Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Safari ya Imamu Hussein (a.s) kuelekea Mji wa Kufa
No edit summary |
|||
Mstari 62: | Mstari 62: | ||
Kwa mujibu wa baadhi ya ripoti za kihistoria, Muslim, ambaye alikuwa na wasiwasi kuhusu Imamu Husein (a.s), alimuusia [[Omar bin Sa'ad]], ambaye anatokana na [[kabila la Quraishi]], kumtuma mtu kwa Imam na kumkataza Imamu Hussein asiende katika mji huo wa Kufa. [50] Omar bin Sa'ad naye akamtuma kuufikisha ujumbe wa Muslim kwa Imamu Hussein katika kituo cha makazi kilichokuwa kikijulikana kwa jina la [[Zubaala]]. [51] | Kwa mujibu wa baadhi ya ripoti za kihistoria, Muslim, ambaye alikuwa na wasiwasi kuhusu Imamu Husein (a.s), alimuusia [[Omar bin Sa'ad]], ambaye anatokana na [[kabila la Quraishi]], kumtuma mtu kwa Imam na kumkataza Imamu Hussein asiende katika mji huo wa Kufa. [50] Omar bin Sa'ad naye akamtuma kuufikisha ujumbe wa Muslim kwa Imamu Hussein katika kituo cha makazi kilichokuwa kikijulikana kwa jina la [[Zubaala]]. [51] | ||
== Safari ya Imamu Hussein (a.s) kuelekea | == Safari ya Imamu Hussein (a.s) kuelekea mji wa Kufa == | ||
Imamu Husein (a.s) aliondoka Makka kwenda Kufa mnamo siku ya nane ya Dhul-Hijjah [52] siku ambayo Muslim alisimama kwa ajili ya Hussein (a.s) mjini humo akiwa pamoja na watu 82, [53] ambao 60 kati yao walikuwa ni Mashia watoka mji huo Kufa. [54] | Imamu Husein (a.s) aliondoka Makka kwenda Kufa mnamo [[siku ya nane ya Dhul-Hijjah]] [52] siku ambayo [[Muslim bin Aqil|Muslim]] alisimama kwa ajili ya Hussein (a.s) mjini humo akiwa pamoja na watu 82, [53] ambao 60 kati yao walikuwa ni Mashia watoka mji huo [[Kufa]]. [54] | ||
Kwa mujibu wa maelezo ya Sheikh Mufid, Imamu Hussein (a.s) alisimamisha hijja yake bila ya kuikamilisha ili aondoke haraka mjini Makka. Hivyo basi aliamua kuibadili nia yake kutoka hijja na kwenda ibada ya | Kwa mujibu wa maelezo ya [[Sheikh Mufid]], Imamu Hussein (a.s) alisimamisha hijja yake bila ya kuikamilisha ili aondoke haraka mjini Makka. Hivyo basi aliamua kuibadili nia yake kutoka [[hijja]] na kwenda ibada ya [[Umra ya mufrad]] kisha akavua [[ihram]]. [55] Hata hivyo kutokana na ushahidi wa kihistoria na simulizi kadhaa, kuna baadhi ya watafiti waliosema kwamba; Tokea mwanzo Imamu Husein alikusudia kufanya ibada ya umra, na baada ya kumaliza ibada yake hiyo, aliondoka mjini Makka. [56] | ||
Katika mwezi wa mwisho ambao Imamu | Katika mwezi wa mwisho ambao Imamu Hussein (a.s) alikaa huko Makka, ambapo ilikuwa ikishakiwa ya kwamba; kuna uwezekano wa Imamu Hussein (a.s) kusafiri na kulekea mji Kufa, baadhi ya watu, akiwemo [[Abdullah bin Abbas]], walikwenda kwake ili kumzuia asisafiri kuelekea Kufa, ila juhuidi zao hazikufanikiwa. [57] | ||
Baada ya Imamu Hussein (a.s) na masahaba zake kuondoka mji wa Makka, Yahya bin Said, kamanda wa walinzi wa [['Amru bin Said bin 'Aas]] - ambaye pia aliku ni gavana wa Makka - pamoja na kundi la masahaba zake, walimfungia njia Hussein (a.s), Lakini Imamu Hussein hakuwajali na akaendelea na safari yake. [58] | |||
'''Vituo vya mapumziko vya msafara kutoka Makka hadi Kufa''' | '''Vituo vya mapumziko vya msafara kutoka Makka hadi Kufa''' | ||
Mstari 76: | Mstari 77: | ||
Vituo vya kupumzikia vya msafara wa Imamu Hussein (a.s) kutoka Makka kuelekea Kufa ni kama ifuatavyo: | Vituo vya kupumzikia vya msafara wa Imamu Hussein (a.s) kutoka Makka kuelekea Kufa ni kama ifuatavyo: | ||
# Bustan Banu Amir. | # [[Bustan Banu Amir]]. | ||
# Tan'im (Mahala ambapo Imamu Hussein (a.s) aliuteke msafara uliokuwa ukiongozwa na Buhairu bin Risani al-Himyari, wakala wa Yazid huko Yemen ambaye alikuwa akimpelekea ngawira kutoka mji wa Safaya kwenda Syria). | # [[Tan'im]] (Mahala ambapo Imamu Hussein (a.s) aliuteke msafara uliokuwa ukiongozwa na [[Buhairu bin Risani al-Himyari]], wakala wa Yazid huko Yemen ambaye alikuwa akimpelekea ngawira kutoka mji wa [[Safaya]] kwenda Syria). | ||
# Sifah: Mahala ambapo Imamu (a.s) alikutana mshairi maarufu Farazdaq. | # [[Sifah]]: Mahala ambapo Imamu (a.s) alikutana mshairi maarufu [[Farazdaq]]. | ||
# Dhatu 'Irqi: Mahala ambapo Imam (a.s) alikutana na Bishru bin al-Ghalib na 'Aunu bin 'Abdullahi bin Ja'far. | # [[Dhatu 'Irqi]]: Mahala ambapo Imam (a.s) alikutana na [[Bishru bin al-Ghalib]] na [['Aunu bin 'Abdullahi bin Ja'far]]. | ||
# Wadi | # [[Wadi Aqiq]]. | ||
# Ghamra. | # Ghamra. | ||
# Ummu Khirman. | # Ummu Khirman. | ||
# Salah. | # [[Salah]]. | ||
# Afi'iyyah | # [[Afi'iyyah]] | ||
# Ma'adin al-Fuzan. | # [[Ma'adin al-Fuzan]]. | ||
# 'Umqu. | # [['Umqu]]. | ||
# Sulailiyya. | # [[Sulailiyya]]. | ||
# Mughaitha Ma'awan. | # [[Mughaitha Ma'awan]]. | ||
# Nuqra. | # [[Nuqra]]. | ||
# Haajir: Mahala ambapo Imamu (a.s) alimtuma Qais bin Mushir kwenda mji wa Kufa. | # [[Haajir]]: Mahala ambapo Imamu (a.s) alimtuma [[Qais bin Mushir]] kwenda mji wa Kufa. | ||
# Sumaira. | # [[Sumaira]]. | ||
# Tuaz. | # [[Tuaz]]. | ||
# Ajfar: Mahala alipokutana Imamu Hussein (a.s) na na 'Abdullah bin al-Muti'i al-'Adawi na kumnasihi Imamu (a.s) arejee na asiendelea na safari yake. | # [[Ajfar]]: Mahala alipokutana Imamu Hussein (a.s) na na [['Abdullah bin al-Muti'i al-'Adawi]] na kumnasihi Imamu (a.s) arejee na asiendelea na safari yake. | ||
# Khuzaimiya. | # [[Khuzaimiya]]. | ||
# Zarud (Zuhayr bin al-Qain kuungana na msafara wa Imamu (a.s) na Imamu Hussein kukutana na watoto wa Muslim na kupokea habari za kuuawa shahidi Muslim na Hani. | # [[Zarud]] ([[Zuhayr bin al-Qain]] kuungana na msafara wa Imamu (a.s) na Imamu Hussein kukutana na watoto wa Muslim na kupokea habari za kuuawa shahidi Muslim na [[Hani bin Urwa|Hani]]. | ||
# Al-Tha'alabiyyah. | # [[Al-Tha'alabiyyah]]. | ||
# Batani. | # [[Batani]]. | ||
# Shuquuq. | # [[Shuquuq]]. | ||
# Zubala: Alipopokea habari za kifo cha kishahidi cha Qais na kundi la watu kujiunga na msafara wa Imam (a.s) akiwemo Nafi'i bin Hilal. | # [[Zubala]]: Alipopokea habari za kifo cha kishahidi cha Qais na kundi la watu kujiunga na msafara wa Imam (a.s) akiwemo [[Nafi'i bin Hilal]]. | ||
# Batnu al-'Aqaba: Mahapa ambapo Imamu (a.s) alikutana na 'Amru bin Luzan na ushauri wake kwa Imam (a.s) wa kumtaka kurejea. | # [[Batnu al-'Aqaba]]: Mahapa ambapo Imamu (a.s) alikutana na [['Amru bin Luzan]] na ushauri wake kwa Imam (a.s) wa kumtaka kurejea. | ||
# 'Amiyyah | # [['Amiyyah]] | ||
# Waqisa. | # [[Waqisa]]. | ||
# Sharaf. | # [[Sharaf]]. | ||
# Birka Abu al-Misk. | # [[Birka Abu al-Misk]]. | ||
# Dhu Husam: Imamu Hussein (a.s) kukutana na jeshi la Hurru bin Yazid al-Riyahi. | # [[Jabal Dhu Husam]]: Imamu Hussein (a.s) kukutana na jeshi la [[Hurru bin Yazid al-Riyahi]]. | ||
# Baidha: Mahala alipotoa Imamu (a.s) hotuba maarufu kwa masahaba zake pamoja na Hurru. | # [[Baidha]]: Mahala alipotoa Imamu (a.s) hotuba maarufu kwa masahaba zake pamoja na Hurru. | ||
# Musaijad. | # [[Musaijad]]. | ||
# Hamam. | # Hamam. | ||
# Mughaitha | # [[Mughaitha]] | ||
# Ummu Qar'wan. | # [[Ummu Qar'wan]]. | ||
# 'Udhaibu al-Hijanaati (njia ya Kufa ilikuwa ni kutoka Udhaibu hadi Qadisiyyah na al-Hira, lakini Imamu (a.s) alibadilisha njia yake na hatiame akasimama Karbala. | # [['Udhaibu al-Hijanaati]] (njia ya Kufa ilikuwa ni kutoka Udhaibu hadi [[Qadisiyyah]] na [[al-Hira]], lakini Imamu (a.s) alibadilisha njia yake na hatiame akasimama [[Karbala]]. | ||
# Qasr Bani Muqatil: Mahala Imamu (a.s) alipokutana na Ubaidu Allah bin Hurru al-Ju'ufi na kukataa kwake kumsaidia Imamu (a.s) | # [[Qasr Bani Muqatil]]: Mahala Imamu (a.s) alipokutana na [[Ubaidu Allah bin Hurru al-Ju'ufi]] na kukataa kwake kumsaidia Imamu (a.s) | ||
# Qatqatana. | # [[Qatqatana]]. | ||
Karbala, Wadi Al-Taff: Imamu Hussein (a.s) aliingia Karbala mwezi 2 Muharram mwaka wa 61 Hijiria. [59] | # Karbala, [[Wadi Al-Taff]]: Imamu Hussein (a.s) aliingia Karbala mwezi 2 Muharram [[mwaka wa 61 Hijiria]]. [59] | ||
Akiwa njiani Imam Hussein (a.s), alijaribu kuwavutia au kuwafunua watu akili ili waondoke kutoka katika giza la dhulma na wafungamane naye katika kupigania haki; Miongoni mwa juhudi zake katika kuuanika ukweli na kuutandaza hadharani; ni pale alipokuwa [[Dhatu 'Irqi]], ambapo [[Bishr bin Ghalib Al-Asadi]] alimfikia Imamu na kumpa habari juuu ya hali ya machafuko ilioko mjini Kufa na Imamu akamuunga mkono na kuthibitisha maneno yake.Bishr bin Ghalib Al-Asadi akamuuliza Imamu Hussein (a.s) kuhusu Aya isemayo: ''((یوْمَ نَدْعُو کُلَّ أُنَاس بِإِمَامِهِم)) ; "Siku tutakapowaita watu wote kupitia Maimamu wao"''. [60] Imamu Hussein (a.s) akasema: "Kuna makundi mawili ya maimamu; kundi linalowalingania watu kwenye uwongofu na kundi linalowalingania kwenye upotovu." Hivyo basi yeyote yule atakayemfuata [[imamu]] wa uongofu atakwenda [[peponi]], na atakayemfuata imamu wa upotofu ataingia [[motoni]]. [61] Bishr bin Ghalib hakufuatana na Imam Hussein (a.s) katika mapambano yake dhidi ya dhulma. Inasemekana ya kwamba; baada ya kumalizika kwa tukio la Karbala, yeye alikuwa alikuwa akienda kulia kwenye kaburi la Imamu Hussein (a.s) akidhihirisha majuto yake kwa kutomsaidia Imamu Hussein (a.s). [62] | |||
Katika eneo la [[Tha'albiyya]], mtu mmoja aitwaye Abu Hirrah Al-Azdi alikuja kwa Imamu Hussein (a.s) na kumuuliza makusudio ya safari yake hiyo, na Imamu Hussein (a.s) akamjibu kwa kusema: | |||
[[Bani Umayya]] wamechukua mali yangu, nikavuta [[subra]], wakanitukana pia nikavuta subra, ila nilivyowaona wamedhamiria kumwaga damu yangu nikaamua kukimbia. Ewe Abu Hirrah! Elewa ya kwamba mimi nitauawa na kundi la waasi na Mwenyezi Mungu atawavisha kabisa vazi la unyonge (atawadhalilisha) na atawachagulia mtawala atakaye wadhalilisha na kuwatawala kwa upanga mkali. [63] | |||
'''Kutumwa kwa Qais bin Mus'har kwenda mji wa Kufa''' | |||
Imamu Hussein (a.s) alipofika eneo la Batnu al-Rummah, aliandika barua kwa watu wa Kufa na kuwajulisha juu ya safari yake kuelekea mji wao. [64] Aliikabidhi barua hiyo kwa Qais bin | Imamu Hussein (a.s) alipofika eneo la [[Batnu al-Rummah]], aliandika barua kwa watu wa Kufa na kuwajulisha juu ya safari yake kuelekea mji wao. [64] Aliikabidhi barua hiyo kwa [[Qais bin Mus'har Al-Saidawiy]]. Hata hivyo, wakati Qais aliposimamishwa na maafisa wa [[Ubaidullah bin Ziad]] huko [[Qadisiyyah]], ilimbidi aichane barua hiyo ili wasigundue yaliyomo ndani yake. Wakati Qais alipoletwa mbele ya Ibnu Ziyad, alitakiwa kufichua majina ya watu ambao Imamu Hussein (a.s) alikuwa amewaandikia barua hiyo au apande mimbari na kumtukana Imamu Hussein (a.s) na familia yake. Ibnu Ziad alimlazimisha Qais kufnaya alivyomwamrisha la si hivyo, ataamuru akatwe kichwa. Qais bin Mus'har Al-Saidawiy alichagua wazo la kupanda mimbari, ila badala ya kumtukana Imamu Hussein na familia yake, akaanza kumsifu Imamu Husein (a.s) kwa kusema: "Kwa hakika si mwengine bali ni Hussein bin Ali (a.s) ambaye ni mbora wa viumbe wa Mwenyezi Mungu, ambaye yuko njiani kuuelekea mji wenu, hivyo basi muungeni mkono na mumpe himaya zenu". Baada ya kufanya hivyo, Ibnu Ziad akaamuru atupwe kutaka juu ya ya paa la kasri la Dar al-Imara. [65] | ||
'''Kutumwa kwa Abdullahi bin Yaqtar kwenda | '''Kutumwa kwa Abdullahi bin Yaqtar kwenda mji wa Kufa''' | ||
Imesimuliwa ya kwamba; kabla ya Imamu Hussein (a.s) kupata habari kuhusu kifo cha kishahidi cha Muslim, alimtuma Abdullah ibn Yaqtar, kaka yake (Ibnu Yaqta) wa kunyonya [66], kwa Muslim. Hata hivyo, alitekwa na Huswein bin Tamimi na kupelekwa kwa Ubaidullahi bin Ziad. Ubaidullahi aliamuru Abdullah ibn Yaqtar apelekwe juu ya kasri ya Dar al-Amara ili amlaani Imamu Hussein (a.s) na baba yake (Ali bin Abitalib) mbele ya watu wa Kufa! Ibnu Yaqtar alipokwenda juu ya kasri, aliwahutubia watu na kusema: "Enyi watu! Mimi ni mjumbe wa Hussein (a.s), ambaye ni mjukuu wa Mtume (s.a.w.w) na ni mtoto wa bint yake (Fatima); basi fanyeni hima kumsaidia, na simameni dhidi ya mwana wa Marjana." [67] Ubaidullah alipoona hivyo, aliamuru atupwe chini kutoka juu ya kasri, na hatima yake ikawa ni kuuawa kishahidi. [68] Habari za kuuawa kishahidi kwa Abdullahi ibn Yaqtar, pamoja na habari za kuuawa kishahidi kwa Muslim na Hani, zilimfikia Imamu Hussein (a.s) akiwa kwenye makazi ya eneo la Zubaleh. [69] | Imesimuliwa ya kwamba; kabla ya Imamu Hussein (a.s) kupata habari kuhusu kifo cha kishahidi cha Muslim, alimtuma [[Abdullah ibn Yaqtar]], kaka yake (Ibnu Yaqta) wa kunyonya [66], kwa Muslim. Hata hivyo, alitekwa na [[Huswein bin Tamimi]] na kupelekwa kwa Ubaidullahi bin Ziad. Ubaidullahi aliamuru Abdullah ibn Yaqtar apelekwe juu ya kasri ya Dar al-Amara ili amlaani Imamu Hussein (a.s) na baba yake (Ali bin Abitalib) mbele ya watu wa Kufa! Ibnu Yaqtar alipokwenda juu ya kasri, aliwahutubia watu na kusema: "Enyi watu! Mimi ni mjumbe wa Hussein (a.s), ambaye ni mjukuu wa Mtume (s.a.w.w) na ni mtoto wa bint yake (Fatima); basi fanyeni hima kumsaidia, na simameni dhidi ya [[mwana wa Marjana]]." [67] Ubaidullah alipoona hivyo, aliamuru atupwe chini kutoka juu ya kasri, na hatima yake ikawa ni kuuawa kishahidi. [68] Habari za kuuawa kishahidi kwa Abdullahi ibn Yaqtar, pamoja na habari za kuuawa kishahidi kwa Muslim na [[Hani bin Urwa|Hani]], zilimfikia Imamu Hussein (a.s) akiwa kwenye makazi ya eneo la [[Zubaleh]]. [69] | ||
'''Barua ya Imamu Hussein kwa Gavana wa Basra''' | '''Barua ya Imamu Hussein kwa Gavana wa Basra''' | ||
:''Makala Asili: [[Barua ya Imam Hussein kwa watu wa Basra]]'' | :''Makala Asili: [[Barua ya Imam Hussein kwa watu wa Basra]]'' | ||
Imam Hussein ( | Imam Hussein (a.s) aliwaandikia barua wazee (wakuu wa makabila) wa [[Basra]] na akaituma barua hiyo kupitia [[Salim bin Razien]] kwa viongozi wa makabila matano ya Basra (yaani: 'Aaliyah, Bakru bin Wael, Tamim, Abdu al-Qais, na Azdi). [70] Salim aliwasilisha nakala ya barua ya Imamu kwa kila mmoja wa viongozi wa Basra ambao ni; [[Malik bin Musmi'i Bakri]], [[Ahnaf bin Qais]], [[Mundhir bin Jaaruud]], [[Mas'uud bin Amru]], [[Qais bin Haitham]], na [[Amru bin Ubaidullah bin Ma'amar]]. [71] | ||
Yaliyomo ndani ya barua hiyo yalikuwa ni wito wa kufuata [[Kitabu cha Mwenyezi Mungu]] na Sunnah za [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]], kwani [[Sunnah]] ilikuwa imeachwa na [[uzushi]] umechukua nafasi yake. Imamu aliahidi kuwaongoza kwenye njia iliyonyooka ikiwa watasikiliza maneno yake na kufuata maamrisho yake. [72] | |||
Hata hivyo, wazee wote wa Basra waliopokea nakala ya barua hiyo waliificha isipokuwa [[Mundhir bin Jaaruud]], ambaye alishuku kwamba; yawezekana barua hizo ni ujanja ulitokana na Ubaidullah bin Ziyad. [73] Kwa hiyo, katika usiku wa kabla ya kuondoka kwa Ibn Ziyad kwenda Kufa, Mundhir aliripoti jambo hilo kwake. [74] Ibn Ziad naye akamtaka mjumbe wa Hussein (a.s) awasilishwe kwake kisha akamkata kichwa. [75] | |||
== Kubadilisha njia na kuelekea Karbala == | == Kubadilisha njia na kuelekea Karbala == |