Anonymous user
Nafs Al-Ammara : Tofauti kati ya masahihisho
d
no edit summary
imported>Mkilya (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Al-Nafs Al-Ammara au nafsi yenye kuamrisha (maovu); ni hali ya kinafsi ambayo inavuta na kumshawishi mtu kufanya mambo, maovu, mabaya na madhambi. Istilahi hii imechukuliwa kutoka katika sura Yusuf Aya ya 53. Maana ya matamanio ya nafsi ni ileile nafsi ya kuamrisha (maovu). Halikadhalika kinachokusudiwa katika jihadi ya nafsi au jihadi kubwa ambayo imebainishwa katika riwaya, ni kupambana na nafsi yenye kuamrisha (maovu). Al-Nafs Al-Ammara (yenye kuamrisha...') |
imported>Mkilya dNo edit summary |
||
Mstari 2: | Mstari 2: | ||
Al-Nafs Al-Ammara (yenye kuamrisha maovu) ni mkabala wa na Al-Nafs Al-Lawwamah, (yenye kujilaumu) na Al-Nafs Al-Mut’mainnah, (yenye utulivu na kutulia). Nafsi yenye kuamrisha maovu inajulikana kwamba ni daraja ya chini zaidi ya nafsi. Daraja ya juu ya hapo ni nafsi yenye kujilaumu (nafs lawwama), nayo ni nafsi ambayo inamfanya mwanadamu ajilaumu mwenyewe kutokana na makosa na dhambi zake alizofanya. Ama nafsi ya juu zaidi ya nafsi ya kujilaumu, ni nafsi yenye kutulia (nafs mut’mainnah) ambapo kwa kuwa na hali hiyo ya kinafsi mwanadamu anakuwa katika hali ya utulivu na yakini. | Al-Nafs Al-Ammara (yenye kuamrisha maovu) ni mkabala wa na Al-Nafs Al-Lawwamah, (yenye kujilaumu) na Al-Nafs Al-Mut’mainnah, (yenye utulivu na kutulia). Nafsi yenye kuamrisha maovu inajulikana kwamba ni daraja ya chini zaidi ya nafsi. Daraja ya juu ya hapo ni nafsi yenye kujilaumu (nafs lawwama), nayo ni nafsi ambayo inamfanya mwanadamu ajilaumu mwenyewe kutokana na makosa na dhambi zake alizofanya. Ama nafsi ya juu zaidi ya nafsi ya kujilaumu, ni nafsi yenye kutulia (nafs mut’mainnah) ambapo kwa kuwa na hali hiyo ya kinafsi mwanadamu anakuwa katika hali ya utulivu na yakini. | ||
Utambuzi wa Maana | '''Utambuzi wa Maana | ||
''' | |||
Al-Nafs Al-Ammara au nafsi yenye kuamrisha, inakusudiwa kuwa ni nafsi yenye kuamrisha sana mambo maovu; nayo ni hali ya kinafsi ambayo ndani yake mwanadamu hawezi kufuata wala kutumia akili (kwa njia sahihi), bali anakuwa ni mwenye kufuata na kuiendea dhambi na ufisadi katika maamuzi na matendo yake [1]. Yaani ni mwenye kuifuata tu nafsi yake kwa kila inachoamrisha na kutaka. Istilahi inapatikana katika Aya isemayo: | Al-Nafs Al-Ammara au nafsi yenye kuamrisha, inakusudiwa kuwa ni nafsi yenye kuamrisha sana mambo maovu; nayo ni hali ya kinafsi ambayo ndani yake mwanadamu hawezi kufuata wala kutumia akili (kwa njia sahihi), bali anakuwa ni mwenye kufuata na kuiendea dhambi na ufisadi katika maamuzi na matendo yake [1]. Yaani ni mwenye kuifuata tu nafsi yake kwa kila inachoamrisha na kutaka. Istilahi inapatikana katika Aya isemayo: | ||
إِنَّ النَّفْسَ لَأَمَّارَةٌ بِالسُّوءِ | إِنَّ النَّفْسَ لَأَمَّارَةٌ بِالسُّوءِ | ||
Mstari 10: | Mstari 10: | ||
Nafs Ammara; Nafsi ya Daraja ya Chini Zaidi | '''Nafs Ammara; Nafsi ya Daraja ya Chini Zaidi''' | ||