Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Imam Hussein kuwasili Makka
Mstari 56: | Mstari 56: | ||
'''Muslim bin Aqiil kutumwa Mji wa Kufa''' | '''Muslim bin Aqiil kutumwa Mji wa Kufa''' | ||
Imamu Husein (a.s) alimpa barua Muslim bin Aqiil, binamu yake, aende Iraq akachunguze hali ilivyo katika mji huo kisha amjulishe hali halisis ilivyo.” [36] Baada ya kufika katika mji wa Kufa, Muslim ima alikaa katika nyumba ya Mukhtar bin Abi 'Ubaid Thaqafiy, [37] au nyumba ya Muslim bin Ausajah. [38] Mashia wakawa wanakwenda kukutana naye katika mahala alipofikia, naye akawa anawasomea ujumbe ulioko katika barua hiyo. [39] Katika hali hiyo, Muslim awaka anachukua kiapo cha utiifu kwa ajili ya Imamu Husein (a.s) kutoka kwa watu mbali mbali. [40] Katika mji huo wa Kufa, Muslim bin 'Aqiil aliweza kupata kiasi cha viapo 12,000 [41] au 18,000. [42] Ila kwa mujibu wa nukuu nyengine, Muslim aliweza kukusanya zaidi ya watu 30,000 [43] na kuchukua viapo vya utiifu kwa ajili ya Imamu Hussein (a.s) kutoka kwao. Muslim alimwandikia barua Imamu Hussein na kuthibitisha kuwepo idadi kubwa ya watu walitoa ahadi ya utiifu na akamtaka Imamu Hussein aende katika mji huo wa Kufa. [44] | Imamu Husein (a.s) alimpa barua [[Muslim bin Aqiil]], binamu yake, aende [[Iraq]] akachunguze hali ilivyo katika mji huo kisha amjulishe hali halisis ilivyo.” [36] Baada ya kufika katika mji wa Kufa, Muslim ima alikaa katika nyumba ya [[Mukhtar bin Abi 'Ubaid Thaqafiy]], [37] au nyumba ya [[Muslim bin Ausajah]]. [38] [[Shia|Mashia]] wakawa wanakwenda kukutana naye katika mahala alipofikia, naye akawa anawasomea ujumbe ulioko katika barua hiyo. [39] Katika hali hiyo, Muslim awaka anachukua [[kiapo cha utiifu]] kwa ajili ya Imamu Husein (a.s) kutoka kwa watu mbali mbali. [40] Katika mji huo wa Kufa, Muslim bin 'Aqiil aliweza kupata kiasi cha viapo 12,000 [41] au 18,000. [42] Ila kwa mujibu wa nukuu nyengine, Muslim aliweza kukusanya zaidi ya watu 30,000 [43] na kuchukua viapo vya utiifu kwa ajili ya Imamu Hussein (a.s) kutoka kwao. Muslim alimwandikia barua Imamu Hussein na kuthibitisha kuwepo idadi kubwa ya watu walitoa ahadi ya utiifu na akamtaka Imamu Hussein aende katika mji huo wa Kufa. [44] | ||
Yazid, aliposikia habari za kiapo cha utiifu cha watu wa Kufa kupitia Muslim na pia muala nyororo alioupata kutoka kwa Numan bin Bashir (mtawala wa Kufa wakati huo), aliamua kumteua Ubaidullah bin Ziad, ambaye alikuwa ni mtawala wa Basra wakati huo, ili aje kutawala watu wa mji wa Kufa. [45] Baada ya Ibnu Ziad kuingia mjini Kufa, alianza kuwasaka waliotoa kiapo cha utiifu kwa Imamu Hussein (a.s), na kuwatisha wakuu wa makabila wa mji huo. [46] Ripoti za historia zinaeleza juu ya hofu ya watu kutokana na propaganda za Ubaidullah, khofu ambayo iliwafnya watawanyike kwa haraka mno na kuachana na Muslim bin 'Aqiil, hadi ikafikia hali ya Muslim kuachwa peke yake akiwa hana maha pa kulala. [47] Hali hiyo ya iliendelea hatimaye baada ya mzozo fulani, alijisalimisha kupitia barua ya amani ya Muhammad bin Ash'ath [48] na kupelekwa ikulu. Ila Ibnu Ziad akaidharau na kuitupilia mbali barua ya amani ya Ibnu Ash'ath, kisha akaamuru wafuasi wake kumkata kichwa Muslim bin 'Aqiil. [49] | [[Yazid]], aliposikia habari za kiapo cha utiifu cha watu wa Kufa kupitia Muslim na pia muala nyororo alioupata kutoka kwa [[Numan bin Bashir]] (mtawala wa Kufa wakati huo), aliamua kumteua [[Ubaidullah bin Ziad]], ambaye alikuwa ni mtawala wa [[Basra]] wakati huo, ili aje kutawala watu wa mji wa Kufa. [45] Baada ya Ibnu Ziad kuingia mjini Kufa, alianza kuwasaka waliotoa kiapo cha utiifu kwa Imamu Hussein (a.s), na kuwatisha wakuu wa makabila wa mji huo. [46] Ripoti za historia zinaeleza juu ya hofu ya watu kutokana na propaganda za Ubaidullah, khofu ambayo iliwafnya watawanyike kwa haraka mno na kuachana na Muslim bin 'Aqiil, hadi ikafikia hali ya Muslim kuachwa peke yake akiwa hana maha pa kulala. [47] Hali hiyo ya iliendelea hatimaye baada ya mzozo fulani, alijisalimisha kupitia barua ya amani ya [[Muhammad bin Ash'ath]] [48] na kupelekwa ikulu. Ila Ibnu Ziad akaidharau na kuitupilia mbali barua ya amani ya Ibnu Ash'ath, kisha akaamuru wafuasi wake kumkata kichwa Muslim bin 'Aqiil. [49] | ||
Kwa mujibu wa baadhi ya ripoti za kihistoria, Muslim, ambaye alikuwa na wasiwasi kuhusu Imamu Husein (a.s), alimuusia Omar bin Sa'ad, ambaye anatokana na kabila la Quraishi, kumtuma mtu kwa Imam na kumkataza Imamu Hussein asiende katika mji huo wa Kufa. [50] Omar bin Sa'ad naye akamtuma kuufikisha ujumbe wa Muslim kwa Imamu Hussein katika kituo cha | Kwa mujibu wa baadhi ya ripoti za kihistoria, Muslim, ambaye alikuwa na wasiwasi kuhusu Imamu Husein (a.s), alimuusia [[Omar bin Sa'ad]], ambaye anatokana na [[kabila la Quraishi]], kumtuma mtu kwa Imam na kumkataza Imamu Hussein asiende katika mji huo wa Kufa. [50] Omar bin Sa'ad naye akamtuma kuufikisha ujumbe wa Muslim kwa Imamu Hussein katika kituo cha makazi kilichokuwa kikijulikana kwa jina la [[Zubaala]]. [51] | ||
== Safari ya Imamu Hussein (a.s) kuelekea Mji wa Kufa == | == Safari ya Imamu Hussein (a.s) kuelekea Mji wa Kufa == |