Nenda kwa yaliyomo

Nafs Al-Ammara : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
imported>Rezvani
No edit summary
imported>TawakkalMS8
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
Al-Nafs Al-Ammara au nafsi yenye kuamrisha (maovu); ni hali ya kinafsi ambayo inavuta na kumshawishi mtu kufanya mambo, maovu, mabaya na madhambi. Istilahi hii imechukuliwa kutoka katika sura Yusuf Aya ya 53. Maana ya matamanio ya nafsi ni ileile nafsi ya kuamrisha (maovu). Halikadhalika kinachokusudiwa katika jihadi ya nafsi au jihadi kubwa ambayo imebainishwa katika riwaya, ni kupambana na nafsi yenye kuamrisha (maovu).
 
'''Al-Nafs Al-Ammara''' (Kiarabu: '''''النفس الأمارة''''') Nafsi yenye kuamrisha (maovu); ni hali ya kinafsi ambayo inavuta na kumshawishi mtu kufanya mambo, maovu, mabaya na madhambi. Istilahi hii imechukuliwa kutoka katika sura Yusuf Aya ya 53. Maana ya matamanio ya nafsi ni ileile nafsi ya kuamrisha (maovu). Halikadhalika kinachokusudiwa katika jihadi ya nafsi au jihadi kubwa ambayo imebainishwa katika riwaya, ni kupambana na nafsi yenye kuamrisha (maovu).
Al-Nafs Al-Ammara (yenye kuamrisha maovu) ni mkabala wa na Al-Nafs Al-Lawwamah, (yenye kujilaumu) na Al-Nafs Al-Mut’mainnah, (yenye utulivu na kutulia). Nafsi yenye kuamrisha maovu inajulikana kwamba ni daraja ya chini zaidi ya nafsi. Daraja ya juu ya hapo ni nafsi yenye kujilaumu (nafs lawwama), nayo ni nafsi ambayo inamfanya mwanadamu ajilaumu mwenyewe kutokana na makosa na dhambi zake alizofanya. Ama nafsi ya juu zaidi ya nafsi ya kujilaumu, ni nafsi yenye kutulia (nafs mut’mainnah) ambapo kwa kuwa na hali hiyo ya kinafsi mwanadamu anakuwa katika hali ya utulivu na yakini.

'''Utambuzi wa Maana
==Utambuzi wa maana ==
'''
 
Al-Nafs Al-Ammara au nafsi yenye kuamrisha, inakusudiwa kuwa ni nafsi yenye kuamrisha sana mambo maovu; nayo ni hali ya kinafsi ambayo ndani yake mwanadamu hawezi kufuata wala kutumia akili (kwa njia sahihi), bali anakuwa ni mwenye kufuata na kuiendea dhambi na ufisadi katika maamuzi na matendo yake [1]. Yaani ni mwenye kuifuata tu nafsi yake kwa kila inachoamrisha na kutaka. Istilahi inapatikana katika Aya isemayo:  

إِنَّ النَّفْسَ لَأَمَّارَ‌ةٌ بِالسُّوءِ

Mstari 10: Mstari 11:

'''Nafs Ammara; Nafsi ya Daraja ya Chini Zaidi'''
== Nafs Ammara; Nafsi ya daraja ya chini zaidi ==
 
  Baadhi wanaona kuwa, nafsi ina daraja tofauti tofauti na wanaihesabu na kuiweka Nafs Ammar (nafsi yenye kuamrisha maovu) katika daraja ya chini zaidi ya nafsi.  Wanasema kwamba:  Nafsi ina daraja kadhaa; ambapo daraja ya chini zaidi ni nafs ammara (yenye kuamrisha mabaya), ambapo katika hali ya nafsi hiyo, mwanadamu hawezi kutumia wala kufuata maamrisho na maamuzi ya akili salama. Nafsi ya juu zaidi ya hiyo ni nafs lawwamah kwa maana ya nafsi yenye kujialaumu, ambapo katika hali hiyo mwanadamu ni mwenye kujilaumu kutokana mambo na matendo mabaya ambayo ameyafanya. Ama nafsi ya juu zaidi ya  nafsul ammara ni nafs Mut’mainnah [5]. Katika hatua na daraja hii ya nafsi, ni kwamba kutokana na mtu kufuata maamuzi ya akili sahihi kwa muda mrefu na kwa daima, hivyo kitendo hiki huwa na athari na mazoea chanya katika nafsi  yake na kuipelekea nafsi  kufikia hatua na daraja ya utulivu na yakini [6].

'''Kutopingana Nafsi Tofauti na Utambulisho Mmmoja wa Mwanadamu'''
=== Kutopingana nafsi tofauti na utambulisho mmoja wa mwanadamu ===
 
Maulamaa wa dini tukufu ya Kiislamu wanasema kwamba, mwanadamu ana nafsi (ambayo ni yeye mwenyewe yaani mmoja) na mtu kuwa na nafsi moja haipingani na suala la uwepo wa nafs Ammara, nafs lawwama wala nafs Mut’mainnah ambazo zina maana ya nafsi yenye kuamrisha maovu, nafsi yenye kujilaumu kutokana na makosa yake na nafsi yenye utulivu na yakini. Wanazuoni wa Kiislamu wanaamini kwamba, istilahi hizi (za aina za nafsi) ni hali, hatua na daraja mbali mbali ambazo zinaonyesha nafsi na kuitambulisha hali zake [7]. Yaani ni kwamba; wakati ambapo nafsi inapotoa amri ya (mtu) kufanya mambo mabaya au matendo maovu, tunasema kwamba hiyo ni nafs ammara yenye kuamrisha maovu. Wakati ambapo nafsi (ya mtu) yenyewe inajilaumu kutokana na makosa yake, nafsi hiyo tunaiita kwa jina la nafs Lawwama  au nafsi yenye kujuta kutokana na  makosa yake [8].

Kupambana na Al-Nafs Al-Ammara
== Kupambana na al-nafs al-ammara ==
 
Makala asili: Jihadi ya Nafsi

''Makala asili: [[Jihadi ya Nafsi]]''

Katika hadithi iliyopokelewa kutoka kwa Mtume (s.a.w.w) inabainisha kwamba:

Anonymous user