Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 301: Mstari 301:
== Farasi kuuponda mwili wa Imamu (a.s) ==
== Farasi kuuponda mwili wa Imamu (a.s) ==


Kwa amri ya Omar bin Sa'ad na kwa mujibu wa amri ya Ibnu Ziad, watu kumi wa kujitolea kutoka katika askari wa Kufa waliupiga teke mwili wa Imamu Hussein (A.S) na kuuponda kwa kwata za farasi wao na kuivunja mifupa ya kifua na mgongo wake. [186] Watu kumi waliojitolea kufanya kazi hiyo ni:  
Kwa amri ya Omar bin Sa'ad na kwa mujibu wa amri ya Ibnu Ziad, watu kumi wa kujitolea kutoka katika askari wa Kufa waliupiga teke mwili wa Imamu Hussein (a.s) na kuuponda kwa kwata za farasi wao na kuivunja mifupa ya kifua na mgongo wake. [186] Watu kumi waliojitolea kufanya kazi hiyo ni:  
* Is-haq bin Hawiyyah [187]
 
* Akhnas bin Marthad [188]
* [[Is-haq bin Hawiyyah]] [187]
* Hakim bin Tufail
* [[Akhnas bin Marthad]] [188]
* Amru bin Sabiih
* [[Hakim bin Tufail]]
* Rajaa-u bin Munqidh Abdiy
* [[Amru bin Sabiih]]
* Salim bin Khaithamah Ja'afiy
* [[Rajaa-u bin Munqidh Abdiy]]
* Waahidhi bin Naim
* [[Salim bin Khaithamah Ja'afiy]]
* Saleh bin Wahab Ja'afiy
* [[Waahidhi bin Naim]]
* Hani bin Shabthi Khadhrami
* [[Saleh bin Wahab Ja'afiy]]
* Usaidu bin Malik [189]
* [[Hani bin Shabthi Khadhrami]]
* [[Usaidu bin Malik]] [189]




'''Kupeleka vichwa vya mashahidi huko Kufa'''
'''Kupeleka vichwa vya mashahidi huko Kufa'''


Siku hiyo hiyo ya mauwaji, Omar bin Sa'ad alikituma kichwa Imamu Hussein (a.s) kupitia Kholi bin Yazid Asbahi na Hamid bin Muslim Azdiy ili wakifikishe kwa Obaidullah bin Ziad. Vile vile aliamuru vichwa vya mashahidi wa Karbala viondolewe kwenye miili yao, ambavyo vilikuwa ni vichwa vya mashahidi 72, ambavyo alivikabidhi kwa Shimru bin Dhi al-Jawshan, Qais bin Ash'ath, Amru bin Hajjaj na Uzratu bin Qais, ili wavifikisha mjini Kufa. [190]
Siku hiyo hiyo ya mauwaji, Omar bin Sa'ad alikituma kichwa Imamu Hussein (a.s) kupitia [[Kholi bin Yazid Asbahi]] na [[Hamid bin Muslim Azdiy]] ili wakifikishe kwa [[Ubaidullah bin Ziad]]. Vile vile aliamuru vichwa vya [[mashahidi wa Karbala]] viondolewe kwenye miili yao, ambavyo vilikuwa ni vichwa vya mashahidi 72, ambavyo alivikabidhi kwa [[Shimru bin Dhi al-Jawshan]], [[Qais bin Ash'ath]], [[Amru bin Hajjaj]] na [[Uzratu bin Qais]], ili wavifikisha mjini Kufa. [190]
 


[[Kutekwa kwa Familia ya Imamu (a.s)]]
'''Kutekwa kwa Familia ya Imamu (a.s)'''
:''Makala Asili: [[Mateka wa Karbala]]''
:''Makala Asili: [[Mateka wa Karbala]]''


Imamu Sajjad (a.s), ambaye alikuwa ni mgonjwa, pamoja na bibi Zainab (a.s) pamoja na wengine waliosalimika roho zao vitani, walikamatwa na kupelekwa mjini Kufa kwa Ibn Ziad, kisha kufikishwa kwenye kasri ya Yazid huko Syria. [191]
Imamu Sajjad (a.s), ambaye alikuwa ni mgonjwa, pamoja na bibi [[Zainab (a.s)]] pamoja na wengine waliosalimika roho zao vitani, walikamatwa [[Mateka wa Karbala|mateka]] na kupelekwa mjini Kufa kwa Ibn Ziad, kisha kufikishwa kwenye kasri ya [[Yazid]] huko [[Syria]]. [191]




'''Maziko ya Mashahidi'''
'''Maziko ya Mashahidi'''


Kupitia amri ya Omar bin Sa'ad, miili ya askari wa Kufa ilizikwa bila pingamizi; Lakini mwili wa Hussein (a.s) pamoja na miili ya masahaba zake ilibakia ardhini bila kuzikwa. [192] Tarehe 11 Muharram [193] au tarehe 13 Muharram [194] zimetajwa kuwa ndio siku za kuzikwa mashahidi wa Karbala. Kwa mujibu wa baadhi ya kauli; baada ya Omar bin Sa'ad na wafuasi wake kuondoka Karbala, kundi la watu wa kabila la Bani Asad -waliokuwa wakiishi karibu na Karbala- waliingia kwenye eneo la Karbala, na ulipofika usiku ambapo walihisi kuwa wapo salama na hawaonekani na maadui, walimsalia sala ya maiti Imamu Hussein (a.s) pamoja na masahaba zake, kisha wakawazika. [195] Kwa mujibu wa riwaya fulani, mwili wa Imamu Hussein (a.s) alizikwa kupitia msaada wa Imamu Sajjad (a.s). [196]
Kupitia amri ya Omar bin Sa'ad, miili ya askari wa Kufa ilizikwa bila pingamizi; Lakini mwili wa Hussein (a.s) pamoja na miili ya masahaba zake ilibakia ardhini bila kuzikwa. [192] [[Tarehe 11 Muharram]] [193] au [[tarehe 13 Muharram]] [194] zimetajwa kuwa ndio siku za kuzikwa [[mashahidi wa Karbala]]. Kwa mujibu wa baadhi ya kauli; baada ya [[Omar bin Sa'ad]] na wafuasi wake kuondoka [[Karbala]], kundi la watu wa kabila la [[Bani Asad]] -waliokuwa wakiishi karibu na Karbala- waliingia kwenye eneo la Karbala, na ulipofika usiku ambapo walihisi kuwa wapo salama na hawaonekani na maadui, walimsalia [[sala]] ya maiti Imamu Hussein (a.s) pamoja na masahaba zake, kisha [[wakawazika]]. [195] Kwa mujibu wa riwaya fulani, mwili wa [[Imamu Hussein (a.s)]] alizikwa kupitia msaada wa [[Imamu Sajjad (a.s)]]. [196]


== Masuala yanayofungamanab==
== Masuala yanayofungamanab==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,527

edits