Eda : Tofauti kati ya masahihisho
→Ufafanuzi na utambulisho wa Kifiqghi
No edit summary |
|||
Mstari 5: | Mstari 5: | ||
Miongoni mwa [[hukumu za fiqhi]] zinazo ambatana na Eda, ni kwamba; ni [[haramu]] mwanamme kumuoa mwanamke ambaye yuko ndani ya Eda. Ikiwa mwanaume atamuoa mwanamke ambaye yuko ndani ya muhula wa Eda, basi mwanamke huyo atakuwa haramu kwake milele; yaani ndoa yao itakuwa batili na kamwe hawataweza kuoana. Pia, ni haramu kumposa mwanamke ambaye yuko katika kipindi cha Eda ya [[talaka rejea]]. Ni haramu pia kujipamba kwa mwanamke aliyeko ndani ya Eda ya kufiliwa na mumewe. | Miongoni mwa [[hukumu za fiqhi]] zinazo ambatana na Eda, ni kwamba; ni [[haramu]] mwanamme kumuoa mwanamke ambaye yuko ndani ya Eda. Ikiwa mwanaume atamuoa mwanamke ambaye yuko ndani ya muhula wa Eda, basi mwanamke huyo atakuwa haramu kwake milele; yaani ndoa yao itakuwa batili na kamwe hawataweza kuoana. Pia, ni haramu kumposa mwanamke ambaye yuko katika kipindi cha Eda ya [[talaka rejea]]. Ni haramu pia kujipamba kwa mwanamke aliyeko ndani ya Eda ya kufiliwa na mumewe. | ||
== Ufafanuzi na utambulisho wa | == Ufafanuzi na utambulisho wa Kifiqhi == | ||
Muda wa Eda ni kipindi maalum ambapo mwanamke baada ya [[talaka]] au kifo cha mume wake au baada ya kujamiiana kimakosa na mtu mwingine, anakuwa hana haki ya kuolewa mume mwengine, mpaka kipindi hicho kimalizike. [1] | Muda wa Eda ni kipindi maalum ambapo mwanamke baada ya [[talaka]] au kifo cha mume wake au baada ya kujamiiana kimakosa na mtu mwingine, anakuwa hana haki ya kuolewa mume mwengine, mpaka kipindi hicho kimalizike. [1] |