Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 193: Mstari 193:

Imepokewa kutoka katika vyanzo kadhaa ya kwamba; baada ya kuisoma barua hii, Hussein (a.s) aliitupa kando na kusema: “Hawataokolewa watu wanaotanguliza kuridhika kwao wenyewe kabla ya kuridhika kwa Muumba wao". Mjumbe wa Ibnu Ziad akamuuliza Imamu Hussein (a.s): Ewe Aba Abdillahi, hutajibu barua hii? Imamu Hussein (a.s) akasema: “Jibu labarua yake ni adhabu chungu ya Mwenye Ezi Mungu, ambayo hivi karibuni itampata". Yule mjumbe akarudi kwa Ibnu Ziad na akamwambia yale aliyoyasema Imamu Hussein (a.s). Ubeidullahi akaamuru jeshi liandaliwe kwa ajili ya vita dhidi ya Hussein (a.s). [97]

'''Kuingia kwa Omar bin Sa'ad ndani ya Karbala'''
'''Kuingia kwa Omar bin Sa'ad ndani ya Karbala'''
Mstari 234: Mstari 235:
Mnamo [[tarehe 7 Muharram]], kuliandikwa barua kutoka kwa Ubaidullah bin Ziad kwenda kwa [[Omar bin Sa'ad]] ikimtaka amfungia maji Imamu Hussein (a.s) na masahaba wake. Baada ya kupokea barua hiyo, Omar bin Sa'ad alimwagiza [[Amru bin Hajjaj Zubaidi]] kuwaongoza wapanda farasi mia tano hadi kwenye [[kingo za mto Furati]] ili kumzuia Hussein (a.s) na masahaba zake wasipate maji. [135]

Kwa mujibu wa nukuu za baadhi ya vyanzo; Baada ya wao kufungiwa njia ya kuyafikia maji hayo, na kiu zao kupindikia hali ya kawaida. Hapo ndipo  Imamu Hussein (a.s) alipomtuma kaka yake ([[Abbas bin Ali bin Abi Talib (a.s)|Abbas]]) pamoja na wapanda farasi thelathini, watembeaji kwa miguu ishirini, wakiwa na vibuyu ishirini kwenda kuchota maji. Wakiwa katika usiku wa kiza huku [[Nafi'i bin Hilali Al-bajali]] mbele na bendera yake, walianza safari yao na hatiame kufika mto wa Furati (Euphrates). Hata hivyo, Amr bin Hajjaj, ambaye alikuwa na jukumu la kuulinda mto huo, alikabiliana na masahaba wa Imamu Hussein (a.s). Katika hali hiyo miongoni mwa masahaba hao wakawa wanajaza maji, huku wengine -akiwemo Abul Fadhli na Nafi'i bin Hilali Al-bajali- wakiwa wanapambana na kuwalinda wachotaji hao maji.
Kwa mujibu wa nukuu za baadhi ya vyanzo; Baada ya wao kufungiwa njia ya kuyafikia maji hayo, na kiu zao kupindikia hali ya kawaida. Hapo ndipo  Imamu Hussein (a.s) alipomtuma kaka yake ([[Abbas bin Ali bin Abi Talib (a.s)|Abbas]]) pamoja na wapanda farasi thelathini, watembeaji kwa miguu ishirini, wakiwa na vibuyu ishirini kwenda kuchota maji. Wakiwa katika usiku wa kiza huku [[Nafi'i bin Hilali Al-bajali]] mbele na bendera yake, walianza safari yao na hatiame kufika mto wa Furati (Euphrates). Hata hivyo, Amr bin Hajjaj, ambaye alikuwa na jukumu la kuulinda mto huo, alikabiliana na masahaba wa Imamu Hussein (a.s). Katika hali hiyo miongoni mwa masahaba hao wakawa wanajaza maji, huku wengine -akiwemo Abul Fadhli na Nafi'i bin Hilali Al-bajali- wakiwa wanapambana na kuwalinda wachotaji hao maji. Hatimae juhudi zao za kijasiri ziliwaruhusu kufanikiwa na kufisha maji kwenye mahema. [136]
Hatimae juhudi zao za kijasiri ziliwaruhusu kufanikiwa na kufisha maji kwenye mahema. [136]

Automoderated users, confirmed, movedable
7,527

edits