Salim (mtumwa wa Amir bin Muslim)
Salim mtumwa wa Amir bin Muslim Abdi (Kiarabu: سالم مولى عامر بن مسلم العبدي) ni mmoja wa mashahidi wa Karbala ambaye aliuawa shahidi siku ya Ashura mwaka 61 Hijria.

Salim akiwa pamoja na bwana wake Amir bin Muslim Abdi na Yazid bin Thubayt al-Abdi ambapo walikuwa watu wa Basra waliungana na Imamu Hussein (a.s) katika Abtah jirani na mji wa Makka [1] na aliuawa shahidi huko Karbala. [2] Jina lake limekuja na kutajwa katika Ziyarat al-Shuhada. [3]