Nenda kwa yaliyomo

Imamu Hadi (a.s) : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Faili:مرقد امام هادی علیه السلام.jpg|thumb|[[Haram za Maimamu wawili Hadi na Askary (a.s)]]]]
[[Faili:مرقد امام هادی علیه السلام.jpg|thumb|[[Haram za Maimamu wawili Hadi na Askary (a.s)]]]]
'''Ali bin Muhammad''' (Kiarabu: ''علي بن محمد''), anaye tambulikana kama '''Imamu Hadi''' au '''Imamu Ali al-Naqi (a.s)''' (aliyezaliwa [[mwaka 212]] na kufariki [[254 Hijiria]]), ni Imamu wa kumi wa [[shia|Mashia]] na ni mwana wa [[Imamu Jawad (a.s)]]. Yeye alishika nafasi ya Imamu kwa muda wa miaka 34, kuanzia [[mwaka 220]] hadi [[254]]. Kipindi cha Uiamu wa uimamu wa Imamu Hadi, kiliwafikiana na utawala wa [[Makhalifa kadhaa wa Banu Abbasi]] waliokuwa wakiongoza wakati huo, ikiwa ni pamoja na [[Mutawakkil Abbasi|Mutawakkil]]. Kipindi chake kikubwa cha Uimamu wake kilikuwa chini ya udhibiti wa utawala wa Babu Abbasi akiwa huko mjini [[Samarra]].
'''Ali bin Muhammad''' (Kiarabu: {{Arabic| الإمام علي الهادي عليه السلام}}), anaye tambulikana kama '''Imamu Hadi''' au '''Imamu Ali al-Naqi (a.s)''' (aliyezaliwa [[mwaka 212]] na kufariki [[254 Hijiria]]), ni Imamu wa kumi wa [[shia|Mashia]] na ni mwana wa [[Imamu Jawad (a.s)]]. Yeye alishika nafasi ya Imamu kwa muda wa miaka 34, kuanzia [[mwaka 220]] hadi [[254]]. Kipindi cha Uiamu wa uimamu wa Imamu Hadi, kiliwafikiana na utawala wa [[Makhalifa kadhaa wa Banu Abbasi]] waliokuwa wakiongoza wakati huo, ikiwa ni pamoja na [[Mutawakkil Abbasi|Mutawakkil]]. Kipindi chake kikubwa cha Uimamu wake kilikuwa chini ya udhibiti wa utawala wa Babu Abbasi akiwa huko mjini [[Samarra]].

Imam Hadi (a.s) ameandika [[Hadithi]] nyingi juu ya masuala ya imani na akida, [[tafsiri ya Qur'ani]], [[fiqhi]], pamoja na [[maadili]]. Pia kuna mada muhimu za kielemu zilizojadiliwa katika sehemu ya Hadithi hizo, ikiwa ni pamoja na; [[tashbihu]] (kumfananisha Mungu na vitu vyengine), [[tanzih]] (utakaso wa Mungu), [[jabru]] (shinikizo la Mungu katika matendo ya binadamu) pamoja na [[ikhtiyar]] (hiyari na uhuru wa mwanadamu). Pia miongoni ya mambo yalionukuliwa kutoa kwake ni [[Ziyara Jami'a Kubra]] na [[Ziyara Ghadiriyyah]].

Mstari 153: Mstari 153:

Aidha, kuna kitabu kiitwacho (Shokuh-e Samarra) kinacho jumuisha mkusanyiko wa makala kuhusu Imamu Hadi na Imamu Askari (a.s), kilichapishwa na Chuo Kikuu cha Imamu Sadiq (a.s) mnamo mwaka 1390 Shamsia, che

== Rejea ==
{{Rejea}}

== Vyanzo ==
== Vyanzo ==
confirmed, Moderators, Wakabidhi
387

edits