Nenda kwa yaliyomo

Manabii na mitume : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
No edit summary
Mstari 3: Mstari 3:
[[Umaasumu|Isma]] (kuto tenda dhambi), [[ujuzi wa mambo ya ghaibu]], [[miujiza]], na kupokea ufunuo, iwe ni [[ufunuo wa kisheria]] au [[ufunuo fafanuzi]], ni miongoni mwa sifa za Manabii. Ufunuo wa kisheria ni ule ufunuo asili, na ufunuo fafanuzi ni tafsiri ya ufunuo asili. [[Qur'an Kareem|Qur'ani]] inataja baadhi ya miujiza ya Manabii, kama vile kupoza moto kwa [[Ibrahimu]], [[fimbo ya Mussa]] kugeuka na kuwa nyoka, kufufuka kwa wafu kupitia mkono wa [[Nabii Issa]], na [[kumeguka kwa mwezi]] kulikotokea katika zama za Nabii Muhammad (s.a.w.w).

Qur'ani inasisitiza juu ya kuwepo kwa ubora wa baadhi ya Manabii kuliko wengine. Baadhi ya Manabii, mbali na [[Unabii]] wao, pia walikuwa na hadhi ya [[Mitume]], na wengine walikuwa na hadhi ya [[Uimamu]]. Kulingana na Hadithi ni kwamba; Manabii walio na sifa ya [[Ulul Azmi]] - [[Nuhu]], [[Ibrahimu]], [[Mussa]], Issa, na [[Muhammad (s.a.w.w)]] - ni wabora zaidi kuliko manabii wengine, na Mtume Muhammad (s.a.w.w) ni mbora zaidi kuliko Mitume na Manabii wote. Aidha, kati ya Manabii wa Mwenye Ezi Mungu; [[Shethi]], [[Idrisi]], Mussa, [[Daudi]], Isau, na Mtume Muhammad Muhammad (s.a.w.w), wanachukuliwa kuwa Mitume walio pewa vitabu vya mbinguni, na Manabii "Ulul Azmi" wote wanachukuliwa kuwa ni Manabii waliokuja na [[sheria za Kiungu]], yaani nao pia walikuwa na vitabu vyao.
Qur'ani inasisitiza juu ya kuwepo kwa ubora wa baadhi ya Manabii kuliko wengine. Baadhi ya Manabii, mbali na [[Unabii]] wao, pia walikuwa na hadhi ya [[Mitume]], na wengine walikuwa na hadhi ya [[Uimamu]]. Kulingana na Hadithi ni kwamba; Manabii walio na sifa ya [[Ulul Azmi]] - [[Nuhu]], [[Nabii Ibrahimu|Ibrahimu]], [[Mussa]], Issa, na [[Muhammad (s.a.w.w)]] - ni wabora zaidi kuliko manabii wengine, na Mtume Muhammad (s.a.w.w) ni mbora zaidi kuliko Mitume na Manabii wote. Aidha, kati ya Manabii wa Mwenye Ezi Mungu; [[Shethi]], [[Idrisi]], Mussa, [[Daudi]], Isau, na Mtume Muhammad Muhammad (s.a.w.w), wanachukuliwa kuwa Mitume walio pewa vitabu vya mbinguni, na Manabii "Ulul Azmi" wote wanachukuliwa kuwa ni Manabii waliokuja na [[sheria za Kiungu]], yaani nao pia walikuwa na vitabu vyao.

Ni vyema kueleweka ya kwamba; yawezekana Mtume akawa na kitabu bila kuwa na sharia mpya, yaani akaja na kitabu cha kudumisha yale yalioletwa na Mtume aliyepita kabla yake. Kulingana na imani maarufu, idadi ya manabii ni 124,000, ambapo 26 kati yao wametajwa katika [[Qur'an Kareem|Qur’ani]]. Nabii wa kwanza kabisa ni [[Adamu]], na Nabii wa mwisho ni kabisa ni [[Muhammad (s.a.w.w)]].
Ni vyema kueleweka ya kwamba; yawezekana Mtume akawa na kitabu bila kuwa na sharia mpya, yaani akaja na kitabu cha kudumisha yale yalioletwa na Mtume aliyepita kabla yake. Kulingana na imani maarufu, idadi ya manabii ni 124,000, ambapo 26 kati yao wametajwa katika [[Qur'ani]]. Nabii wa kwanza kabisa ni [[Adamu]], na Nabii wa mwisho ni kabisa ni [[Muhammad (s.a.w.w)]].

Wanazuoni wa upande wa madhehebu ya Shia wamechunguza historia ya manabii katika kazi zao tofauti, na wameandika vitabu maalumu na makhususi juu ya mada hii. Baadhi ya kazi zao  hizo ni pamoja na; [[An-Nur Al-Mubinu fi Qasas Al-Anbiya' wa Al-Mursalina]] kilicho andikwa na [[Sayyid Neematullah al-Jazayiri]], [[Qasas al-Anbiyaa]] cha [[Rawandi]], [[Tanzihu al-Anbiyaa]] cha [[Sayyid Murtadha]], cha [[Hayatu al-Qulubi]] cha [[Allama Majlisi]].  

Automoderated users, confirmed, movedable
7,842

edits