Nenda kwa yaliyomo

Imamu Hadi (a.s) : Tofauti kati ya masahihisho

No edit summary
Mstari 10: Mstari 10:
== Jina Nasaba na Lakabu ==
== Jina Nasaba na Lakabu ==


Ali bin Muhammad, maarufu kama Imam Hadi na Ali al-Naqi, ni Imamu wa kumi wa Shia. Baba yake ni Imamu Jawad (a.s), Imamu wa tisa wa Shia, na mama yake alikuwa ni mjakazi (1) aliyeitwa Samanah al-Maghribiyyah [2] au Sawsan. [3]
:''Makala Asili: Orodha ya Kuniya na Lakabu za Imamu Hadi (a.s)''


Miongoni mwa majina maarufu ya Imamu wa kumi wa Shia ni Hadi na Naqi. [4] Inasemekana sababu ya yeye kupewa jina la Hadi ni kwamba wakati wake, alikuwa ni mwongozo bora kwa watu kuelekea kheri. [5] Majina mengine yanayotajwa kwa ajili yake ni Murtadha, Aalim, Faqihi, Aminu, Naasih, Khalis, na Tayyib. [6]
Ali bin Muhammad, maarufu kama Imam Hadi na Ali al-Naqi, ni Imamu wa kumi wa Shia. Baba yake ni [[Imamu Jawadi (a.s)]], Imamu wa tisa wa Shia, na mama yake alikuwa ni mjakazi (1) aliyeitwa [[Samanah al-Maghribiyyah]] [2] au Sawsan. [3]
Sheikh Saduqu (aliyefariki mwaka 381 Hijiria) amenukuu kutoka kwa waalimu wake ya kwamba; Imamu Hadi na mwanawe (Imamu Hasan Askari) (a.s.) walipewa jina la Askari kwa sababu ya kule wao kuishi katika eneo lililoitwa Askar huko Samarra. [7] Ibn Jawzi (aliyefariki mwaka 654 Hijiria) pia anaelezea katika kitabu chake "Tadhkiratu al-Khawas" kwamba; sababu ya Imam Hadi kuwaita jina la Askari, ni hiyo hiyo iliyo tajwa na Sheikh Saduqu. [8]
 
Kunia yake ni Abu al-Hassan, [9] na katika vyanzo vya Hadithi, anaitwa Abu al-Hassan wa Tatu, [10] ili kuepuka kuchanganywa na Abu al-Hassan wa Kwanza, yaani Imamu Kadhim, na Abu al-Hasan wa Pili, yaani Imamu Ridha. [11]
Miongoni mwa majina maarufu ya Imamu wa kumi wa Shia ni Hadi na [[Naqi (Lakabu)|Naqi]]. [4] Inasemekana sababu ya yeye kupewa jina la Hadi ni kwamba wakati wake, alikuwa ni mwongozo bora kwa watu kuelekea kheri. [5] Majina mengine yanayotajwa kwa ajili yake ni Murtadha, Aalim, Faqihi, Aminu, Naasih, Khalis, na Tayyib. [6]
 
[[Sheikh Saduqu]] (aliyefariki mwaka 381 Hijiria) amenukuu kutoka kwa waalimu wake ya kwamba; Imamu Hadi na mwanawe ([[Imamu Hassan Askari]]) (a.s) walipewa jina la Askari kwa sababu ya kule wao kuishi katika eneo lililoitwa Askar huko Samarra. [7] [[Ibn Jawzi]] (aliyefariki mwaka 654 Hijiria) pia anaelezea katika kitabu chake [[Tadhkiratu al-Khawas]] kwamba; sababu ya Imam Hadi kuwaita jina la Askari, ni hiyo hiyo iliyo tajwa na Sheikh Saduqu. [8]
 
[[Kuniya]] yake ni Abu al-Hassan, [9] na katika vyanzo vya Hadithi, anaitwa Abu al-Hassan wa Tatu, [10] ili kuepuka kuchanganywa na Abu al-Hassan wa Kwanza, yaani [[Imamu Musa Kadhim (a.s)|Imamu Kadhim]], na Abu al-Hasan wa Pili, yaani [[Imamu Ridha]]. [11]


== Wasifu wa Maisha Yake ==
== Wasifu wa Maisha Yake ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,127

edits