Nenda kwa yaliyomo

Sarah : Tofauti kati ya masahihisho

No edit summary
Mstari 13: Mstari 13:
=== Kuhajiri kwake kwenda Misri ===
=== Kuhajiri kwake kwenda Misri ===


Baada ya da'awa na ulinganiaji wa Ibrahim juu ya kumuabudu Mungu mmoja huko [[Babylonia]] (Babeli), watu wachache tu ndio walimwamini, na kwa sababu hii, Ibrahim alihamia Sham pamoja na Sarah na Lut, lakini kutokana na kuenea kwa njaa, ukame na magonjwa, Sarah na mumewe Ibrahim (as) waliondoka na kwenda Misri. [14]
Baada ya da'awa na ulinganiaji wa Ibrahim juu ya kumuabudu Mungu mmoja huko [[Babylonia]] (Babeli), watu wachache tu ndio walimwamini, na kwa sababu hii, Ibrahim alihamia Sham pamoja na Sarah na Lut, lakini kutokana na kuenea kwa njaa, ukame na magonjwa, Sarah na mumewe Ibrahim (a.s) waliondoka na kwenda [[Misri]]. [14] Kulingana na vyanzo vya historia, mfalme wa Misri alipata habari kuhusu uzuri wa Sarah [15], na Ibrahim akijibu swali alipoulizwa kwamba, ana uhusiano gani na Sarah, akamtambulisha kama dada yake. [16] Kama alivyosema Ibn Athir ni kwamba, Ibrahim alikuwa akitambua kwamba, kama atasema Sarah ni mkewe, basi mfalme angetoa amri ya yeye kuuawa, ili amchukue Sarah. Ndio maana akaficha ukweli. [17] Mfalme wa Misri akamwita Sara na kujaribu kummiliki, lakini wakati huo huo mkono wake unakauka. [18] Mfalme akamtaka Sarah aombe dua ili mkono wake uwe na afya tena, ili amwachie aende zake, lakini baada ya Sarah kuomba dua na mkono wa mfalme kupona, mfalme yule akakiuka ahadi yake na akajaribu tena kumwendea Sarah na hili likatokea mara tatu. [19] Baada ya hapo, mfalme akajutia kitendo chake baada ya kufahamu kwamba, Sarah atakuwa sio mwanamke wa kawaida. Hivyo akampa na kumtunuku Sarah kanizi aliyejulikana kwa jina la Hajar na pamoja na zawadi nyingine na akamuachilia huru. [20]  
Kulingana na vyanzo vya historia, mfalme wa Misri alipata habari kuhusu uzuri wa Sarah [15], na Ibrahim akijibu swali alipoulizwa kwamba, ana uhusiano gani na Sarah, akamtambulisha kama dada yake. [16]
Kama alivyosema Ibn Athir ni kwamba, Ibrahim alikuwa akitambua kwamba, kama atasema Sarah ni mkewe, basi mfalme angetoa amri ya yeye kuuawa, ili amchukue Sarah. Ndio maana akaficha ukweli. [17]
Mfalme wa Misri akamwita Sara na kujaribu kummiliki, lakini wakati huo huo mkono wake unakauka. [18] Mfalme akamtaka Sarah aombe dua ili mkono wake uwe na afya tena, ili amwachie aende zake, lakini baada ya Sarah kuomba dua na mkono wa mfalme kupona, mfalme yule akakiuka ahadi yake na akajaribu tena kumwendea Sarah na hili likatokea mara tatu. [19]


Baada ya hapo, mfalme akajutia kitendo chake baada ya kufahamu kwamba, Sarah atakuwa sio mwanamke wa kawaida. Hivyo akampa na kumtunuku Sarah kanizi aliyejulikana kwa jina la Hajar na pamoja na zawadi nyingine na akamuachilia huru. [20]
Kwa mujibu wa [[Allamah Tabatabai]] ni kuwa, hii kwamba, Ibrahim alimtambulisha Sarah kama dada yake ni jambo ambalo haliendani na cheo cha Utume, na ni mojawapo ya mambo yanayokinzana na [[Torati ya sasa]], ambayo yamekuja katika vyanzo vya kihistoria na hadithi za Sunni. [21] Pia, kwa mujibu wa hadithi iliyonukuuliwa na Allama Tabatabai kutoka katika kitabu cha [[Al-Kafi (kitabu)|al-Kafi]] ni kwamba, katika mkasa huu Ibrahim alimtambulisha Sarah kama mke wake, na kila wakati mkono wa mfalme ulipokauka, ilikuwa ni kwa sababu ya maombi ya Ibrahim ambapo mkono wake ulikuwa ukirejea katika hali yake ya awali. [22]
Kwa mujibu wa Allamah Tabatabai ni kuwa, hii kwamba, Ibrahim alimtambulisha Sarah kama dada yake ni jambo ambalo haliendani na cheo cha Utume, na ni mojawapo ya mambo yanayokinzana na Torati ya sasa, ambayo yamekuja katika vyanzo vya kihistoria na hadithi za Sunni. [21]
Pia, kwa mujibu wa hadithi iliyonukuuliwa na Allama Tabatabai kutoka katika kitabu cha al-Kafi ni kwamba, katika mkasa huu Ibrahim alimtambulisha Sarah kama mke wake, na kila wakati mkono wa mfalme ulipokauka, ilikuwa ni kwa sababu ya maombi ya Ibrahim ambapo mkono wake ulikuwa ukirejea katika hali yake ya awali. [22]


'''Bishara ya kupata mtoto katika umri wa miaka 90'''
=== Bishara ya kupata mtoto katika umri wa miaka 90 ===


Kama ilivyokuja katika vyanzo vya kihistoria, Sara alipokuwa na umri wa miaka 90, malaika wa Mwenyezi Mungu walimpa habari njema ya kuzaliwa kwa mtoto. [23] Alicheka kutokana na kutoamini na kusema mwanamke mzee angewezaje kupata mimba? [24]
Kama ilivyokuja katika vyanzo vya kihistoria, Sara alipokuwa na umri wa miaka 90, [[malaika |malaika wa Mwenyezi Mungu]] walimpa habari njema ya kuzaliwa kwa mtoto. [23] Alicheka kutokana na kutoamini na kusema mwanamke mzee angewezaje kupata mimba? [24] Alipata mimba baada ya muda. [[Is'haq]] ni mtoto wao yeye na Ibrahim. [25] Katika sura mbili za Qur'ani Tukufu, kumeashiriwa habari njema za Malaika na radiamali ya Sarah ya kupata mtoto. [26]
Alipata mimba baada ya muda. Is'haq ni mtoto wao yeye na Ibrahim. [25] Katika sura mbili za Qur'ani Tukufu, kumeashiriwa habari njema za Malaika na radiamali ya Sarah ya kupata mtoto. [26]
Kabla ya kupata bishara ya mimba yake, kwa kuwa alikuwa tasa, Sarah alimpa kijakazi wake, Hajar, kwa mume wake Ibrahim ili apate mtoto pamoja naye, na baada ya hapo, Ismail, mwana wa Ibaham na Hajar, akazaliwa. [27]


'''Kuaga dunia'''
Kabla ya kupata bishara ya mimba yake, kwa kuwa alikuwa tasa, Sarah alimpa kijakazi wake, Hajar, kwa mume wake Ibrahim ili apate mtoto pamoja naye, na baada ya hapo, [[Ismail]], mwana wa Ibaham na Hajar, akazaliwa. [27]


Sarah, mke wa Nabii Ibrahim (as), aliaga dunia akiwa na umri wa miaka 127 katika eneo la Hebron (al-Khalil).
=== Kuaga dunia ===
Baada ya Sarah kuaga dunia, Nabii Ibrahim alinunua mahali fulani katika eneo la Hebron kutoka kwa wakazi wake na kumzika Sarah huko. [29] Baadaye, Ibrahim, Is'haq na Yaqub walikuja kuzikwa mahali hapo. [30]
Mahali palipotajwa hii leo panajulikana kama Haram ya Ibrahim na iko katika mji wa al-Khalil (zamani Hebron) kusini mwa Quds (Jerusalem) huko Palestina. [31]


'''Sifa maalumu'''
Sarah, mke wa Nabii Ibrahim (a.s), aliaga dunia akiwa na umri wa miaka 127 katika eneo la [[Hebron]] (al-Khalil). Baada ya Sarah kuaga dunia, Nabii Ibrahim alinunua mahali fulani katika eneo la Hebron kutoka kwa wakazi wake na kumzika Sarah huko. [29] Baadaye, Ibrahim, [[Is'haq]] na [[Yaqub]] walikuja kuzikwa mahali hapo. [30] Mahali palipotajwa hii leo panajulikana kama [[Haram ya Ibrahim]] na iko katika mji wa [[al-Khalil]] (zamani Hebron) kusini mwa [[Quds]] (Jerusalem) huko Palestina. [31]


Kwa mujibu wa hadithi inayonasibishwa kwa Imamu Ali (a.s.), Sarah anaitwa Muhaddatha kwa sababu Malaika walizungumza naye na wakampa habari njema ya kuzaliwa Is'haq (as). [32]
=== Sifa maalumu ===
Kwa mujibu wa riwaya iliyotajwa, Bibi Maryam, Bi Fatma Zahra na vilevile mama yake Nabii Musa (as) nao ni Muhaddatha. [33]
 
Mashia wanaamini kwamba, malaika hawakuzungumza na Manabii na Mitume tu; bali wamezungumza na Maimamu, Bibi Fatima na wengineo.” [34] Aya za Qur’ani Tukufu, zikiwemo Aya za 42 na 45 za Sura Al-Imran, kuhusu Malaika kuzungumza na Hadhrat Maryam, ni uthibitisho wa wazi wa imani na itikadi hii. [35]
Kwa mujibu wa hadithi inayonasibishwa kwa [[Imamu Ali (a.s)]], Sarah anaitwa Muhaddatha kwa sababu Malaika walizungumza naye na wakampa habari njema ya kuzaliwa [[Is'haq (a.s)]]. [32] Kwa mujibu wa riwaya iliyotajwa, [[Bibi Maryam]], [[Bi Fatma Zahra]] na vilevile [[mama yake Nabii Musa (a.s)]] nao ni [[Muhaddatha]]. [33] Mashia wanaamini kwamba, [[malaika]] hawakuzungumza na Manabii na Mitume tu; bali wamezungumza na Maimamu, Bibi Fatima na wengineo.” [34] Aya za [[Qur'an Kareem|Qur’an Tukufu]], zikiwemo Aya za 42 na 45 za Sura Al-Imran, kuhusu Malaika kuzungumza na Hadhrat Maryam, ni uthibitisho wa wazi wa imani na itikadi hii. [35]
Katika hadithi zilizonukuliwa na Sheikh Saduq na Ali bin Ibrahim Qommi, kumeashiriwa husuda na muamala usio mzuri wa Sarah baada ya kuzaliwa Ismail, na subira ya Ibrahim kuhusiana na jambo hili. [36] Hata hivyo, baadhi ya watafiti wa zama hizi wanasema, hadithi hizi ni dhaifu kimaana na kimapokezi. [37]
 
Kulingana na yale yaliyokuja katika Torati, Sarah alimtaka Ibrahim awafukuze Hajar na Ismail kutoka katika nyumba yake, lakini Ibrahim hakufurahishwa na ombi hili la Sarah. [38] Ingawa hatimaye, baada ya Mwenyezi Mungu kumtaka  afanye hilo, alifanya kwa mujibu wa takwa la Sarah. [39]
Katika hadithi zilizonukuliwa na [[Sheikh Swaduq]] na [[Ali bin Ibrahim Qommi]], kumeashiriwa husuda na muamala usio mzuri wa Sarah baada ya kuzaliwa Ismail, na subira ya Ibrahim kuhusiana na jambo hili. [36] Hata hivyo, baadhi ya watafiti wa zama hizi wanasema, hadithi hizi ni dhaifu kimaana na kimapokezi. [37] Kulingana na yale yaliyokuja katika Torati, Sarah alimtaka Ibrahim awafukuze Hajar na Ismail kutoka katika nyumba yake, lakini Ibrahim hakufurahishwa na ombi hili la Sarah. [38] Ingawa hatimaye, baada ya Mwenyezi Mungu kumtaka  afanye hilo, alifanya kwa mujibu wa takwa la Sarah. [39]
Hata hivyo, katika baadhi ya hadithi zingine inaelezwa kuwa, usimamizi na ulezi wa watoto wa Mashia na watoto wa waumini katika ulimwengu wa barzakhi umekabidhiwa kwa Sarah na Ibrahim ili wawaleee na kisha kuwakabidhi kwa wazazi wao. [40]
 
Hata hivyo, katika baadhi ya hadithi zingine inaelezwa kuwa, usimamizi na ulezi wa watoto wa [[Shia Imamiyyah|Mashia]] na watoto wa waumini katika [[ulimwengu wa barzakhi]] umekabidhiwa kwa Sarah na [[Ibrahim]] ili wawaleee na kisha kuwakabidhi kwa wazazi wao. [40]
Automoderated users, confirmed, movedable
7,396

edits