Nenda kwa yaliyomo

Harakati ya Ansarullah ya Yemen : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
 
Mstari 8: Mstari 8:

== Wasifu na Nafasi ==
== Wasifu na Nafasi ==
Ansarullah ya Yemen ni vuguvugu la kidini lenye mfumo wa kisiasa na kidini. [1] Madhehebu ya wanachama wa vuguvugu hili ni madhehebu ya [[Jaroudiyya]], mojawapo ya madhehebu ya [[Zaidiyya]], ambayo yanahesabiwa kuwa madhehebu ya karibu zaidi na [[Shia Imamiyyah|Mashia Ithnaashariya]]. Harakati hii iliasisiwa kwa ajili ya kuendeleza utawala wa Uimamu wa Zaydiya uliokuwa umeanzishwa na Yahya bin Hussein, aliyekuwa na lakabu ya Al-Hadi ilal-Haq (aliyekufa: 298 AH) na iliendelea kwa zaidi ya miaka 1,100.[3]

Mstari 15: Mstari 14:

=== Muundo wa Kitaasisi ===
=== Muundo wa Kitaasisi ===
Mbinu ya utawala ya Ansarullah ya Yemen inatokana na mbinu ya jadi ya Zaidiyya, utawala wa nasaba (wa kifamilia), na baadhi ya vyombo vya [[mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran]] vinazingatiwa katika fremu ya mfumo wa jamhuri. [10] Ansarullah ya Yemen ina asasina idara tatu za utekelezaji ambazo ziko chini ya usimamizi wa moja kwa moja wa kiongozi wa harakati hii:

* Baraza za Kisiasa: Hiki ni kitengo cha utekelezaji ambacho kina jukumu la kusimamia mahusiano ya harakati hii na makunbdi na vyama vingine vya kisiasa  pamoja na jumbe za kidiplomasia na asasi za kieneo. Kinafanya tathmini, uchambuzi wa kisiasa na kutoa ripoti.  

* Baraza la Utendaji: Baraza hili linaundwa na vitengo vinavyohusiana na wananchi kama idara ya utamaduni malezi, idara ya kijamii, kitengo cha habari, masuala ya wanawake na mikoa.

* Idara ya Kazi za Kiserikali: Kusimamia kamati za Ansarullah katika asasi za utekelezaji na kuandaa sera na sheria ni miongoni mwa majukumu ya asasi hii. [11]

=== Uhusiano na Iran ===
=== Uhusiano na Iran ===
[[Faili:بدرالدین حوثی در نشست وحدت اسلامی در ایران سال ۱۳۷۴.jpg|200px|thumb|<center><small>[[Badr al-Din al-Houthi|Badreddin Houthi]] alipokuwa nchini Iran</small></center>]]

Harakati ya Ansarullah nchini Yemen inachukuliwa kuwa imeathiriwa na [[Imam Khomeini]] na [[mapinduzi]] yake, ambayo yaliletwa na Hussein Houthi kama kielelezo kwa watu wa Yemen. [12] Makabiliano ya harakati hii na [[Marekani]] na [[Israel]] yanazingatiwa kuwa yameathiriwa na fikra ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. [13]

Mstari 31: Mstari 28:

=== Vikwazo vya Kieneo na Kimataifa ===
=== Vikwazo vya Kieneo na Kimataifa ===
Idadi kadhaa ya wanachama wa Ansarullah ya Yemen akiwemo [[Abdul-Malik al-Houthi]] mwaka 2014 na kuendelea walijumuishwa katika orodha ya vikwazo vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Mnamo 2022, Baraza la Usalama lililiwekea vikwazo vya silaha Harakati ya Ansarullah. [17] Mwaka huo huo,  Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani wa mataifa ya Kiarabu, liliiweka Harakati ya Ansarullah ya Yemen katika orodha yake ya makundi ya kigaidi. Nchi nyingine, kama vile Marekani, zilitangaza vuguvugu hili kuwa kundi la kigaidi. [18]

== Viongozi wa Ansarullah ==
== Viongozi wa Ansarullah ==
Tangu Harakati ya Ansarullah ya Yemen ianzishe harakati zake mpaka kuunda serikali, imeongozwa na viongozi mbalimbali. Wafuatao ni baadhi ya viongozi hao.

=== Hussein al-Houthi ===
=== Hussein al-Houthi ===
:''Makala asili: [[Hussein Badreddin al-Houthi|Hussein al-Houthi]]''

Mstari 46: Mstari 40:

=== Badreddin al-Houthi ===
=== Badreddin al-Houthi ===
:''Makala asili: [[Badreddin al-Houthi]]''

Mstari 52: Mstari 45:

=== Abdul-Mlaik al-Houthi ===
=== Abdul-Mlaik al-Houthi ===
:''Makala asili: [[Abdul-Malik al-Houthi]]''

Mstari 61: Mstari 53:

== Makabiliano ya Wahouthi na serikali ya Yemen ==

Harakati ya al-Houthi ilikuwa ikiitambua serikali ya Yemen kuwa kibaraka wa [[Marekani]] na kukosoa kuwepo kwa ubaguzi, umaskini, utegemezi wa serikali, na uingiliaji wa wageni katika masuala ya Yemen. [35] Baada ya tukio la Septemba 11 na mashambulizi ya Marekani dhidi ya [[Afghanistan]] na [[Iraq]] na uwepo wake wa kijeshi katika eneo na Ghuba ya Aden, harakati hii ilichukua msimamo dhidi ya Marekani [36] na kauli mbiu yao maarufu inayojulikana kama Sarkha ilipigwa dhidi ya Marekani na Israel. [37] Baadhi ya watafiti wanasema kuwa, kauli mbiu ya Sarkha dhidi ya Marekani ambayo mkuu wa serikali ya Yemen aliichukulia kuwa inamlenga yeye, pamoja na kushadidi harakati za kijeshi za harakati hiyo na kukataa kwa Hussein al-Houthi kutoa majibu kuhusu shughuli za harakati hiyo ndio sababu za kuibuka mapigano kati ya serikali ya [[Yemen]] na harakati hii na kutokea vita. [38] Makabiliano ya kijeshi ya Ansarullah ya Yemen na serikali ya nchi hiyo yalipelekea kutokea vita kadhaa:

* Vita vya kwanza: Vita vya kwanza vya serikali ya Yemen dhidi ya Wahouthi vilipelekea kuuawa [[Hussein Badreddin al-Houthi|Hussein al-Houthi]]. Kuuawa wanajeshi watatu wa serikali na jaribio la kumkamata Hussein al-Houthi ni mambo yaliyotajwa kuwa sababu ya kutokea vita hivyo. Vita hivi vilifanyika katika mkoa wa Marran mnamo 2004. [39]

* Vita vya pili: Kukataa kumaliza mivutano kulisababisha kutokea vita vya pili mnamo 2005 vilivyodumu kwa miezi miwili. Hatimaye, serikali ya Yemen ilitangaza ushindi na vita vikaisha. Wigo wa vita hivi ulikuwa mpana kuliko vita vya kwanza. [40]

* Vita vya tatu: Mivutano iliyobakia ya vita ya pili ilisababisha kutokea vita vya tatu. Wigo wa vita hivi, vilivyoanza mwishoni mwa 2005 na kumalizika mwanzoni mwa 2006, ulipanuliwa hadi katika mji wa Saadah. [41]

* Vita vya nne: Kuhamishwa kwa Wayahudi wa jimbo la Saadah na jaribio la kuanzisha serikali ya Kishia katika jimbo hili na Wahouthi kulipelekea kutokea vita vya nne. Wigo wa vita hivi, ambavyo vilifanyika mwaka 2007, uilienea mpaka nje ya mkoa wa Saadah. Vita hivi vilifikia tamati kwa upatanishi wa serikali ya Qatar. [42]

* Vita vya tano: Vita hivi vilianza mwaka wa 2008 na vilihusisha majimbo ya Sana'a na Amran. Tangazo la upande mmoja la serikali la kusitisha mapigano lilipelekea kufikia mwisho vita hivi. [43]

* Vita vya sita: Wahouthi walituhumiwa kuwateka nyara raia wa kigeni, na vita vya sita vikaanza Agosti 2009. Utumiaji mkubwa wa serikali wa mashambulizi ya anga na kuingia kwa Wahouthi katika ardhi Saudi Arabia na kuwaua wanajeshi wawili ni miongoni mwa sifa za vita hivi. Kuondoka kwa Wahouthi kutoka Saudi Arabia mnamo 2010 ndiko kulikokuwa mwisho wa vita hivi. [44]

=== Mwamko wa Kiislamu na Mapinduzi 2011 ===

[[Faili:نقشه مناطق تحت سیطره انصارالله.jpg|220px|thumb|<center><small>Maeneo yanayodhibitiwa na Ansarullah (rangi ya kijani)</small></center>]]

Sambamba na kuanza mapinduzi ya [[mwamko wa Kiislamu]] katika baadhi ya nchi za Kiislamu, wananchi wa Yemen nao walianzisha harakati za kuipindua serikali na Wahouthi wakaitumia fursa hiyo. [45]

Mstari 80: Mstari 70:

== Mapigano ya kijeshi na mataifa ya kigeni ==

Ansarullah ya Yemen imekuwa na mapigano ya kijeshi na nchi nyingi za kigeni, ambazo baadhi yake tunazitaja hapa chini:

=== Mashambulio ya Saudi Arabia na Mataifa Yaliyounda Mungano Dhidi ya Ansarullah ===
=== Mashambulio ya Saudi Arabia na Mataifa Yaliyounda Mungano Dhidi ya Ansarullah ==
 
Rais wa Yemen Abdu Rabbuh Mansour Hadi na Waziri Mkuu wake Khalid Mahfoudh Bahah walijiuzulu kutoka nyadhifa zao. [49] Kisha akaenda Aden na kuunda serikali ya muda. Mnamo Machi 26, 2015, muungano wa nchi za kikanda ukiongozwa na [[Saudi Arabia]], kwa kumuunga mkono Mansour Hadi, ulianzisha mashambulizi makali ya anga na baharini dhidi ya [[Yemen]], ambayo yaliharibu miundombinu mingi, vituo vya kijeshi na vya kiraia nchini Yemen. [50] Lengo la mashambulio haya lilikuwa ni kuyaondoa majimbo ya Yemen kutoka kwa udhibiti wa Ansarullah na kurejesha tena silaha za serikali kutoka kwa harakati hii. [51]

Mstari 90: Mstari 78:

=== Mashambulio dhidi ya Israel na Meli zake Kujibu Mashambulio ya Mabomu Dhidi ya Gaza ===

Katika kuunga mkono watu wa [[Gaza]] dhidi ya mashambulizi ya Israel, harakati ya Ansarullah ya Yemen ilichukua uamuzi wa kushambulia na kulenga maeneo mbalimbali ya [[Palestina inayokaliwa kwa mabavu]] kwa makombora na ndege zisizo na rubani. [54] Wahouthi pia walishambulia meli za Israel na meli zingine zilizokuwa zikielekea katika bandari za Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) katika Bahari Nyekundu na Ghuba ya Aden. [55] [[Marekani]] na [[Uingereza]] zilifanya mashambulizi kadhaa ya anga dhidi ya Ansarullah nchini Yemen, ambayo, kulingana na baadhi ya vyombo vya habari vya magharibi, hayakuweza kuwazuia Wahouthi kuendelea kutekeleza mashambulizi haya. [56] Hatua hii ya Ansarullah ilifanyika kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi ya Israel dhidi ya raia, maeneo ya makazi, na vituo vya matibabu huko Gaza na kuzingirwa kwa mji huu. [57] Mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza yalifanywa kufuatia [[ Kimbunga cha al-Aqswa|operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqswa]] (Oktoba 2023) iliyotekelezwa na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS). [58]

confirmed, Moderators, Wakabidhi
480

edits