Muhajirina : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
Salim (majadiliano | michango) (→Vyanzo) |
No edit summary |
||
Mstari 8: | Mstari 8: | ||
== Utambuzi wa Maana == | == Utambuzi wa Maana == | ||
:''Makala kuu: Hijra [[kulelekea Madina]]'' | :''Makala kuu: Hijra [[kulelekea Madina]]'' | ||
Mstari 16: | Mstari 15: | ||
== Daraja == | == Daraja == | ||
Kwa mujibu wa [[Ayatullah Makarim Shirazi]], [[Marjaa Taqlid]] na [[mfasiri wa Qur'ani]] ni kuwa, [[Mtume (s.a.w.w)]] aliwajali na kuwazingatia sana Muhajirina; kwa sababu waliweka maisha yao ya kimaada na mali zao kwenye huduma ya mwito na da’wa yake na kwa kuhajiri kwao wakaifikisha sauti ya Uislamu katika masikio ya walimwengu. <ref>Makarim shirazi, al-Amthal, juz. 8. uk. 194, 1421 H.</ref> | Kwa mujibu wa [[Ayatullah Makarim Shirazi]], [[Marjaa Taqlid]] na [[mfasiri wa Qur'ani]] ni kuwa, [[Mtume (s.a.w.w)]] aliwajali na kuwazingatia sana Muhajirina; kwa sababu waliweka maisha yao ya kimaada na mali zao kwenye huduma ya mwito na da’wa yake na kwa kuhajiri kwao wakaifikisha sauti ya Uislamu katika masikio ya walimwengu. <ref>Makarim shirazi, al-Amthal, juz. 8. uk. 194, 1421 H.</ref> | ||
Mstari 24: | Mstari 22: | ||
== Muhajirina wa Mwanzo == | == Muhajirina wa Mwanzo == | ||
Kabla ya Mtume (s.a.w.w) kuhamia Madina, aliwaamuru masahaba zake waanze safari ya kuelekee Madina.<ref>Tabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 2. uk. 369, 1387 H.</ref> [[Ali bin Hussein Mas’oudi]] anasema, baadhi ya watu wa kwanza kuingia Madina kabla ya Mtume (s.a.w.w) walikuwa: [[Abdullah bin Abdul Asad]], [[Aamir bin Rabi'ah]], [[Abdullah bin Jahsh]], [[Omar bin Khattab]] na Ayash bin Abi Rabi'ah bin Yahya.<ref>Mas'udi, al-Tanbih wa al-Ishraf, uk. 200.</ref> Baladhuri mwanahistoria wa karne ya tatu, anawachukulia Muhajirina wa kwanza kuwa [[Mus’ab bin Umayr]] na [[Ibn Umm Maktum]], ambao walifika na kuingia Madina kabla ya Abdullah bin Abdul Asad.<ref>Baladhuri, Ansab al-Ashraf, juz. 1. uk. 257, 1959 M.</ref> Kwa mujibu wa ripoti yake, Mus’ab bin Umayr alitumwa Madina Mtume (s.a.w.w) katika mwaka wa kumi na mbili tangu kubaathiwa na kupewa Utume Mtume kwa ajili ya kwenda kuhubiri [[dini ya Kiislamu]] na kwamba, alitumwa huko baada ya [[Baiya ya Aqaba]].<ref>Baladhuri, Ansab al-Ashraf, juz. 1. uk. 257, 1959 M.</ref> | Kabla ya Mtume (s.a.w.w) kuhamia Madina, aliwaamuru masahaba zake waanze safari ya kuelekee Madina.<ref>Tabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 2. uk. 369, 1387 H.</ref> [[Ali bin Hussein Mas’oudi]] anasema, baadhi ya watu wa kwanza kuingia Madina kabla ya Mtume (s.a.w.w) walikuwa: [[Abdullah bin Abdul Asad]], [[Aamir bin Rabi'ah]], [[Abdullah bin Jahsh]], [[Omar bin Khattab]] na Ayash bin Abi Rabi'ah bin Yahya.<ref>Mas'udi, al-Tanbih wa al-Ishraf, uk. 200.</ref> Baladhuri mwanahistoria wa karne ya tatu, anawachukulia Muhajirina wa kwanza kuwa [[Mus’ab bin Umayr]] na [[Ibn Umm Maktum]], ambao walifika na kuingia Madina kabla ya Abdullah bin Abdul Asad.<ref>Baladhuri, Ansab al-Ashraf, juz. 1. uk. 257, 1959 M.</ref> Kwa mujibu wa ripoti yake, Mus’ab bin Umayr alitumwa Madina Mtume (s.a.w.w) katika mwaka wa kumi na mbili tangu kubaathiwa na kupewa Utume Mtume kwa ajili ya kwenda kuhubiri [[dini ya Kiislamu]] na kwamba, alitumwa huko baada ya [[Baiya ya Aqaba]].<ref>Baladhuri, Ansab al-Ashraf, juz. 1. uk. 257, 1959 M.</ref> | ||
== Muamala wa Washirikina wa Makka dhidi ya Muhajirina == | == Muamala wa Washirikina wa Makka dhidi ya Muhajirina == | ||
Kwa mujibu wa ripoti za kihistoria, washirikina wa Makka walilikuwa wakiwazuia Waislamu kuhamia Madina kwa njia mbalimbali; waliwaweka baadhi ya watu gerezani na pia wakazuia baadhi ya familia za muhajirina kujumuika nao. Miongoni mwa matukio hayo ni kuwazuia kwa muda [[Ummu Salama]] mke wa Abu Salama (Abdullah bin Abdul Asad) na mwanawe kwenda Madina.<ref>Baladhuri, Ansab al-Ashraf, juz. 1, uk. 258-259, 1959 M; Ibnu Hisham, al-Sirah al-Nabawiyah, juz. 1, uk. 469.</ref> Na [[Sohayb Rumi]] aliruhusiwa [[kuhajiri]] na kwenda Madina lakini makabala wake atoe mali yake.<ref>Ibnu Athir, Usad al-ghabah, juz. 2, uk. 419, 1409 H.</ref> | Kwa mujibu wa ripoti za kihistoria, washirikina wa Makka walilikuwa wakiwazuia Waislamu kuhamia Madina kwa njia mbalimbali; waliwaweka baadhi ya watu gerezani na pia wakazuia baadhi ya familia za muhajirina kujumuika nao. Miongoni mwa matukio hayo ni kuwazuia kwa muda [[Ummu Salama]] mke wa Abu Salama (Abdullah bin Abdul Asad) na mwanawe kwenda Madina.<ref>Baladhuri, Ansab al-Ashraf, juz. 1, uk. 258-259, 1959 M; Ibnu Hisham, al-Sirah al-Nabawiyah, juz. 1, uk. 469.</ref> Na [[Sohayb Rumi]] aliruhusiwa [[kuhajiri]] na kwenda Madina lakini makabala wake atoe mali yake.<ref>Ibnu Athir, Usad al-ghabah, juz. 2, uk. 419, 1409 H.</ref> | ||
Mstari 34: | Mstari 30: | ||
== Himaya na Uungaji Mkono wa Ansari kwa Muhajirina == | == Himaya na Uungaji Mkono wa Ansari kwa Muhajirina == | ||
Baada ya [[Mtume (s.a.w.w)]] kuhajiri na kuhamia Madina, alianzisha na [[kufunga udugu]] kati ya Muhajirina na Ansari.<ref>Tazama: Amili, al-Sahih Min Sirat al-Nabi al-A'zam, juz. 5, uk. 99, 1426 H.</ref> Kwa mujibu wa maoni ya wengi, watu 45 kutoka miongoni mwa Muhajirina na na watu 45 kutoka upande wa Ansari walikuwepo katika makubaliano na mkataba huu wa udugu. <ref>Tazama: Amili, al-Sahih Min Sirat al-Nabi al-A'zam, juz. 5, uk. 101, 1426 H; Maqrizi, Imta al-Asma, juz. 1, uk. 69, 1420 H.</ref> | Baada ya [[Mtume (s.a.w.w)]] kuhajiri na kuhamia Madina, alianzisha na [[kufunga udugu]] kati ya Muhajirina na Ansari.<ref>Tazama: Amili, al-Sahih Min Sirat al-Nabi al-A'zam, juz. 5, uk. 99, 1426 H.</ref> Kwa mujibu wa maoni ya wengi, watu 45 kutoka miongoni mwa Muhajirina na na watu 45 kutoka upande wa Ansari walikuwepo katika makubaliano na mkataba huu wa udugu. <ref>Tazama: Amili, al-Sahih Min Sirat al-Nabi al-A'zam, juz. 5, uk. 101, 1426 H; Maqrizi, Imta al-Asma, juz. 1, uk. 69, 1420 H.</ref> | ||
Mstari 42: | Mstari 37: | ||
== Ushindani Baina ya Muhajirina na Ansari == | == Ushindani Baina ya Muhajirina na Ansari == | ||
Kwa mujibu wa Jawad Ali, mwandishi wa Al-Musafal Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam kabla ya Mtume kuhama Makka na kwenda Madina, kulikuwa na uadui kati ya watu wa Yathrib (Madina) na watu wa Makka, ambao ulitoweka kwa kuhamia Mtume (s.a.w.w) katika mji wa Madina na kuanzishwa udugu baina ya Muhajir na Ansari. Hata hivyo baada ya [[kifo cha Mtume (s.a.w.w)]], kulidhihirika uadui na mivutano baina ya Muhajirina na Ansari; kama ilivyotajwa katika mashairi ya [[Hassan bin Thabit]], [[Nu’man bin Bashir]] na [[Tarmah bin Hakim]]. <ref> Ali, Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam, juz. 2, uk. 134, 1422 H.</ref> Muhajirina walikuwa wakijifaharisha kwa kuwa Mtume (s.a.w.w) alikuwa mmoja wao, na Ansari walikuwa wakijifaharisha kwa kuwa wao walimpokea na kumhifadhi, na [[Mama wa Mtume wa Mwenyezi Mungu]]. Mtume (s.a.w.w) anatoka katika kabila la Bani Najjar kutoka Madina.<ref> Ali, Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam, juz. 2, uk. 136, 1422 H.</ref> | Kwa mujibu wa Jawad Ali, mwandishi wa Al-Musafal Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam kabla ya Mtume kuhama Makka na kwenda Madina, kulikuwa na uadui kati ya watu wa Yathrib (Madina) na watu wa Makka, ambao ulitoweka kwa kuhamia Mtume (s.a.w.w) katika mji wa Madina na kuanzishwa udugu baina ya Muhajir na Ansari. Hata hivyo baada ya [[kifo cha Mtume (s.a.w.w)]], kulidhihirika uadui na mivutano baina ya Muhajirina na Ansari; kama ilivyotajwa katika mashairi ya [[Hassan bin Thabit]], [[Nu’man bin Bashir]] na [[Tarmah bin Hakim]]. <ref> Ali, Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam, juz. 2, uk. 134, 1422 H.</ref> Muhajirina walikuwa wakijifaharisha kwa kuwa Mtume (s.a.w.w) alikuwa mmoja wao, na Ansari walikuwa wakijifaharisha kwa kuwa wao walimpokea na kumhifadhi, na [[Mama wa Mtume wa Mwenyezi Mungu]]. Mtume (s.a.w.w) anatoka katika kabila la Bani Najjar kutoka Madina.<ref> Ali, Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam, juz. 2, uk. 136, 1422 H.</ref> | ||
Mstari 50: | Mstari 44: | ||
== Nafasi ya Muhajrina katika Saqifa == | == Nafasi ya Muhajrina katika Saqifa == | ||
Baada ya kifo cha Mtukufu Mtume (s.a.w.w.), kundi la Ansari lilikusanyika katika ukumbi wa [[Saqifa Bani Saidah]] ili kumchagua Sa'd bin Ubadah kuwa khalifa. Lakini wakati Muhajirina akiwemo Abu Bakr bin Abi Qahafa, Omar bin Khattab na [[Abu Ubaydah Jarrah]], walipoungana nao, kulizuka mabishano na migongano.<ref>Ibnu Athir, al-Kamil, juz. 2, uk. 325, 1385 H.</ref> Abu Bakr, ambaye yeye mwenyewe alikuwa mmoja wa Muhajirina alisema kwamba Muhajirina walikuwa bora kuliko Ansari na hivyo walistahili zaidi [[ukhalifa]].<ref>Thabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 3, uk. 219-220, 1387 H.</ref> Habab bin Mundhir, ambaye alitokana na Ansari, alipendekeza kuchaguliwa kwa Amir kutoka kwa Ansari na Amir kutoka kwa Muhajirina ambapo pendekezo lake lilipingwa na Omar bin Khattab. Kisha Abu Bakr akapendekeza Omar bin Al Khattab na Abu Ubaidah Jarrah, ambao walikuwa miongoni mwa Muhajirina kwa ajili ya ukhalifa. Lakini wawili hao hawakukubali, na kwa kusema mambo mazuri kuhusu Abu Bakr, walimwona kuwa anastahiki ukhalifa na wakatoa baiya kwake.<ref>Thabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 3, uk. 220-221, 1387 H.</ref> Kisha [[kabila la Bani Aslam]], ambao walikuwa na mfungamano na Muhajarina liliingia Madina na kutoa baiya na [[kiapo cha utii]] kwa Abu Bakr.<ref>Thabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 3, uk. 205 1387 H.</ref> | Baada ya kifo cha Mtukufu Mtume (s.a.w.w.), kundi la Ansari lilikusanyika katika ukumbi wa [[Saqifa Bani Saidah]] ili kumchagua Sa'd bin Ubadah kuwa khalifa. Lakini wakati Muhajirina akiwemo Abu Bakr bin Abi Qahafa, Omar bin Khattab na [[Abu Ubaydah Jarrah]], walipoungana nao, kulizuka mabishano na migongano.<ref>Ibnu Athir, al-Kamil, juz. 2, uk. 325, 1385 H.</ref> Abu Bakr, ambaye yeye mwenyewe alikuwa mmoja wa Muhajirina alisema kwamba Muhajirina walikuwa bora kuliko Ansari na hivyo walistahili zaidi [[ukhalifa]].<ref>Thabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 3, uk. 219-220, 1387 H.</ref> Habab bin Mundhir, ambaye alitokana na Ansari, alipendekeza kuchaguliwa kwa Amir kutoka kwa Ansari na Amir kutoka kwa Muhajirina ambapo pendekezo lake lilipingwa na Omar bin Khattab. Kisha Abu Bakr akapendekeza Omar bin Al Khattab na Abu Ubaidah Jarrah, ambao walikuwa miongoni mwa Muhajirina kwa ajili ya ukhalifa. Lakini wawili hao hawakukubali, na kwa kusema mambo mazuri kuhusu Abu Bakr, walimwona kuwa anastahiki ukhalifa na wakatoa baiya kwake.<ref>Thabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 3, uk. 220-221, 1387 H.</ref> Kisha [[kabila la Bani Aslam]], ambao walikuwa na mfungamano na Muhajarina liliingia Madina na kutoa baiya na [[kiapo cha utii]] kwa Abu Bakr.<ref>Thabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 3, uk. 205 1387 H.</ref> | ||
== Muhajirina Mashuhuri == | == Muhajirina Mashuhuri == | ||
Baadhi ya watu mashuhuri waliohajiri kwa amri ya Mtume (s.a.w.w) na wakaondoka Makka na kwenda Madina ni: | Baadhi ya watu mashuhuri waliohajiri kwa amri ya Mtume (s.a.w.w) na wakaondoka Makka na kwenda Madina ni: | ||
* Imamu Ali (a.s) ni [[Imamu wa kwanza]] wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia na mrithi wa Mtume (s.a.w.w). Yeye katika [[Laylat al-Mabit]] (usiku wa kuhajiri Mtumer) alilala katika tandiko la Mtume ili [[ushirikina|washirikina]] wadhani kwamba, Mtume bado hajaondoka [[Makka]].<ref>Mas'udi, al-Tanbih wa al-Ishraf, uk. 200.</ref> Aidha, alipewa jukumu na Mtume (s.a.w.w) la kukabidhi kwa wenyewe amana za watu zilizokuwa mikononi mwa Mtume na kisha baada ya siku tatu aliondoka na kuelekea Madina.<ref>Mas'udi, al-Tanbih wa al-Ishraf, uk. 200.</ref> | * Imamu Ali (a.s) ni [[Imamu wa kwanza]] wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia na mrithi wa Mtume (s.a.w.w). Yeye katika [[Laylat al-Mabit]] (usiku wa kuhajiri Mtumer) alilala katika tandiko la Mtume ili [[ushirikina|washirikina]] wadhani kwamba, Mtume bado hajaondoka [[Makka]].<ref>Mas'udi, al-Tanbih wa al-Ishraf, uk. 200.</ref> Aidha, alipewa jukumu na Mtume (s.a.w.w) la kukabidhi kwa wenyewe amana za watu zilizokuwa mikononi mwa Mtume na kisha baada ya siku tatu aliondoka na kuelekea Madina.<ref>Mas'udi, al-Tanbih wa al-Ishraf, uk. 200.</ref> | ||
* [[Fatima (a.s)]] binti ya Mtume (s.a.w.w) ambaye alifunga ndoa na Imamu Ali (a.s) katika mwaka wa pili Hijria.<ref>Thabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 2, uk. 410, 1387 H.</ref> aliondoka Makka na kuelekea Madina akiwa pamoja na wanawake wengine kadhaa akiwemo [[Fatima bint Asad]] msafara ambao uliongozwa na Imamu Ali (a.s). Tukio hilo lilijiri siku tatu baada ya Mtume kuondoka Makka na kuhamia Madina.<ref>Ibnu Shahr Ashub, Manaqib, juz. 1, uk. 183, 1379.</ref> | * [[Fatima (a.s)]] binti ya Mtume (s.a.w.w) ambaye alifunga ndoa na Imamu Ali (a.s) katika mwaka wa pili Hijria.<ref>Thabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 2, uk. 410, 1387 H.</ref> aliondoka Makka na kuelekea Madina akiwa pamoja na wanawake wengine kadhaa akiwemo [[Fatima bint Asad]] msafara ambao uliongozwa na Imamu Ali (a.s). Tukio hilo lilijiri siku tatu baada ya Mtume kuondoka Makka na kuhamia Madina.<ref>Ibnu Shahr Ashub, Manaqib, juz. 1, uk. 183, 1379.</ref> | ||
* [[Ummu Salama]], mke wa [[Abdallah bin Abdul-Asad]] ambaye watu wa kabila lake kwa muda fulani walimzuia kuhajiri pamoja na mumewe kuelekea Madina. Baada ya kuuawa shahidi Abu Salama aliolewa na Mtume (s.a.w.w). <ref>Ibnu Hisham, al-Sirah al-Nabawiyah, juz. 1, uk. 469.</ref> | * [[Ummu Salama]], mke wa [[Abdallah bin Abdul-Asad]] ambaye watu wa kabila lake kwa muda fulani walimzuia kuhajiri pamoja na mumewe kuelekea Madina. Baada ya kuuawa shahidi Abu Salama aliolewa na Mtume (s.a.w.w). <ref>Ibnu Hisham, al-Sirah al-Nabawiyah, juz. 1, uk. 469.</ref> | ||
* [[Abu Bakr bin Abi Quhafa]] alikuwa pamoja na Mtume (s.a.w.w) wakati wa [[kuhajiri kuelekea Madina]] na alijificha pamoja na Mtume katika [[pango la Thaur]]. <ref>Thabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 2, uk. 273-274, 1387 H.</ref> Baada ya kuaga dunia Mtume, Abu Bakr alichaguliwa kuwa Khalifa na kwa mtazamo na itikadi ya Waislamu wa [[Madhehebu ya Suni]], Abu Bakr ndiye Khalifa wa Kwanza wa Waislamu. Hata hivyo Waislamu wa Madhehebu ya Shia hawamtambui Abu Bakr kama Khalifa wa Kwanza wa Weaislamu bali wanaamini kwamba, Mtume (s.a.w.w) kabla ya kuaga dunia alimuainisha na kumtangaza mrithi wake ambaye ni Imamu Ali (a.s).<ref>Tazama: Mudhaffar, al-Saqifah, uk. 60-65, 1415 H.</ref> | * [[Abu Bakr bin Abi Quhafa]] alikuwa pamoja na Mtume (s.a.w.w) wakati wa [[kuhajiri kuelekea Madina]] na alijificha pamoja na Mtume katika [[pango la Thaur]]. <ref>Thabari, Tarikh al-Umam wa al-Muluk, juz. 2, uk. 273-274, 1387 H.</ref> Baada ya kuaga dunia Mtume, Abu Bakr alichaguliwa kuwa Khalifa na kwa mtazamo na itikadi ya Waislamu wa [[Madhehebu ya Suni]], Abu Bakr ndiye Khalifa wa Kwanza wa Waislamu. Hata hivyo Waislamu wa Madhehebu ya Shia hawamtambui Abu Bakr kama Khalifa wa Kwanza wa Weaislamu bali wanaamini kwamba, Mtume (s.a.w.w) kabla ya kuaga dunia alimuainisha na kumtangaza mrithi wake ambaye ni Imamu Ali (a.s).<ref>Tazama: Mudhaffar, al-Saqifah, uk. 60-65, 1415 H.</ref> | ||
[[Omar bin al-Khattab]] (Khalifa wa Pili),<ref>Mas'udi, al-Tanbih wa al-Ishraf, uk. 200.</ref> [[Othman bin Affan]] (Khalfa wa Tatu), [[Hamza bin Abdul-Muttalib]] ami yake Mtume, [[Othman bin Madh’un]], [[Abu Hudhayfa]], [[Miqdad bin Amru]], [[Abu Dhar al-Ghiffari]] na [[Abdallah bin Mas’oud]] ni miongoni mwa watu mashuhuri ambao ni Muhajirina. Kadhalika [[Zaynab binti ya Mtume (s.a.w.w)]], [[Ummu Kulthum binti ya Mtume (s.a.w.w)]], [[Ruqayyah binti ya Mtume (s.a.w.w)]], [[Fatima bint Asad]], [[Ummu Aiman]], [[Zaynab bint Jahsh]] na [[Sauda bint Zam’ah bin Qays]] ni miongoni mwa wanawake wengine ambao ni Muhajirina (waliohama Makka na kwenda Madina). | [[Omar bin al-Khattab]] (Khalifa wa Pili),<ref>Mas'udi, al-Tanbih wa al-Ishraf, uk. 200.</ref> [[Othman bin Affan]] (Khalfa wa Tatu), [[Hamza bin Abdul-Muttalib]] ami yake Mtume, [[Othman bin Madh’un]], [[Abu Hudhayfa]], [[Miqdad bin Amru]], [[Abu Dhar al-Ghiffari]] na [[Abdallah bin Mas’oud]] ni miongoni mwa watu mashuhuri ambao ni Muhajirina. Kadhalika [[Zaynab binti ya Mtume (s.a.w.w)]], [[Ummu Kulthum binti ya Mtume (s.a.w.w)]], [[Ruqayyah binti ya Mtume (s.a.w.w)]], [[Fatima bint Asad]], [[Ummu Aiman]], [[Zaynab bint Jahsh]] na [[Sauda bint Zam’ah bin Qays]] ni miongoni mwa wanawake wengine ambao ni Muhajirina (waliohama Makka na kwenda Madina). | ||
Mstari 66: | Mstari 58: | ||
== Masuala Yanayo Fungamana == | == Masuala Yanayo Fungamana == | ||
* [[Ansar]] | * [[Ansar]] | ||
* [[Al-Muakhat baina al-Muhajirin wa al-Ansar]] | * [[Al-Muakhat baina al-Muhajirin wa al-Ansar]] | ||
== Rejea == | == Rejea == | ||
Mstari 74: | Mstari 66: | ||
== Vyanzo == | == Vyanzo == | ||
{{Vyanzo}} | {{Vyanzo}} | ||
*Al-Qur’an Al-Karim | * Al-Qur’an Al-Karim | ||
*Ibnu Athir, Ali bin Muhammad. Usd al-ghabah fi Ma'rifah al-Sahabah. Beirut: Dar al-Fikr, 1989 M/1409 H. | * Ibnu Athir, Ali bin Muhammad. Usd al-ghabah fi Ma'rifah al-Sahabah. Beirut: Dar al-Fikr, 1989 M/1409 H. | ||
*Ibnu Athir, Ali bin Muhammad. Al-Kamil fi al-Tarikh. Beirut: Dar Sadir, 1965 M/1385 H. | * Ibnu Athir, Ali bin Muhammad. Al-Kamil fi al-Tarikh. Beirut: Dar Sadir, 1965 M/1385 H. | ||
*Ibnu Sa'd. Muhammad bin Sa'd. Al-Tabaqat al-Kubra. Tahqiq: Muhammad Abdul Qadir Ata. Beirut: Dar al-Kutub al-Ilmiyah, 1990 M/1410 H. | * Ibnu Sa'd. Muhammad bin Sa'd. Al-Tabaqat al-Kubra. Tahqiq: Muhammad Abdul Qadir Ata. Beirut: Dar al-Kutub al-Ilmiyah, 1990 M/1410 H. | ||
*Ibnu Shahr Ashub, Muhammad bin Ali. Manaqib Al Abi Talib. Qom: Allamah, 1379 H. | * Ibnu Shahr Ashub, Muhammad bin Ali. Manaqib Al Abi Talib. Qom: Allamah, 1379 H. | ||
*Ibnu Hisham, Abdul Malik bin Hisham. Al-Sirah al-Nabawiyah. Tahqiq: Mustafa al-Saqa va Ibrahim al-Abyari va Abdul Hafidh Shibli. Beirut: Dar al-Ma'rifah, Bita. | * Ibnu Hisham, Abdul Malik bin Hisham. Al-Sirah al-Nabawiyah. Tahqiq: Mustafa al-Saqa va Ibrahim al-Abyari va Abdul Hafidh Shibli. Beirut: Dar al-Ma'rifah, Bita. | ||
*Baladhuri, Ahmad bin Yahya. Ansab al-Ashraf. Tahqiq: Muhammad Hamidullah. Misr: Dar al-Ma'arif. 1959 M. | * Baladhuri, Ahmad bin Yahya. Ansab al-Ashraf. Tahqiq: Muhammad Hamidullah. Misr: Dar al-Ma'arif. 1959 M. | ||
*Ja'fari, Yaqub. Tafsir Kauthar. Qom: Muassasah Intesharat Hijrat, 1376 S. | * Ja'fari, Yaqub. Tafsir Kauthar. Qom: Muassasah Intesharat Hijrat, 1376 S. | ||
*Diyar Bakri, Hussein bin Muhammad. Tarikh al-Khamis fi Ahwali Anfusi al-Nafis. Beirut: Dar Sadir, Bita. | * Diyar Bakri, Hussein bin Muhammad. Tarikh al-Khamis fi Ahwali Anfusi al-Nafis. Beirut: Dar Sadir, Bita. | ||
*Subhani, Ja'far. Ilahiyat ala Huda al-Kitab wa al-Sunnah wa al-A'ql. Qom: al-Markaz al-Alami li al-Dirasati al-Islamiyah. 1412 H. | * Subhani, Ja'far. Ilahiyat ala Huda al-Kitab wa al-Sunnah wa al-A'ql. Qom: al-Markaz al-Alami li al-Dirasati al-Islamiyah. 1412 H. | ||
*Sheikh Tusi, Muhammad bin Hassan. Al-Tibyan fi Tafsir Al-Qur'an. Tahqiq: Ahmad Qasir Amili. Muqadame Agha Buzurg Tehrani. Beirut: Dar Ihya al-Turath al-Arabi,Bita. | * Sheikh Tusi, Muhammad bin Hassan. Al-Tibyan fi Tafsir Al-Qur'an. Tahqiq: Ahmad Qasir Amili. Muqadame Agha Buzurg Tehrani. Beirut: Dar Ihya al-Turath al-Arabi,Bita. | ||
*Tabatabai, Sayid Muhammad Hussein. Al-Mizan fi Tafsir Al-Qur'an. Qom: Daftar Intesharat Islami vabaste ba Jami’ah Mudarrisin Hauzah Ilmiyah Qom, 1417 H. | * Tabatabai, Sayid Muhammad Hussein. Al-Mizan fi Tafsir Al-Qur'an. Qom: Daftar Intesharat Islami vabaste ba Jami’ah Mudarrisin Hauzah Ilmiyah Qom, 1417 H. | ||
*Tabarsi, Fadhl bin Hassan. Majma' al-Bayan fi Tafsir Al-Qur'an. Muqadame: Muhammad Jawad Balaghi. Teheran: Nasir Khosro, 1372 S. | * Tabarsi, Fadhl bin Hassan. Majma' al-Bayan fi Tafsir Al-Qur'an. Muqadame: Muhammad Jawad Balaghi. Teheran: Nasir Khosro, 1372 S. | ||
*Tabari, Muhammad bin Jarir. Tarikh al-Umam wa al-Muluk. Tahqiq: Muhammad Abu al-Fadhl Ibrahim. Beirut: Dar al-Turath, 1967 M / 1387 H. | * Tabari, Muhammad bin Jarir. Tarikh al-Umam wa al-Muluk. Tahqiq: Muhammad Abu al-Fadhl Ibrahim. Beirut: Dar al-Turath, 1967 M / 1387 H. | ||
*Amili, Jafar Murtadha. Al-Sahih Min Sirah al-Nabi al-A'dham. Muassasah Ilmi Farhanggi Dar al-Hadith, 1426 H/1385 S. | * Amili, Jafar Murtadha. Al-Sahih Min Sirah al-Nabi al-A'dham. Muassasah Ilmi Farhanggi Dar al-Hadith, 1426 H/1385 S. | ||
*Ali, Jawad. Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam. Dar al-Saqi. 2001 M/1422 H. | * Ali, Jawad. Al-Mufassal Fi Tarikh al-Arab Qabla al-Islam. Dar al-Saqi. 2001 M/1422 H. | ||
*Mas'udi, Ali bin Hussein. Al-Tanbih wa al-Ishraf. Tas-hih: Abdullah Ismail al-Sawi. Kairo: Dar al-Sawi. Bita. (Qom: Muassasah Nashr al-Manabi' al-Thaqah al-Islamiyah) | * Mas'udi, Ali bin Hussein. Al-Tanbih wa al-Ishraf. Tas-hih: Abdullah Ismail al-Sawi. Kairo: Dar al-Sawi. Bita. (Qom: Muassasah Nashr al-Manabi' al-Thaqah al-Islamiyah) | ||
*Mudhaffar, Muhammad Ridha. Al-Saqifah. Tahqiq: Mahmud Mudhaffar. Qom: Muassasah intesharat Ansariyan, 1415 H. | * Mudhaffar, Muhammad Ridha. Al-Saqifah. Tahqiq: Mahmud Mudhaffar. Qom: Muassasah intesharat Ansariyan, 1415 H. | ||
*Maqdisi, Matahar bin Tahir. Al-Bad'u wa al-Tarikh. Bur Said. Maktabah al-Thaqafah al-Diniyah, Bita. | * Maqdisi, Matahar bin Tahir. Al-Bad'u wa al-Tarikh. Bur Said. Maktabah al-Thaqafah al-Diniyah, Bita. | ||
*Maqrizi, Ahmad bin Ali. Imta' al-Asma' bima li al-Nabi min al-Ahwal wa al-Amwal wa al-Hafadah wa al-Mata. Tahqiq: Muhammad Abdul Hamid al-Nasimi. Beirut: Dar al-Kutub al-Ilmiyah. 1999 M/1420 H. | * Maqrizi, Ahmad bin Ali. Imta' al-Asma' bima li al-Nabi min al-Ahwal wa al-Amwal wa al-Hafadah wa al-Mata. Tahqiq: Muhammad Abdul Hamid al-Nasimi. Beirut: Dar al-Kutub al-Ilmiyah. 1999 M/1420 H. | ||
*Makarim shirazi, Nasir. Al-Amthal fi Tafsir Kitabillah al-Manzil. Qom: Madrasah Imam Ali bin Abi Talib, 1421 H. | * Makarim shirazi, Nasir. Al-Amthal fi Tafsir Kitabillah al-Manzil. Qom: Madrasah Imam Ali bin Abi Talib, 1421 H. | ||
*Makarim shirazi, Nasir. Tafsir Nemuneh. Tehran: Dar al-Kutub al-Ilmiyah, 1374 S. | * Makarim shirazi, Nasir. Tafsir Nemuneh. Tehran: Dar al-Kutub al-Ilmiyah, 1374 S. | ||
*Ya'qubi, Ahmad bin Abi Ya’qub. Tarikh Ya'qubi. Beirut, dar Sadir, Bita. | * Ya'qubi, Ahmad bin Abi Ya’qub. Tarikh Ya'qubi. Beirut, dar Sadir, Bita. | ||
{{end}} | {{end}} | ||
[[Kategoria:Waliohamia Madina]] | [[Kategoria:Waliohamia Madina]] |