Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 177: Mstari 177:
Imepokewa kwamba; baada ya wao kutua Karbala, Imamu Hussein (a.s) aliwakusanya watoto wake, ndugu zake na familia yake na akawatazama na kulia. Kisha akasema: “Ewe Mola, hakika sisi ni familia ya Mtume wako Muhammad (s.a.w.w) ambao tumetolewa kutoka kwenye makazi yetu na mji wetu, hali tukiwa katika mfazaiko kuchanganyikiwa na kutangatanga, huku tukiwa tumeliacha kaburi la babu yetu [Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w) nyuma yetu), kutokana na kushambuliwa na kuhujumiwa na [[Bani Umayya]]. Ewe Mola tuchukulie haki yetu kutoka kwao na utusaidie dhidi ya madhalimu. Kisha akawageukia masahaba zake na kusema:

{{pull quote
اَلنَّاسُ عَبِیدُ الدُّنْیا وَالدِّینُ لَعْقٌ عَلَی أَلْسِنَتِهِمْ یحُوطُونَهُ مَا دَرَّتْ مَعَایشُهُمْ فَإِذَا مُحِّصُوا بِالْبَلَاءِ قَلَّ الدَّیانُونَ
|{{arabic|'''''اَلنَّاسُ عَبِیدُ الدُّنْیا وَالدِّینُ لَعْقٌ عَلَی أَلْسِنَتِهِمْ یحُوطُونَهُ مَا دَرَّتْ مَعَایشُهُمْ فَإِذَا مُحِّصُوا بِالْبَلَاءِ قَلَّ الدَّیانُونَ'''''}}
}}
::"Watu ni watumwa wa dunia, na dini ipo kwenye ncha ya ndimi zao tu, wanajishikiza nayo kwa kiasi cha mahitajio ya rizki zao tu, na wanapojaribiwa na kutahiniwa kupitia balaa fulani, basi ni wachache tu ndio watakaobakia katika dini." Rejea kitabu Maqtalu Al-Hussein cha Kharazmi, juz 1, uk 337.

Automoderated users, confirmed, movedable
7,532

edits