Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho
→Kuondoka kwa Imamu Hussein kutoka Mji wa Madina
Mstari 26: | Mstari 26: | ||
Baada ya Muhammad bin Hanafia kupata taarifa kuhusu safari ya, kaka yake (Imamu Hussein) (a.s), alikwenda kwake kumuaga na Imamu Hussein (a.s) alimwandikia wasia, unaosema: | Baada ya Muhammad bin Hanafia kupata taarifa kuhusu safari ya, kaka yake (Imamu Hussein) (a.s), alikwenda kwake kumuaga na Imamu Hussein (a.s) alimwandikia wasia, unaosema: | ||
{{pull quote | {{pull quote | ||
|{{arabic|''إنّی لَم اَخْرج أشِراً و لا بَطِراً و لا مُفْسِداً و لا ظالِماً وَ إنّما خَرجْتُ لِطلبِ الإصلاح فی اُمّةِ جَدّی اُریدُ أنْ آمُرَ بالمَعْروفِ و أنْهی عن المُنکَرِ و أسیرَ بِسیرةِ جدّی و سیرةِ أبی علی بن أبی طالب''}} | |{{arabic|'''''إنّی لَم اَخْرج أشِراً و لا بَطِراً و لا مُفْسِداً و لا ظالِماً وَ إنّما خَرجْتُ لِطلبِ الإصلاح فی اُمّةِ جَدّی اُریدُ أنْ آمُرَ بالمَعْروفِ و أنْهی عن المُنکَرِ و أسیرَ بِسیرةِ جدّی و سیرةِ أبی علی بن أبی طالب'''''}} | ||
}} | }} | ||
::''Kwa hakika, sikusimama (dhidi ya Yazid) kwa nia uovu, au kutokujuwa shukura, na wala si kwa nia ya ufisadi au nia ya dhulumu, bali nimesimama kwa ajili kutafuta mageuzi ya kuurekebisha umma wa babu yangu. Maimamo wangu ni kwa ajili ya kukataza mabaya na kuamrisha mema, ni kwa ajili ya kuurudisha umma kwenye nyenendo na msingi wa babu yangu na baba yangu Ali bin Abi Talib (a.s).''<ref>Ibn Aʿtham, ''al-Futūḥ'', vol. 5, p. 22; Khwārizmī, ''Maqtal al-Ḥusayn'', p. 189.</ref> [26] | ::'''''Kwa hakika, sikusimama (dhidi ya Yazid) kwa nia uovu, au kutokujuwa shukura, na wala si kwa nia ya ufisadi au nia ya dhulumu, bali nimesimama kwa ajili kutafuta mageuzi ya kuurekebisha umma wa babu yangu. Maimamo wangu ni kwa ajili ya kukataza mabaya na kuamrisha mema, ni kwa ajili ya kuurudisha umma kwenye nyenendo na msingi wa babu yangu na baba yangu Ali bin Abi Talib (a.s).'''''<ref>Ibn Aʿtham, ''al-Futūḥ'', vol. 5, p. 22; Khwārizmī, ''Maqtal al-Ḥusayn'', p. 189.</ref> [26] | ||
Imamu Husein (a.s) aliondoka Madina pamoja na masahaba zake, na kinyume na matakwa ya jamaa zake, yeye alishika njia kuu ya kuelekea Makka. [27] Wakiwa njiani kuelekea Makka, Imamu Husein (a.s) alikutana na Abdullah bin Muti'i, naye kamuuliza anapoelekea Imamu Hussein (a.s). Imamu (a.s) akasema: "Hihi sasa ninaelekea Makka, na nikifika huko, nitamwomba Mungu kheri juu ya safari itakayofuatia baada ya hapo. AAbdullah bin Muti'i akamtahadharisha Imamu Hussein (a.s) dhidi ya watu wa Kufa na kumshauri abaki Makka. [28] | Imamu Husein (a.s) aliondoka Madina pamoja na masahaba zake, na kinyume na matakwa ya jamaa zake, yeye alishika njia kuu ya kuelekea Makka. [27] Wakiwa njiani kuelekea Makka, Imamu Husein (a.s) alikutana na Abdullah bin Muti'i, naye kamuuliza anapoelekea Imamu Hussein (a.s). Imamu (a.s) akasema: "Hihi sasa ninaelekea Makka, na nikifika huko, nitamwomba Mungu kheri juu ya safari itakayofuatia baada ya hapo. AAbdullah bin Muti'i akamtahadharisha Imamu Hussein (a.s) dhidi ya watu wa Kufa na kumshauri abaki Makka. [28] |