Nenda kwa yaliyomo

Imamu Hadi (a.s) : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Faili:مرقد امام هادی علیه السلام.jpg|thumb|[[Haram za Maimamu wawili Hadi na Askary (a.s)]]]]
[[Faili:مرقد امام هادی علیه السلام.jpg|thumb|[[Haram za Maimamu wawili Hadi na Askary (a.s)]]]]
'''Ali bin Muhammad''' (Kiarabu: ''علي بن محمد''), anaye tambulikana kama '''Imamu Hadi''' au '''Imamu Ali al-Naqi (a.s)''' (aliyezaliwa mwaka 212 na kufariki 254 Hijiria), ni Imamu wa kumi wa Mashia na ni mwana wa Imamu Jawad (a.s). Yeye alishika nafasi ya Imamu kwa muda wa miaka 34, kuanzia mwaka 220 hadi 254. Kipindi cha Uiamu wa uimamu wa Imamu Hadi, kiliwafikiana na utawala wa Makhalifa kadhaa wa Banu Abbasi waliokuwa wakiongoza wakati huo, ikiwa ni pamoja na Mutawakkil. Kipindi chake kikubwa cha Uimamu wake kilikuwa chini ya udhibiti wa utawala wa Babu Abbasi akiwa huko mjini Samarra.
'''Ali bin Muhammad''' (Kiarabu: ''علي بن محمد''), anaye tambulikana kama '''Imamu Hadi''' au '''Imamu Ali al-Naqi (a.s)''' (aliyezaliwa [[mwaka 212]] na kufariki [[254 Hijiria]]), ni Imamu wa kumi wa [[shia|Mashia]] na ni mwana wa [[Imamu Jawad (a.s)]]. Yeye alishika nafasi ya Imamu kwa muda wa miaka 34, kuanzia [[mwaka 220]] hadi [[254]]. Kipindi cha Uiamu wa uimamu wa Imamu Hadi, kiliwafikiana na utawala wa [[Makhalifa kadhaa wa Banu Abbasi]] waliokuwa wakiongoza wakati huo, ikiwa ni pamoja na [[Mutawakkil Abbasi|Mutawakkil]]. Kipindi chake kikubwa cha Uimamu wake kilikuwa chini ya udhibiti wa utawala wa Babu Abbasi akiwa huko mjini [[Samarra]].


Imam Hadi (a.s) ameandika hadithi nyingi juu ya masuala ya imani na akida, tafsiri ya Qur'ani, fiqh, pamoja na maadili. Pia kuna mada muhimu za kielemu zilizojadiliwa katika sehemu ya Hadithi hizo, ikiwa ni pamoja na; tashbihu (kumfananisha Mungu na vitu vyengine), tanzih (utakaso wa Mungu), jabru (shinikizo la Mungu katika matendo ya binadamu) pamoja na ikhtiyar (hiyari na uhuru wa mwanadamu). Pia miongoni ya mambo yalionukuliwa kutoa kwake ni Ziyara Jami'a Kubra na Ziyara Ghadiriyyah.
Imam Hadi (a.s) ameandika [[Hadithi]] nyingi juu ya masuala ya imani na akida, [[tafsiri ya Qur'ani]], [[fiqhi]], pamoja na [[maadili]]. Pia kuna mada muhimu za kielemu zilizojadiliwa katika sehemu ya Hadithi hizo, ikiwa ni pamoja na; [[tashbihu]] (kumfananisha Mungu na vitu vyengine), [[tanzih]] (utakaso wa Mungu), [[jabru]] (shinikizo la Mungu katika matendo ya binadamu) pamoja na [[ikhtiyar]] (hiyari na uhuru wa mwanadamu). Pia miongoni ya mambo yalionukuliwa kutoa kwake ni [[Ziyara Jami'a Kubra]] na [[Ziyara Ghadiriyyah]].
Makhalifa wa Banu Abbasi waliweka vizuizi vizito dhidi ya Imamu Hadi (a.s) na kuzuia mawasiliano yake na Waislamu wa madhehebu ya Shia. Hilo lilipelekea yeye alikuwa na mawasiliano zaidi na Waislamu wa Shia kupitia mtandao maalumu ambao ulikuwa umetengenezwa na kikundi cha mawakili wa Imamu. Abd al-Adhim Hassani, Othman bin Said, Ayub bin Nuh, na Hassan bin Rashid walikuwa ni miongoni mwa wafuasi wa Imamu Hadi (a.s).
 
Makhalifa wa Banu Abbasi waliweka vizuizi vizito dhidi ya Imamu Hadi (a.s) na kuzuia mawasiliano yake na Waislamu wa madhehebu ya Shia. Hilo lilipelekea yeye alikuwa na mawasiliano zaidi na Waislamu wa Shia kupitia [[mtandao maalumu]] ambao ulikuwa umetengenezwa na kikundi cha mawakili wa Imamu. [[Abd al-Adhim]] [[Hassani]], [[Othman bin Said]], [[Ayub bin Nuh]], na [[Hassan bin Rashid]] walikuwa ni miongoni mwa wafuasi wa Imamu Hadi (a.s).
 
Kaburi la Imamu Hadi huko Samarra ni mahali pa ibada kwa Waislamu wa madhehebu ya Shia. Umaarufu wa mahali hapo ni Haramu Askariyyaini. Eneo hilo limepewa jina hilo kwa sababu ya kule eneo hilo kuwa ndilo sehemu la kaburi lake yeye pamoja na mwanawe, [[Imamu Hasan al-Askari (a.s)]]. [[Haram za Maimamu wawili Hadi na Askary (a.s)|Haram ya Askariain]] [[Kubomolewa Haram ya Askariyein|iliharibiwa]] wakati wa mashambulizi ya kigaidi mnamo [[mwaka 1384]] na [[1386 Shamsia]]. [[Wizara ya Mambo ya Kidini]] ya Iran ilijenga upya eneo hilo kati ya miaka 1389 na 1394 Shamsia.
 
== Jina Nasaba na Lakabu ==


Kaburi la Imamu Hadi huko Samarra ni mahali pa ibada kwa Waislamu wa madhehebu ya Shia. Umaarufu wa mahali hapo ni Haramu Askariyyaini. Eneo hilo limepewa jina hilo kwa sababu ya kule eneo hilo kuwa ndilo sehemu la kaburi lake yeye pamoja na mwanawe, Imamu Hasan al-Askari (a.s). Haramu ya Askariain iliharibiwa wakati wa mashambulizi ya kigaidi mnamo 1384 na 1386 Shamsia. Wizara ya Mambo ya Kidini ya Iran ilijenga upya eneo hilo kati ya miaka 1389 na 1394 Shamsia.
Jina Nasaba na Lakabu
Ali bin Muhammad, maarufu kama Imam Hadi na Ali al-Naqi, ni Imamu wa kumi wa Shia. Baba yake ni Imamu Jawad (a.s), Imamu wa tisa wa Shia, na mama yake alikuwa ni mjakazi (1) aliyeitwa Samanah al-Maghribiyyah [2] au Sawsan. [3]
Ali bin Muhammad, maarufu kama Imam Hadi na Ali al-Naqi, ni Imamu wa kumi wa Shia. Baba yake ni Imamu Jawad (a.s), Imamu wa tisa wa Shia, na mama yake alikuwa ni mjakazi (1) aliyeitwa Samanah al-Maghribiyyah [2] au Sawsan. [3]


Automoderated users, confirmed, movedable
7,127

edits