Anonymous user
Nafs Al-Ammara : Tofauti kati ya masahihisho
→Kupambana na al-nafs al-ammara
imported>TawakkalMS8 |
imported>TawakkalMS8 |
||
Mstari 23: | Mstari 23: | ||
''Makala asili: [[Jihadi ya Nafsi]]'' | ''Makala asili: [[Jihadi ya Nafsi]]'' | ||
Katika hadithi iliyopokelewa kutoka kwa Mtume (s.a.w.w) inabainisha kwamba: | Katika hadithi iliyopokelewa kutoka kwa [[Mtume (s.a.w.w)]] inabainisha kwamba: | ||
Vita vya kijeshi vinajulikana kwa jina la jihadi ndogo na mapambano dhidi ya nafsi yamepewa jina la jihadi kubwa [9]. Allama Tabatabai anaamini kwamba mapambano na nafsi ambayo yemetajwa katika riwaya ni mapambano na nafs ammara (yenye kuamrisha maovu) [10]. | Vita vya kijeshi vinajulikana kwa jina la jihadi ndogo na mapambano dhidi ya nafsi yamepewa jina la jihadi kubwa [9]. [[Allama Tabatabai]] anaamini kwamba mapambano na nafsi ambayo yemetajwa katika riwaya ni mapambano na nafs ammara (yenye kuamrisha maovu) [10]. Hali kadhalika [[Allama Muhammad Baqir Majlisi]] kwa kutumia hadithi isemayo kwamba adui wako mkubwa zaidi ni nafsi yako! Naye anaamini kwamba, nafsi inayokusudiwa ni nafsi yenye kuamrisha maovu[11]. ‘’ Adui mkubwa zaidi ‘’ wa mwanadamu ni nafs ammara yaani nafsi yenye kuamrisha (maovu).[12] | ||
Shahidi Muratadha Mutahhari pia kwa kutegemea hadithi isemayo: | [[Shahidi Muratadha Mutahhari]] pia kwa kutegemea hadithi isemayo: ''المُجاهِد مَن جاهَدَ نَفْسَه''; ''Mwenye kufanya jihadi ni yule mwenye kupambana na nafsi yake'' [13], ameandika kwamba; makusudio ya jihadi ya nafsi ni kupambana na nafs ammara yenye kuamrisha maovu [14]. | ||
المُجاهِد مَن جاهَدَ نَفْسَه | |||
Mwenye kufanya jihadi ni yule mwenye kupambana na nafsi yake | |||