Nenda kwa yaliyomo

Maimamu wa Kishia : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 120: Mstari 120:
:''Makala asili: [[Imamu Muhammad al-Baqir (a.s)]]''
:''Makala asili: [[Imamu Muhammad al-Baqir (a.s)]]''


Imamu Muhammad bin Ali, maarufu kama Imamu Muhammad al-Baqir (a.s), ni Imamu wa tano wa Shia. Yeye ni mtoto wa Imamu Sajjad (a.s) na mama yake ni Fatima, [74] binti wa Imamu Hassan (a.s), naye alizaliwa huko Madina mwaka wa 57 Hijiria. [75] Baada ya baba yake, alitawazwa kuwa Imamu kupitia amri ya Mungu, Mtume (s.a.w.w.), pamoja na wasia wa Maimamu waliotangulia kabla yake. Mnamo mwaka wa 114 Hijiria, [77] aliuawa kwa sumu kupitia mkono wa Ibrahim bin Walid bin Ablulmalik, [78] ambaye ni ndugu wa khalifa wa Amawiy. Baada kifo chake, Imamu Muhammad al-Baqir alizikwa karibu na kaburi la baba yake katika makaburi ya Baqi'i. Yeye pia alikuwa na miongoni mwa walio hudhuria katika tukio la vita vya Karbala, ambapo wakati huo alikuwa na umri wa miaka minne. [80]
Imamu Muhammad bin Ali, maarufu kama Imamu Muhammad al-Baqir (a.s), ni Imamu wa tano wa Shia. Yeye ni mtoto wa Imamu Sajjad (a.s) na mama yake ni [[Fatima binti wa Imamu Hassan (a.s)]] [74], naye alizaliwa huko [[Madina]] mwaka wa 57 Hijiria. [75] Baada ya baba yake, alitawazwa kuwa Imamu kupitia amri ya [[Mungu]], [[Mtume (s.a.w.w)]], pamoja na wasia wa Maimamu waliotangulia kabla yake. Mnamo [[mwaka wa 114 Hijiria]], [77] aliuawa kwa sumu kupitia mkono wa Ibrahim bin Walid bin Ablulmalik, [78] ambaye ni ndugu wa [[Hisham khalifa wa Amawiy]]. Baada kifo chake, Imamu Muhammad al-Baqir alizikwa karibu na kaburi la baba yake katika [[makaburi ya Baqi'i]]. Yeye pia alikuwa na miongoni mwa walio hudhuria katika tukio la vita vya [[Karbala]], ambapo wakati huo alikuwa na umri wa miaka minne. [80]
Katika kipindi cha Imamu wa tano, ambacho kilidumu kwa miaka 18 au 19, [81] kulikuwa na harakati za kimapinduzi na vita vya kila siku kutokana na dhuluma za Bani Umayyah. Harakati hizo ziliufanya utawala wa kikhalifa uwe katika hali ya fazaa za kila siku, jambo ambalo lilileta afuani kwa upande wa Mashia, ambapo serikali hiyo ilikuwa haina wakati wa kuwahijumu na kuwadhuru Ahlul Bait (a.s). [82] Kwa upande mwingine, tukio la Karbala na unyonge wa Ahlul Bait uliamsha hisia za Waislamu na kuwafanya wawe karibu naye Zaidi. Jmabo hili liliunda fursa mpya kwake ya kusambaza ukweli wa Kiislamu na maarifa sahihi ya dini kwa mtazamo halisi wa Ahlul Bait (a.s), fursa ambayo haijawezekana katika vya Maimamu waliopita kabla yake. Katika kipindi cha Imamu Muhammad al-Baqir (a.s) kilichoambatana na fursa hiyo muhimu, kulionekana kiwango kikubwa mno cha Hadithi kilicho nukuliwa kutoka kwake (a.s). [83] Kulingana na maelezo ya Sheikh Mufid ni kwamba, Hadithi zilizo nukuliwa kutoka kwa Muhammad al-Baqir (a.s) kuhusiana na maarifa ya kidini ni nyingi mno, kiasi ya kwamba hakuna hata mtoto mmoja wa Imamu Hassan na Hussein (a.s) aliyeacha kiwango kama hicho cha urithi wa Hadithi. [84]
 
Katika kipindi cha Imamu wa tano, ambacho kilidumu kwa miaka 18 au 19, [81] kulikuwa na harakati za kimapinduzi na vita vya kila siku kutokana na dhuluma za [[Bani Umayyah]]. Harakati hizo ziliufanya utawala wa kikhalifa uwe katika hali ya fazaa za kila siku, jambo ambalo lilileta afuani kwa upande wa Mashia, ambapo serikali hiyo ilikuwa haina wakati wa kuwahijumu na kuwadhuru [[Ahlul-Bayt (a.s)]]. [82] Kwa upande mwingine, [[tukio la Karbala]] na unyonge wa Ahlul Bait uliamsha hisia za [[Waislamu]] na kuwafanya wawe karibu naye Zaidi. Jambo hili liliunda fursa mpya kwake ya kusambaza ukweli wa Kiislamu na maarifa sahihi ya dini kwa mtazamo halisi wa Ahlul-Bayt (a.s), fursa ambayo haijawezekana katika vya Maimamu waliopita kabla yake. Katika kipindi cha Imamu Muhammad al-Baqir (a.s) kilichoambatana na fursa hiyo muhimu, kulionekana kiwango kikubwa mno cha [[Hadithi]] kilicho nukuliwa kutoka kwake (a.s). [83] Kulingana na maelezo ya [[Sheikh Mufid]] ni kwamba, Hadithi zilizo nukuliwa kutoka kwa Muhammad al-Baqir (a.s) kuhusiana na maarifa ya kidini ni nyingi mno, kiasi ya kwamba hakuna hata mtoto mmoja wa [[Imamu Hassan Mujtaba (a.s)|Imamu Hassan]] na [[Hussein (a.s)]] aliyeacha kiwango kama hicho cha urithi wa Hadithi. [84]


=== Imamu Sadiq (a.s) ===
=== Imamu Sadiq (a.s) ===
Automoderated users, confirmed, movedable
7,403

edits