Anonymous user
Nafs Al-Ammara : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
imported>Rezvani No edit summary |
imported>Karami No edit summary |
||
Mstari 4: | Mstari 4: | ||
'''Utambuzi wa Maana | '''Utambuzi wa Maana | ||
''' | ''' | ||
Al-Nafs Al-Ammara au nafsi yenye kuamrisha, inakusudiwa kuwa ni nafsi yenye kuamrisha sana mambo maovu; nayo ni hali ya kinafsi ambayo ndani yake mwanadamu hawezi kufuata wala kutumia akili (kwa njia sahihi), bali anakuwa ni mwenye kufuata na kuiendea dhambi na ufisadi katika maamuzi na matendo yake [1]. Yaani ni mwenye kuifuata tu nafsi yake kwa kila inachoamrisha na kutaka. Istilahi inapatikana katika Aya isemayo: | |||
إِنَّ النَّفْسَ لَأَمَّارَةٌ بِالسُّوءِ | إِنَّ النَّفْسَ لَأَمَّارَةٌ بِالسُّوءِ | ||
Hakika nafsi ni yenye kuamrisha sana (mambo) mabaya [2]. | Hakika nafsi ni yenye kuamrisha sana (mambo) mabaya [2]. |