Nenda kwa yaliyomo

Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 128: Mstari 128:
:''Makala asili: [[Imam Swadiq (a.s)]]''
:''Makala asili: [[Imam Swadiq (a.s)]]''


Ja'far bin Muhammad, anayejulikana pia kama Imamu al-Sadiq (a.s.), Imamu wa sita wa Shia, alikuwa mwana wa Imamu al-Baqir (a.s.) na Umm Farwa, binti ya Qasim bin Muhammad bin Abi Bakr. Alizaliwa tarehe 17 Rabi'u al-Awwal mwaka 83 Hijiria huko Madina. [85] Aliuawa shahidi na Mansur, Khalifa wa ukoo wa Banu Abbas, mwaka 148 Hijiria kupitia sumu [87] na akazikwa katika mava ya Baqi'i. [88]
Ja'far bin Muhammad, anayejulikana pia kama Imamu Swadiq (a.s), Imamu wa sita wa Shia, alikuwa mwana wa [[Imamu al-Baqir (a.s)]] na [[Ummu Farwa]], binti ya [[Qasim bin Muhammad bin Abi Bakr]]. Alizaliwa [[tarehe 17 Rabi'u al-Awwal]] [[mwaka 83 Hijiria]] huko [[Madina]]. [85] Aliuawa shahidi na [[Mansur]], Khalifa wa ukoo wa Banu Abbas, [[mwaka 148 Hijiria]] kupitia sumu [87] na akazikwa katika [[mava ya Baqi'i]]. [88]
Imamu Ja'far as-Sadiq, katika kipindi cha miaka 34 ya uimamu wake, [89] alipata fursa nzuri ya kueneza mafundisho ya Kiislamu kutokana na udhaifu wa utawala wa Bani Umayyah. Yeye alitumia udhaifu katika kueneza mafunzo ya dini kwa kadri ya uwezo wake. Imamu Ja'far as-Sadiq alikuwa ni mwanazuoni (Imamu) na mwalimu mashuhuri katika zama hizo, wanafunzi wake walijumuisha wanafunzi wengi wa Sunni na Shia. Juhudi zake ziliweza kutoa matunda ya wanafunzi wengi walibobea katika fani mbali mbali za elimu. [90] Inasemekana kwamba alikuwa na wanafunzi na wapokezi wa Hadithi wanao fikia zaidi ya watu 4,000. [91] Mingoni mwa wanafunzi walio orodheshwa ndani ya vyanzo mbali mbali kama vile; Zurara, Muhammad bin Muslim, Muuminu Taq, Hisham bin al-Hakam, Abaan bin Taghlib, Hisham bin Salim, Jabir bin Hayyan kwa upande wa Mashia. [92] Kutoka upande wa pili wa Ahl al-Sunna, kuna watu kama vile; Sufian al-Thauri, Abu Hanifa (mkuu wa madhehebu ya Hanafi), na Malik ibn Anas, kiongozi wa madhehebu ya Maliki. [93]
 
Sheikh Mufid alisema kwamba; Imamu Ja'afar al-Sadiq ndiye chanzo cha Hadithi nyingi zaidi miongoni mwa Maimamu kutoka ukoo wa Ahlu al-Bait (a). [94] Hii ndiyo sababu hasa ya wakati mwingine madhehebu ya Shia kujulikana kwa jina la madhehebu ya Ja'afariyyun. [95]
Imamu Ja'far as-Sadiq, katika kipindi cha miaka 34 ya uimamu wake, [89] alipata fursa nzuri ya kueneza mafundisho ya Kiislamu kutokana na udhaifu wa utawala wa Bani Umayyah. Yeye alitumia udhaifu katika kueneza mafunzo ya dini kwa kadri ya uwezo wake. Imamu Ja'far as-Sadiq alikuwa ni mwanazuoni (Imamu) na mwalimu mashuhuri katika zama hizo, wanafunzi wake walijumuisha wanafunzi wengi wa Sunni na Shia. Juhudi zake ziliweza kutoa matunda ya wanafunzi wengi walibobea katika fani mbali mbali za elimu. [90] Inasemekana kwamba alikuwa na wanafunzi na wapokezi wa Hadithi wanao fikia zaidi ya watu 4,000. [91] Mingoni mwa wanafunzi walio orodheshwa ndani ya vyanzo mbali mbali kama vile; [[Zurara]], [[Muhammad bin Muslim]], [[Muuminu Taq]], [[Hisham bin al-Hakam]], [[Abaan bin Taghlib]], [[Hisham bin Salim]], [[Jabir bin Hayyan]] kwa upande wa Mashia. [92] Kutoka upande wa pili wa Ahlu-Sunna, kuna watu kama vile; [[Sufian al-Thauri]], [[Abu Hanifa]] (mkuu wa madhehebu ya Hanafi), na [[Malik ibn Anas]], kiongozi wa madhehebu ya Maliki. [93]
 
Sheikh Mufid alisema kwamba; Imamu Ja'afar al-Sadiq ndiye chanzo cha Hadithi nyingi zaidi miongoni mwa Maimamu kutoka ukoo wa Ahlu al-Bait (a). [94] Hii ndiyo sababu hasa ya wakati mwingine madhehebu ya Shia kujulikana kwa jina la [[Shia Imamiyyah|madhehebu ya Ja'afariyyun]]. [95]


=== Imamu Musa al-Kadhim (a.s) ===
=== Imamu Musa al-Kadhim (a.s) ===
Automoderated users, confirmed, movedable
7,403

edits