi Duwani, mwanahistoria (aliyezaliwa 1339 Hijiria), ameelezea sababu ya suala hili kuwa ni umri mfupi wa [[Maimamu wa Kishia|Maimamu]] hao, kuweko kwao kifungoni na kuto kuwepo kwa waandishi wa historia wa Kishia katika wakati huo. [21]


== Kisa cha Junaidiy Kuingia Katika Ushia ==
=== Kisa cha Junaidiy Kuingia Katika Ushia ===


Kulingana na ripoti iliyosimuliwa katika kitabu cha "Ithbatu al-Wasiyyah," baada ya kifo cha kishujaa cha Imamu Jawad, serikali ya Banu Abbasi ilituma mtu mmoja anayeitwa Abu Abdullah Junaidiy, ambaye alikuwa mwenye chuki kubwa na familia ya bwana Mtume (s.a.w.w) ambaye alikuwa adui yao mkubwa, serikali hiyo ilimpa yeye la kumfundisha Imamu Hadi na kumchunguza nyenendo zake, na kuzuia wafuasi wa Shia kuwasiliana naye. Hata hivyo, baada ya muda fulani, mtu huyu alikuja kupozwa na kutahayari chini ya elimu pamoja na utu wa Imamu, na hatomae akageuka na akawa ni miongoni mwa Mwislamu wa madhehebu ya Shia. [22]
Kulingana na ripoti iliyosimuliwa katika kitabu cha [[Ithbatu al-Wasiyyah]], baada ya kifo cha kishujaa cha Imamu Jawad, serikali ya Banu Abbasi ilituma mtu mmoja anayeitwa [[Abu Abdullah Junaidiy]], ambaye alikuwa mwenye chuki kubwa na [[Ahlul-Bayt (a.s)|familia ya bwana Mtume (s.a.w.w)]] ambaye alikuwa adui yao mkubwa, serikali hiyo ilimpa yeye la kumfundisha Imamu Hadi na kumchunguza nyenendo zake, na kuzuia wafuasi wa Shia kuwasiliana naye. Hata hivyo, baada ya muda fulani, mtu huyu alikuja kupozwa na kutahayari chini ya elimu pamoja na utu wa Imamu, na hatomae akageuka na akawa ni miongoni mwa Mwislamu wa madhehebu ya Shia. [22]


=== Watoto Wake ===
=== Watoto Wake ===


Katika vyanzo vya Shia, inasemekana kwamba Imamu Hadi alikuwa na watoto wanne wa kiume wanaoitwa Hassan, Muhammad, Hussein, na Ja'afar. [23] Pia imeelezwa ya kuwa pia yeye alikuwa na binti ambaye Sheikh Mufid alimtaja kwa jina la Aisha [24] na Ibn Shahrashub amemtambua kwa jina la ‘Illiyyah (Au Aliyyah). Katika kitabu cha "Dalail al-Imamah," inatajwa kuwa yeye alikuwa na mabinti wawili wanaoitwa Aisha na Dalalah. [26] Ibn Hajar al-Haythami, mmoja wa wanazuoni wa Sunni, pia katika kitabu chake "Al-Sawa'iqu al-Muhriqah" ameeleza kuwa Imamu wa Kumi wa Shia alikuwa na watoto wanne wa kiume na binti mmoja. [27]
Katika vyanzo vya Shia, inasemekana kwamba Imamu Hadi alikuwa na watoto wanne wa kiume wanaoitwa Hassan, Muhammad, Hussein, na Ja'afar. [23] Pia imeelezwa ya kuwa pia yeye alikuwa na binti ambaye [[Sheikh Mufidu|Sheikh Mufid]] alimtaja kwa jina la Aisha [24] na [[Ibn Shahrashub]] amemtambua kwa jina la ‘Illiyyah (Au Aliyyah). Katika kitabu cha [[Dalail al-Imamah]], inatajwa kuwa yeye alikuwa na mabinti wawili wanaoitwa Aisha na Dalalah. [26] Ibn Hajar al-Haythami, mmoja wa wanazuoni wa Sunni, pia katika kitabu chake [[Al-Sawa'iqu al-Muhriqah]] ameeleza kuwa Imamu wa Kumi wa Shia alikuwa na watoto wanne wa kiume na binti mmoja. [27]


=== Kifo Chake cha Kishujaa na Kaburi Lake ===
=== Kifo Chake cha Kishujaa na Kaburi Lake ===


Kulingana na ripoti ya Sheikh Mufid (aliyefariki mwaka 413 Hijria) ni kwamba; Imamu Hadi alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 41 katika mwezi wa Rajabu mwaka wa 254 Hijria baada ya kuishi Samarra kwa miaka 20 na miezi 9. [28] Pia, katika kitabu cha "Dalailu al-Imamah" na "Kashfu al-Ghummah," imetajwa kuwa Imamu wa Kumi aliuawa kwa sumu wakati wa utawala wa al-Mu'tazzu Abbasi (aliye tawala kuanzia mwaka 252 hadi 255 Hijria), na hiyo ikawa ndio sababu ya kifo chake cha kishujaa (kishahidi). [29] Ibnu Shahrashub (aliye fariki mwaka 588 Hijria) anaamini kuwa Imamu Hadi aliuawa shahidi mnamo mwisho wa utawala wa al-Mu'tamid (aliye tawala mwaka 256 hadi 278 Hijria), naye akinukuu kutoka kwa Ibn Babawayh amesema kwamba; Mu'tamid alimuuwa Imamu Hadi kupitia sumu. [30]
Kulingana na ripoti ya [[Sheikh Mufidu|Sheikh Mufid]] (aliyefariki mwaka 413 Hijria) ni kwamba; Imamu Hadi alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 41 katika mwezi wa Rajabu [[mwaka wa 254 Hijiria]] baada ya kuishi [[Samarra]] kwa miaka 20 na miezi 9. [28] Pia, katika kitabu cha [[Dalailu al-Imamah]] na [[Kashfu al-Ghummah]], imetajwa kuwa Imamu wa Kumi aliuawa kwa sumu wakati wa utawala wa [[al-Mu'tazzu Abbasi]] (aliye tawala kuanzia mwaka 252 hadi 255 Hijiria), na hiyo ikawa ndio sababu ya kifo chake cha kishujaa (kishahidi). [29] Ibnu Shahrashub (aliye fariki mwaka 588 Hijria) anaamini kuwa Imamu Hadi aliuawa shahidi mnamo mwisho wa utawala wa [[al-Mu'tamid]] (aliye tawala mwaka 256 hadi 278 Hijiria), naye akinukuu kutoka kwa Ibn Babawayh amesema kwamba; Mu'tamid alimuuwa Imamu Hadi kupitia sumu. [30]


Baadhi ya vyanzo vimeelezea siku ya kifo chake cha kishujaa, kuwa ni tarehe 3 Rajabu, [31] na wengine wameitaja kuwa tarehe 25 au 26 Jumada al-Thani. [32] Katika kalenda rasmi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, tarehe 3 Rajabu imesajiliwa kama ndio siku ya shahada ya Imamu Hadi (a.s).
Baadhi ya vyanzo vimeelezea siku ya [[Kufa shahidi|kifo chake cha kishujaa]], kuwa ni tarehe [[3 Rajabu]], [31] na wengine wameitaja kuwa [[tarehe 25]] au 26 [[Jumada al-Thani]]. [32] Katika kalenda rasmi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, tarehe 3 Rajabu imesajiliwa kama ndio siku ya shahada ya Imamu Hadi (a.s).
Kulingana na ripoti ya al-Mas'udi, mwanahistoria wa karne ya nne Hijiria, ni kwamba; Imam Hassan Askari alishiriki katika mazishi ya kumzika baba yake. Maiti ilihamishwa kupitia karibu na nyumba ya Musa ibn Bugha, na haraka kabisa kabla ya Khalifa wa Banu Abbasi kushiriki katika mazishi hayo, Imam Askari alimsalia baba yake sala ya maiti. Al-Mas'udi ameiripoti msongamano mkubwa wa watu kwenye mazishi ya Imam Hadi (a.s). [33]
 
Kulingana na ripoti ya [[al-Mas'udi]], mwanahistoria wa karne ya nne Hijiria, ni kwamba; Imam Hassan Askari alishiriki katika mazishi ya kumzika baba yake. Maiti ilihamishwa kupitia karibu na nyumba ya [[Mussa ibn Bugha]], na haraka kabisa kabla ya Khalifa wa Banu Abbasi kushiriki katika mazishi hayo, Imam Askari alimsalia baba yake [[sala ya maiti]]. Al-Mas'udi ameiripoti msongamano mkubwa wa watu kwenye mazishi ya Imam Hadi (a.s). [33]


=== Haramu ya Askariyyaini ===
=== Haramu ya Askariyyaini ===
Mstari 45: Mstari 46:
:''Makala Asili:  [[Haram za Maimamu wawili Hadi na Askary (a.s)|Haram ya Askariyyein]]''
:''Makala Asili:  [[Haram za Maimamu wawili Hadi na Askary (a.s)|Haram ya Askariyyein]]''


Imamu Hadi (a.s) alizikwa nyumbani kwake huko Samarra. [34] Mahali alipozikwa Imamu Hadi (a.s) na mwanawe, (Imamu Hassan Askari) (a.s), hujulikana kama Haram ya Askariaini huko Samarra. Baada ya maziko ya Imamu Hadi (a.s) yaliofanyika nyumbani kwake, Imamu Askari (a.s) alimteua mtumishi maalumu wa kuhudumia kaburi lake. Katika mwaka wa 328 Hijiria, kuba la kwanza lilijengwa juu ya makaburi yao. [35] Haram ya Askariain imekarabatiwa, kukamilishwa, na kufanyiwa marekebisho katika nyakati tofauti. [36] Kila mwaka, Waislamu wa Kishia kutoka maeneo mbalimbali hufanya ziara ya kwenda kutembelea makaburi ya Imamu Hadi na Imamu Hassan Askari (a.s) huko Samarra.
Imamu Hadi (a.s) alizikwa nyumbani kwake huko [[Samarra]]. [34] Mahali [[Kuzika|alipozikwa]] Imamu Hadi (a.s) na mwanawe, ([[Imamu Hassan Askari (a.s)]]), hujulikana kama [[Haram ya Askariaini]] huko Samarra. Baada ya maziko ya Imamu Hadi (a.s) yaliofanyika nyumbani kwake, Imamu Askari (a.s) alimteua mtumishi maalumu wa kuhudumia kaburi lake. Katika mwaka wa 328 Hijiria, kuba la kwanza lilijengwa juu ya makaburi yao. [35] Haram ya Askariain imekarabatiwa, kukamilishwa, na kufanyiwa marekebisho katika nyakati tofauti. [36] Kila mwaka, Waislamu wa Kishia kutoka maeneo mbalimbali hufanya ziara ya kwenda kutembelea makaburi ya Imamu Hadi na Imamu Hassan Askari (a.s) huko Samarra.


:''Makala Asili: [[Kubomolewa Haram ya Askariyein]]''
:''Makala Asili: [[Kubomolewa Haram ya Askariyein]]''


Katika miaka ya 1384 na 1386 Shamsia, baadhi ya sehemu za Haram ya Askariyyaini ziliharibiwa katika milipuko ya kigaidi. [37] Kitengo maalumu kinachoshughulikia ukarabati na ujenzi wa taasisi tukufu kilikamilisha ujenzi wa jingo hilo katika mwaka wa 1394. [38] Jengo lililozunguka makaburi yaliomo ndani ya Haram hiyo, limejengwa kupitia msaada wa Ayatullahi Sistani. [39]
Katika miaka ya 1384 na 1386 Shamsia, baadhi ya sehemu za Haram ya Askariyyaini ziliharibiwa katika milipuko ya kigaidi. [37] [[Kitengo maalumu kinachoshughulikia ukarabati na ujenzi wa taasisi tukufu]] kilikamilisha ujenzi wa jingo hilo katika mwaka wa 1394. [38] Jengo lililozunguka [[makaburi]] yaliomo ndani ya Haram hiyo, limejengwa kupitia msaada wa [[Ayatullahi Sistani]]. [39]


== Kipindi cha Uimamu ==
== Kipindi cha Uimamu ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,127

edits