Nenda kwa yaliyomo

Nabii Ibrahimu : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 13: Mstari 13:

Watafiti wengi wamezingatia karne ya 20 kabla ya Kristo (Issa) kama ndio tarehe ya kuzaliwa kwa nabii Ibrahimu (a.s), huku wengine wakidai kwamba; tarehe sahihi zaidi ni 1996 kabla ya Kristo (Issa). [1] Katika kitabu cha Hawaadithu al-Ayyami, siku ya kuzaliwa kwake imetajwa kuwa ni mwezi [[kumi Muharram]]. [2] Baadhi ya wanahistoria wanadhani kuwa yeye alizaliwa mwezi [[mosi Dhul-Hijja]]. [3]

[[Faili:مزار حضرت ابراهیم - فلسطین.jpg|thumb|kaburi la Nabii Ibrahim katika mji wa Hebroni huko Palestina]]
[[Faili:مزار حضرت ابراهیم - فلسطین.jpg|thumb|<center><small>kaburi la Nabii Ibrahim katika mji wa Hebroni huko Palestina</small></center>]]
Katika vyanzo vya Kiislamu, miji kadhaa imetajwa kuwa ni mahali pa kuzaliwa kwa Ibrahim (a.s). Kulingana na chanzo cha kihistoria cha Tabari, baadhi ya wanazuoni wameutaja mji wa Baabul au Kutha, ambao ni mji liokuwa ukitawaliwa na [[Namrudh]] wakati huo, ulioko maeneo ya Mesopotamia ya Iraq, kuwa ndio mahali alipo zaliwa nabii Ibrahimu. Pia kuna wengine walio utaja mji wa Al-Warqa au Harran, kuwa ndio mahali pa kuzaliwa kwake, na kusema kuwa baadaye baba yake alimpeleka Baabul au Kutha. [4] Katika moja ya Hadithi kutoka kwa [[Imamu Swadiq (a.s)]], mji wa "Kutha" umetajwa kuwa ndio mahali pa kuzaliwa kwake na ndio makao makuu ya Namrudh. [5] Ibn Batuta, mtalii wa kihistoria wa karne ya sita Hijria, ametaja eneo liitwalo Bursi lililopo kati ya [[Halabu]] na [[Baghdad]] nchini [[Iraq]], yeye amedai kwamba; eneo hilo ndilo linalodaiwa kuwa ni mahali pa kuzaliwa kwa Ibrahim. [6]

Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits