Nenda kwa yaliyomo

Sidanat al-Kaaba : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Sidanat al-Kaaba''' (Kiarabu: '''''سدانة الكعبة''''') ina maana ya kutoa huduma na kusimamia mambo yanayohusiana na Kaaba kama vile kuhifadh na kutunzai funguo, kufunga na kufungua Kaaba, kupokewa wafanyaziara wa nyumba ya Mwenyezi Mungu, kusafisha na kubadilisha kitambaa cha kufunika Kaaba na kadhalika. Kabla ya Uislamu ufunguo wa Kaaba ulikuwa ukishikiliwa na kutunzwa na Bani Shaiba. Baada ya Fat’h Makka, Mtume (s.a.w.w) aliacha mamlaka ya kushikilia ufunguo wa Kaaba kwa Othman bin Talha aliyekuwa akitunza funguo wakati huo na kwa amri ya Mtume jukumu hili likaachwa katika mamkala ya familia hiyo.
'''Sidanat al-Kaaba''' (Kiarabu: '''''سدانة الكعبة''''') ina maana ya kutoa huduma na kusimamia mambo yanayohusiana na [[Kaaba]] kama vile kuhifadh na kutunzai funguo, kufunga na kufungua Kaaba, kupokewa wafanyaziara wa nyumba ya Mwenyezi Mungu, kusafisha na kubadilisha kitambaa cha kufunika Kaaba na kadhalika. Kabla ya [[Uislamu]] ufunguo wa Kaaba ulikuwa ukishikiliwa na kutunzwa na [[Bani Shaiba]]. Baada ya [[Fat’h Makka]], [[Mtume (s.a.w.w)]] aliacha mamlaka ya kushikilia ufunguo wa Kaaba kwa Othman bin Talha aliyekuwa akitunza funguo wakati huo na kwa amri ya Mtume jukumu hili likaachwa katika mamkala ya familia hiyo.


Kwa mujibu wa vyanzo, Abbas, ami yake Mtume, aliona kuwa yeye ni mbora kuliko wengine kwa sababu ya jukumu la kutoa huduma ya maji kwa mahujaji. Familia ya Shaiba, nayo ambayo ilikuwa ikisimamia masuala yanayohusiana na Al-Kaaba, pia alijihesabu kuwa ni bora. Lakini Imam Ali (a.s) aliona kuwa yeye ni mbora wao kwa sababu aliamini kabla ya wengine na kisha akahama na kupigana jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu. Kwa mujibu wa watafiti wa Kiislamu, baada ya tukio hili, Aya ya 19 ya Surah Tawba iliteremka na kuchukuliwa imani na jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni bora kuliko majukumu kuhusu Al-Kaaba. Kwa mujibu wa Tabari, mfasiri wa Kisunni, katika Qur’ani, Mwenyezi Mungu aliwakemea watu waliojisifu na kujifaharisha kutokana na kutoa huduma ya maji kwa Mahujaji na kusimamia masuala yanayohusiana na Kaaba na kuiona imani na jihadi kuwa ni bora kuliko majukumu ya kusimamia na kuendesha Kaaba.
Kwa mujibu wa vyanzo, [[Abbas ami yake Mtume]], aliona kuwa yeye ni mbora kuliko wengine kwa sababu ya jukumu la kutoa [[huduma ya maji kwa mahujaji]]. Familia ya Shaiba, nayo ambayo ilikuwa ikisimamia masuala yanayohusiana na Al-Kaaba, pia alijihesabu kuwa ni bora. Lakini [[Imam Ali (a.s)]] aliona kuwa yeye ni mbora wao kwa sababu [[aliamini]] kabla ya wengine na kisha [[akahama]] na kupigana [[jihadi]] katika njia ya Mwenyezi Mungu. Kwa mujibu wa watafiti wa Kiislamu, baada ya tukio hili, [[Aya ya 19 ya Surat Tawba]] iliteremka na kuchukuliwa imani na jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni bora kuliko majukumu kuhusu Al-Kaaba. Kwa mujibu wa Tabari, mfasiri wa Kisunni, katika Qur’ani, Mwenyezi Mungu aliwakemea watu waliojisifu na kujifaharisha kutokana na kutoa huduma ya maji kwa Mahujaji na kusimamia masuala yanayohusiana na Kaaba na kuiona imani na jihadi kuwa ni bora kuliko majukumu ya kusimamia na kuendesha Kaaba.


== Utambulisho ==
== Utambulisho ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits