Nenda kwa yaliyomo

Imamu Hadi (a.s) : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Faili:مرقد امام هادی علیه السلام.jpg|thumb|[[Haram za Maimamu wawili Hadi na Askary (a.s)]]]]
{{Infobox Imam
|title =
|known for = Imamu wa Kumi wa Mashia
|image = مرقد امام هادی علیه السلام.jpg
|image_size =
|caption = [[Haram za Maimamu wawili Hadi na Askary (a.s)|Haram ya Askariyein]]
|Jina = Ali bin Muhammad (a.s)
|Nafasi =
|Kunia = Abu Hassan Thalith
|Siku ya Kuzaliwa = [[15 Dhul-hijjah]], [[Mwaka 212 H]]
|Mahali  Alipozaliwa = [[Sarya]] - [[Madina]]
|Kipindi cha Uimamu = Miaka 34 ([[Hijria|220]] - [[Hijria|254]])
|Kifo = [[3 Rajab]] 254 Hijria
|Alipozikwa = [[Samarrah]] - [[Iraq]]
|Alipoishi = [[Madina]] - [[Samarrah]]
|Lakabu = Hadi - [[ Naqi (Lakabu)|Naqii]]
|Baba = [[Imamu Jawad (a.s)]]
|Mama = [[Samunah mke wa Imamu Jawad (a.s)|Samunah Magharibiyah]]
|Wake = [[Hudith]]
|Watoto = [[Hassan bin Ali bin Muhammad (a.s)|Hassan]], [[Muhammad ibn Ali al-Hadi (a.s)|Muhammad]], [[Hassan mtoto wa Imamu Hadi (a.s)|Hassan]], [[Ja'far mtoto wa Imam Hadi (a.s)|Ja'afar]]
|Umri = Miaka 42
}}
'''Ali bin Muhammad''' (Kiarabu: {{Arabic| الإمام علي الهادي عليه السلام}}), anaye tambulikana kama '''Imamu Hadi''' au '''Imamu Ali al-Naqi (a.s)''' (aliyezaliwa [[mwaka 212]] na kufariki [[254 Hijiria]]), ni Imamu wa kumi wa [[shia|Mashia]] na ni mwana wa [[Imamu Jawad (a.s)]]. Yeye alishika nafasi ya Imamu kwa muda wa miaka 34, kuanzia [[mwaka 220]] hadi [[254]]. Kipindi cha Uiamu wa uimamu wa Imamu Hadi, kiliwafikiana na utawala wa [[Makhalifa kadhaa wa Banu Abbasi]] waliokuwa wakiongoza wakati huo, ikiwa ni pamoja na [[Mutawakkil Abbasi|Mutawakkil]]. Kipindi chake kikubwa cha Uimamu wake kilikuwa chini ya udhibiti wa utawala wa Babu Abbasi akiwa huko mjini [[Samarra]].

Automoderated users, confirmed, movedable
7,127

edits