Imamu Hadi (a.s) : Tofauti kati ya masahihisho
→Wasifu wa Maisha Yake
Mstari 22: | Mstari 22: | ||
== Wasifu wa Maisha Yake == | == Wasifu wa Maisha Yake == | ||
Kulingana na maoni ya Kulayni,[12] Sheikh Tusi, [13] Sheikh Mufid, [14] na Ibnu Shahriashub [15] ni kwamba; Imamu Hadi alizaliwa tarehe 15 Dhul-Hijjah mwaka 212 Hijria katika eneo la Sariya (karibu na Madina). Hata hivyo, pia miongoni mwa rikodi kuhusiana na tarehe ya kuzaliwa kwake ni tarehe 2 au 5 Rajabu ya mwaka huo huo wa 214 | Kulingana na maoni ya [[Kulayni]],[12] [[Sheikh Tusi]], [13] [[Sheikh Mufidu|Sheikh Mufid]], [14] na [[Ibnu Shahriashub]] [15] ni kwamba; Imamu Hadi alizaliwa tarehe [[15 Dhul-Hijjah]] mwaka [[212 Hijria]] katika eneo la [[Sariya]] (karibu na [[Madina]]). Hata hivyo, pia miongoni mwa rikodi kuhusiana na tarehe ya kuzaliwa kwake ni tarehe 2 au 5 [[Rajabu]] ya mwaka huo huo wa 214 Hijiria, na pia wenge wamesema kuwa ni [[Jumada al-Thani]] mwaka 215 Hijria. Kwa mujibu wa maelezo ya Mas'udi, mwanahistoria wa karne ya nne, ni kwamba; katika mwaka ambao Imamu Jawad pamoja na mkewe ([[Ummul-Fadhli]]) walikwenda kufanya ibada ya Hija, Imamu Hadi akiwa bado mdogo pale walipokuja naye mjini Madina. [18] Naye akaishi katika mji huo wa Madina hadi mwaka 233 Hijiria. Ya'qubi, mwanahistoria wa karne ya tatu ya Kiislamu, aliandika kuwa katika mwaka huo, [[Mutawakkil Abbasi]] alimpa wito Imamu Hadi na kumtaka kwenda Samarra. [19] Alipofika Samarra alimpa makazi katika eneo lililoitwa Askar na nayeb alikaa huko hadi mwisho wa maisha yake. [20] | ||
Kwa mujibu wa maelezo ya Mas'udi, mwanahistoria wa karne ya nne, ni kwamba; katika mwaka ambao Imamu Jawad pamoja na mkewe ( | |||
Hakuna habari nyingi zinazopatikana kuhusu maisha ya Imamu Hadi, Imamu | Hakuna habari nyingi zinazopatikana kuhusu maisha ya Imamu Hadi, Imamu Jawad, na Imamu Askari, ikilinganishwa na [[Maimamu wa Kishia|Maimamu wengine wa Shia]]. Muhammad Hussein Rajabi Duwani, mwanahistoria (aliyezaliwa 1339 Hijiria), ameelezea sababu ya suala hili kuwa ni umri mfupi wa [[Maimamu wa Kishia|Maimamu]] hao, kuweko kwao kifungoni na kuto kuwepo kwa waandishi wa historia wa Kishia katika wakati huo. [21] | ||
== Kisa cha Junaidiy Kuingia Katika Ushia == | == Kisa cha Junaidiy Kuingia Katika Ushia == |