Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 150: Mstari 150:
'''Makabiliano na jeshi la Hurru bin Yazid Al-Riyahi'''
'''Makabiliano na jeshi la Hurru bin Yazid Al-Riyahi'''


[[Ibn Ziad]] alipopata habari kuhusu harakati za Imamu Hussein kuelekea Kufa, alimtuma mkuu wake wa jeshi, ambaye ni Huswein bin Tamimi, pamoja na wanajeshi elfu nne waelekee Qadisiyyah na wafuatilia maeneo yaliopo kati ya Qadisiyyah na Khaffani, na baina ya Qutqutaaniyyah hadi la'ala'a. Aliwataka wanajeshi hao wachunguze mapito ya watu katika maeneo hayo kisha wamfikishie habari za wanaopita maeneo hayo. [77] Harru bin Yazid Riyahi na askari wake elfu moja pia walikuwa sehemu ya jeshi hili, lililotumwa chini ya uongozi wa Husein bin Tamim ili kuzuia harakati za msafara wa Imam Hussein (a.s).[78] Abu Makhnaf, amenukuu habari kutoka kwa watu wawili wa kabila la Bani Asad walikuwa pamoja na Imamu Hussein (a.s) katika safari hii, ya kwamba; wakati msafara ule ulipoondoka kwenye makazi yake ya eneo la Sharaf, ulikutana na askari wa adui wakati wa nusu mchana wa siku hiyo. Katika hali hiyo, Imamu Hussein aliamua kuutiririsha msafara wake na kuelekea upande wa Dhul-Husam. [79] Adhuhuri, Harru bin Yazid na askari wake walikabiliana na Imamu Hussein (a.s) na masahaba zake. Imamu Hussein akawaamuru watu wake wawape maji askari wa Harru pamoja na farasi wao. Ilipoingia wakati wa sala ya adhuhuri, Imamu Hussein (a.s) alimuamuru muadhini wake -ambaye ni Hajaj bin Masruq Ja’afiy- asome adhana, ulipofika wakati wa kusali, Imamu Hussein (a.s) baada ya kumtakasa na kumhimidi Mwenye Ezi Mungu, aliwahutubia watu na kusema: "Enyi watu! nimesimama hapa mbele yenu, ili mupate kuwa udhuru baina yenu na Mola wenu, mimi sijaja kwenu, ila baada ya kupokea barua zenu, na kujiwa na wajumbe watokao kwenu walionitaka nije kwenu wakidai kuwa hawana imamu (kiongozi), huenenda Mola akakuongozeni kupitia mimi, hivyo basi; ikiwa bado mmesimama juu ya viapo na hadi zenu, basi mimi nitakuja mjini kwenu, ila kama kuja kwangu kutakuwa ni madhara kwenu, basi niambieni ili nirudi". Baada ya hayo Hurru pamoja na jeshi lake wakawa wamekaa kimya bila ya kusema jambo. Katika hali hiyo Imamu Hussein (a.s) akaamuru ikimiwe sala, Imamu akasalisha sala ya adhuhuri na Hurru pamoja na jeshi lake wakamfuata na kusali nyuma yake. [80]
[[Ibn Ziad]] alipopata habari kuhusu harakati za Imamu Hussein kuelekea Kufa, alimtuma mkuu wake wa jeshi, ambaye ni [[Huswein bin Tamimi]], pamoja na wanajeshi elfu nne waelekee [[Qadisiyyah]] na wafuatilia maeneo yaliopo kati ya Qadisiyyah na [[Khaffani]], na baina ya [[Qutqutaaniyyah]] hadi [[la'ala'a]]. Aliwataka wanajeshi hao wachunguze mapito ya watu katika maeneo hayo kisha wamfikishie habari za wanaopita maeneo hayo. [77] [[Harru bin Yazid Riyahi]] na askari wake elfu moja pia walikuwa sehemu ya jeshi hili, lililotumwa chini ya uongozi wa Husein bin Tamim ili kuzuia harakati za msafara wa Imam Hussein (a.s).[78]


Baada ya kusali sala ya Alasiri, Imamu Hussein (a.s) aliwageukia watu na kusema, "Enyi watu! Mtamkhofu Mwenye Ezi Mungu na kutambua ya kwamba haki yabidi iwafikie wanaostahiki, mtakuwa mmejitengenezea njia ya kumridhisha Mwenye Ezi Mungu. Sisi ni Ahlulbait, ndio tunaostahiki zaidi kushika nafasi ya uongozi wa jamii kuliko na wale wanaodai uongozi kwa hadaa na uongo, amabo matendo yao katika kukuongozeni hayaendani na misingi adilifu, na kazi yao ni kukufanyieni dhulma tu. Kama hamtuhisabu kuwa sisi ndio wenye haki hii na hamtaki kututii, na kama barua zenu hazilingani na maneno na rai zenu, basi mimi hivi sasa nitaamua kurudi nilikotoka." Harru ibn Yazid akajibu, "Mimi sina habari yoyote ili kuhusiana na barua ulizozitaja, na wala iisi hatukuwa miongoni mwa waandishi wa barua hizo, sisi tumeamreishwa kukupeleka kwa Ubaidullah ibn Ziad mara tu tunapokutana nawe." [81]
[[Abu Makhnaf]], amenukuu habari kutoka kwa watu wawili wa [[kabila la Bani Asad]] walikuwa pamoja na Imamu Hussein (a.s) katika safari hii, ya kwamba; wakati msafara ule ulipoondoka kwenye makazi yake ya eneo la [[Sharaf]], ulikutana na askari wa adui wakati wa nusu mchana wa siku hiyo. Katika hali hiyo, Imamu Hussein aliamua kuutiririsha msafara wake na kuelekea upande wa [[Dhul-Husam]]. [79]


Hussein (a.s) akawambia masahaba zake wageuze njia tayari kwa kurudi walikota, lakini Harru na jeshi lake wakamzuia. Hurru akasema: "Ni lazima nikupeleke kwa Ubaidullahi bin Ziad!" Hussein (a.s) akamjibu kwa kusema: "Naapa kwa Mungu, sitafungamana nawe kwenda kwa Ubadullahi." Hur akasema: Sijaagizwa kupigana nanyi; ila nimaagizwa nisikubanduke hadi nikupeleke mji wa Kufa, kwa hiyo kama unakataa kuja, basi ni bora ukashika njia ambayo haitakupeleka Kufa wala Madina; ili nipate kisingizio cha kumwandikia barua Ubaidullahi. Na kama utapenda kumwandikia barua Yazid basi mwandikie, huenda labda hii italeta amani na mwafaka mwema, na kwa maoni yangu hii ni bora kuliko mimi kujichafua mbele yako kupitia vita na migogoro." [82]
Adhuhuri, Harru bin Yazid na askari wake walikabiliana na Imamu Hussein (a.s) na masahaba zake. Imamu Hussein akawaamuru watu wake wawape maji askari wa Harru pamoja na farasi wao. Ilipoingia wakati wa sala ya adhuhuri, Imamu Hussein (a.s) alimuamuru [[muadhini]] wake -ambaye ni [[Hajaj bin Masruq Ja’afiy]]- asome adhana, ulipofika wakati wa kusali, Imamu Hussein (a.s) baada ya kumtakasa na kumhimidi Mwenyezi Mungu, aliwahutubia watu na kusema: "Enyi watu! nimesimama hapa mbele yenu, ili mupate kuwa udhuru baina yenu na Mola wenu, mimi sikuja kwenu, ila baada ya kupokea barua zenu, na kujiwa na wajumbe watokao kwenu walionitaka nije kwenu wakidai kuwa hawana imamu (kiongozi), huenenda Mola akakuongozeni kupitia mimi, hivyo basi; ikiwa bado mmesimama juu ya viapo na hadi zenu, basi mimi nitakuja mjini kwenu, ila kama kuja kwangu kutakuwa ni madhara kwenu, basi niambieni ili nirudi". Baada ya hayo Hurru pamoja na jeshi lake wakawa wamekaa kimya bila ya kusema jambo. Katika hali hiyo Imamu Hussein (a.s) akaamuru ikimiwe [[sala]], Imamu akasalisha sala ya adhuhuri na Hurru pamoja na jeshi lake wakamfuata na kusali nyuma yake. [80]


Msafara wa Imamu Hussein (a.s) ulisogea kutoka upande wa kushoto wa barabara za "Udhaibu" na "Qadisiyyah" na kufuata njia nyengine, Hurru naye akawa pamoja naye katika msafara huo. [83]
Baada ya kusali sala ya Alasiri, Imamu Hussein (a.s) aliwageukia watu na kusema, "Enyi watu! Mtamkhofu Mwenyezi Mungu na kutambua ya kwamba haki yabidi iwafikie wanaostahiki, mtakuwa mmejitengenezea njia ya kumridhisha Mwenyezi Mungu. Sisi ni [[Ahlul-Bayt (a.s)|Ahlulbait]], ndio tunaostahiki zaidi kushika nafasi ya [[uongozi]] wa jamii kuliko na wale wanaodai uongozi kwa hadaa na uongo, amabo matendo yao katika kukuongozeni hayaendani na misingi adilifu, na kazi yao ni kukufanyieni dhulma tu. Kama hamtuhisabu kuwa sisi ndio wenye haki hii na hamtaki kututii, na kama barua zenu hazilingani na maneno na rai zenu, basi mimi hivi sasa nitaamua kurudi nilikotoka." Harru ibn Yazid akajibu, "Mimi sina habari yoyote ili kuhusiana na barua ulizozitaja, na wala sisi hatukuwa miongoni mwa waandishi wa barua hizo, sisi tumeamrishwa kukupeleka kwa [[Ubaidullah ibn Ziad]] mara tu tunapokutana nawe." [81]
 
Hussein (a.s) akawambia masahaba zake wageuze njia tayari kwa kurudi walikota, lakini Harru na jeshi lake wakamzuia. Hurru akasema: "Ni lazima nikupeleke kwa Ubaidullahi bin Ziad!" Hussein (a.s) akamjibu kwa kusema: "Naapa kwa Mungu, sitafungamana nawe kwenda kwa Ubadullahi." Hur akasema: Sijaagizwa kupigana nanyi; ila nimaagizwa nisikubanduke hadi nikupeleke mji wa [[Kufa]], kwa hiyo kama unakataa kuja, basi ni bora ukashika njia ambayo haitakupeleka Kufa wala [[Madina]]; ili nipate kisingizio cha kumwandikia barua Ubaidullahi. Na kama utapenda kumwandikia barua [[Yazid]] basi mwandikie, huenda labda hii italeta amani na mwafaka mwema, na kwa maoni yangu hii ni bora kuliko mimi kujichafua mbele yako kupitia vita na migogoro." [82]
 
Msafara wa Imamu Hussein (a.s) ulisogea kutoka upande wa kushoto wa barabara za "[[Udhaibu]]" na "[[Qadisiyyah]]" na kufuata njia nyengine, Hurru naye akawa pamoja naye katika msafara huo. [83]




'''Kuwasili kwa mjumbe wa Ubaidullahi'''
'''Kuwasili kwa mjumbe wa Ubaidullahi'''


Hussein a.s), akiwa kwenye makazi ya “Baidhah” [84], baada ya kusali sala ya asubuhi, aliondoka yeye pamoja na masahaba zake na wakafika “Nainawa” karibu adhuhuri. Wakiwa katika eneo hilo Hurru alipokea barua kutoka kwa mjumbe wa Ubaidullahi isemayo: “Atakapokufikia mjumbe wangu na ukaipokea barua yangu, basi mdhibiti na uwe mkakamavu na mkali dhidi ya Hussein bin Ali (a.s), na wala usimuache ateremke mahala popote pale isipokuwa katika jangwa lisilo na mahala pa kujihami na wala maji. Nimemuamuru mjumbe wangu asitengane nawe mpaka alete khabari ya kwamba amri yangu imetimia, wa salaam.” [86]
Hussein (a.s), akiwa kwenye makazi ya “[[Baidhah]]” [84], baada ya kusali [[sala ya asubuhi]], aliondoka yeye pamoja na masahaba zake na wakafika “[[Nainawa]]” karibu adhuhuri. Wakiwa katika eneo hilo Hurru alipokea barua kutoka kwa mjumbe wa Ubaidullahi isemayo: “Atakapokufikia mjumbe wangu na ukaipokea barua yangu, basi mdhibiti na uwe mkakamavu na mkali dhidi ya Hussein bin Ali (a.s), na wala usimuache ateremke mahala popote pale isipokuwa katika jangwa lisilo na mahala pa kujihami na wala maji. Nimemuamuru mjumbe wangu asitengane nawe mpaka alete khabari ya kwamba amri yangu imetimia, wa salaam.” [86]


Hurru alimsomea Imamu (a.s) barua ya Ibn Ziad na Hussein bin Ali (a.s) akamwambia: “Acha tutue Nainawi au Ghaadhiriyyah.” [87] Hurru akamwambia: “Haiwezekani, kwa sababu Ubaidullah, amembakisha aliyeileta barua hii awe ni mpelelezi dhidi yangu!" Zuhair bin Qain alipendekeza wapigane dhidi ya Hurru na jeshi lake, kwa sababu kazi itakuwa ni ngumu zaidi iwapo jeshi la hurru litaungana na askari wengine wa Ubaidullah. Imam akajibu, “Mimi katu sitakuwa ni mwanzilishi wa vita". Kisha wakaendelea na msafara wao hadi Karbala, walipofika Karbala, Hurru na wafuasi wake wakasimama mbele ya msafara wao na kumzuia Imamu na masahaba wake kuendelea na safari yao. [89]
Hurru alimsomea Imamu (a.s) barua ya Ibn Ziad na Hussein bin Ali (a.s) akamwambia: “Acha tutue Nainawi au [[Ghaadhiriyyah]].” [87] Hurru akamwambia: “Haiwezekani, kwa sababu Ubaidullah, amembakisha aliyeileta barua hii awe ni mpelelezi dhidi yangu!" [[Zuhair bin Qain]] alipendekeza wapigane dhidi ya Hurru na jeshi lake, kwa sababu kazi itakuwa ni ngumu zaidi iwapo jeshi la hurru litaungana na askari wengine wa Ubaidullah. Imam akajibu, “Mimi katu sitakuwa ni mwanzilishi wa vita". Kisha wakaendelea na msafara wao hadi Karbala, walipofika Karbala, Hurru na wafuasi wake wakasimama mbele ya msafara wao na kumzuia Imamu na masahaba wake kuendelea na safari yao. [89]


== Imam akiwa Karbala ==
== Imam akiwa Karbala ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,546

edits