Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 4: | Mstari 4: | ||
[[Masunni]] hawakubali [[Uimamu wa Maimamu wa Kishia]], lakini wanaonyesha upendo juu yao na kukubaliana na mamlaka yao ya kidini na kielimu. | [[Masunni]] hawakubali [[Uimamu wa Maimamu wa Kishia]], lakini wanaonyesha upendo juu yao na kukubaliana na mamlaka yao ya kidini na kielimu. | ||
Majina ya Maimamu 12 hayajatajwa katika [[Qur'an Kareem|Qur'an]], lakini kuna baadhi ya Hadithi kutoka kwa [[Mtume (s.a.w.w)]] kama vile Hadithi ya [[hotuba ya Ghadir]], [[Hadithi ya Jabir| | Majina ya Maimamu 12 hayajatajwa katika [[Qur'an Kareem|Qur'an]], lakini kuna baadhi ya Hadithi kutoka kwa [[Mtume (s.a.w.w)]] kama vile Hadithi ya [[hotuba ya Ghadir]], [[Hadithi ya Jabir|Hadithi]] iliyo nukuliwa na Jabir na [[Hadith ya Makhalifa Kumi na mbili (a.s)|Hadithi ya Makhalifa Kumi na mbili (a.s)]]. Kwa mujibu wa Hadithi hizi, Maimamu na warithi wa Mtume (s.a.w.w) ni watu kumi na mbili, wote ni kutoka kwa [[Maquraishi]] na familia ya Mtume (s.a.w.w). | ||
Kwa mujibu wa maoni ya madhehebu ya Mashia Ithnaashariyyah, Imam Ali (a.s) aliteuliwa na kupewa | Kwa mujibu wa maoni ya madhehebu ya Mashia Ithnaashariyyah, Imam Ali (a.s) aliteuliwa na kupewa cheo cha [[Uimamu]] kupitia vielelezo vya wazi kabisa kutoka Mtume (s.a.w.w). Yaani yeye aliteuliwa moja kwa moja na Mtume (s.a.w.w). Tangu wakati huo, kila imamu amemtambulisha Imamu atakaye fuata baada yake kwa vielelezo vya wazi na kwa maandishi. Kwa hiyo, warithi 12 baada ya Mtume (s.a.w.w), ni hawa wafuatao: [[Ali bin Abi Talib]], [[Imamu Hassan Mujtaba (a.s)|Hassan bin Ali]], [[Hussein bin Ali]], [[Ali bin Hussein]], [[Muhammad bin Ali]], [[Imam Swadiq (a.s)|Ja’afar bin Muhammad]], [[Imamu Musa Kadhim (a.s)|Mussa bin Jafa’ar]], [[Ali bin Mussa]]. [[Imamu Jawadi (a.s)|Muhammad bin Ali]], [[Ali bin Muhammad]], [[Hassan bin Ali]] na [[Mahdi]] (amani iwe juu yao). Kwa mujibu wa mtazamo mashuhuri wa [[Shia Imamiyyah|Kishia]], Maimamu kumi na mmoja waliuawa [[kishahidi]] na wa mwisho ambaye ni Mahdi aliyeahidiwa [[kudhuhiri]], yuko katika [[Ghaiba ya Imam Mahdi (a.t.f.s)|ghaibu]]. | ||
Kuna vitabu vingi vilivyo andikwa na kuhusiana na wasifu wa Maimamu wa Kishia na sifa zao, Kitabu maarufu kwa wanazuoni wa madhehebu ya [[Shia]] ni [[al-Irshadu]] na [[Dal'il al-Imama]], na kutoka upande wa Sunni ni [[Yanaabiu al-Muwadda]] na [[Tadhkratu al-Khawas]]. | Kuna vitabu vingi vilivyo andikwa na kuhusiana na wasifu wa Maimamu wa Kishia na sifa zao, Kitabu maarufu kwa wanazuoni wa madhehebu ya [[Shia]] ni [[al-Irshadu]] na [[Dal'il al-Imama]], na kutoka upande wa Sunni ni [[Yanaabiu al-Muwadda]] na [[Tadhkratu al-Khawas]]. |