Manabii na mitume : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
|||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
'''Manabii na Mitume''' (Kiarabu: | '''Manabii na Mitume''' (Kiarabu: {{Arabic|الأنبياء و المرسلون}}): ni watu ambao Mwenye Ezi Mungu huwatumi katika kuwaongoza wanadamu kwenye njia yake ya haki. Mwenye Ezi Mungu huwasiliana na Manabii wake kupitia [[ufunuo]] (wahyi). | ||
[[Umaasumu|Isma]] (kuto tenda dhambi), [[ujuzi wa mambo ya ghaibu]], [[miujiza]], na kupokea ufunuo, iwe ni [[ufunuo wa kisheria]] au [[ufunuo fafanuzi]], ni miongoni mwa sifa za Manabii. Ufunuo wa kisheria ni ule ufunuo asili, na ufunuo fafanuzi ni tafsiri ya ufunuo asili. [[Qur'an Kareem|Qur'ani]] inataja baadhi ya miujiza ya Manabii, kama vile kupoza moto kwa [[Ibrahimu]], [[fimbo ya Mussa]] kugeuka na kuwa nyoka, kufufuka kwa wafu kupitia mkono wa [[Nabii Issa]], na [[kumeguka kwa mwezi]] kulikotokea katika zama za Nabii Muhammad (s.a.w.w). | [[Umaasumu|Isma]] (kuto tenda dhambi), [[ujuzi wa mambo ya ghaibu]], [[miujiza]], na kupokea ufunuo, iwe ni [[ufunuo wa kisheria]] au [[ufunuo fafanuzi]], ni miongoni mwa sifa za Manabii. Ufunuo wa kisheria ni ule ufunuo asili, na ufunuo fafanuzi ni tafsiri ya ufunuo asili. [[Qur'an Kareem|Qur'ani]] inataja baadhi ya miujiza ya Manabii, kama vile kupoza moto kwa [[Ibrahimu]], [[fimbo ya Mussa]] kugeuka na kuwa nyoka, kufufuka kwa wafu kupitia mkono wa [[Nabii Issa]], na [[kumeguka kwa mwezi]] kulikotokea katika zama za Nabii Muhammad (s.a.w.w). | ||
Mstari 11: | Mstari 11: | ||
== Mjumbe (Mtume) == | == Mjumbe (Mtume) == | ||
:''Makala | :''Makala Asili: [[Unabii]]'' | ||
Mjumbe ni mtu anaye pokea ujumbe moja kwa moja kutoka kwa Mungu na kuufikisha kwa binadamu bila kuwepo kwa mtu mwengine kati kati. [1] Mtume ni kiungo kati i ya Mwenye Ezi Mungu na waja vyake, na kazi ya Mtume ni kuwaongoza watu kwenye njia ya Mwenye Ezi Mungu [2]. | Mjumbe ni mtu anaye pokea ujumbe moja kwa moja kutoka kwa Mungu na kuufikisha kwa binadamu bila kuwepo kwa mtu mwengine kati kati. [1] Mtume ni kiungo kati i ya Mwenye Ezi Mungu na waja vyake, na kazi ya Mtume ni kuwaongoza watu kwenye njia ya Mwenye Ezi Mungu [2]. | ||
Mstari 21: | Mstari 21: | ||
Kuna [[Hadithi]] tofauti kuhusu na idadi ya wajumbe wa Mwenye Ezi Mungu. [[Allama Tabatabai]], kulingana na Hadithi maarufu, ametaja idadi ya wajumbe hao kuwa ni wajumbe 124,000. [12] Kulingana na Hadithi hii, 313 kati yao ni mitume, watu 600 ni manabii kutoka katika wa Bani Israili, na wane ambao ni [[Huud]], [[Saleh]], [[Shu'ayb]], na [[Muhammad (s.a.w.w)]] ni Waarabu. [13] Katika Hadithi nyingine, idadi ya manabii ni imetajwa kwa idadi tofauti, wakati mwengine wametajwa kwa idadi ya 8,000, [14] au 320,000, [15] au 144,000. [16] [[Allama Majlisi]] anadhani kwamba yawezekna idadi ya 8,000 inarejelea manabii wakubwa. [17] Mtume wa kwanza kabisa alikuwa ni [[nabii Adamu]] na wa mwisho alikuwa ni [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]]. [18] [19] | Kuna [[Hadithi]] tofauti kuhusu na idadi ya wajumbe wa Mwenye Ezi Mungu. [[Allama Tabatabai]], kulingana na Hadithi maarufu, ametaja idadi ya wajumbe hao kuwa ni wajumbe 124,000. [12] Kulingana na Hadithi hii, 313 kati yao ni mitume, watu 600 ni manabii kutoka katika wa Bani Israili, na wane ambao ni [[Huud]], [[Saleh]], [[Shu'ayb]], na [[Muhammad (s.a.w.w)]] ni Waarabu. [13] Katika Hadithi nyingine, idadi ya manabii ni imetajwa kwa idadi tofauti, wakati mwengine wametajwa kwa idadi ya 8,000, [14] au 320,000, [15] au 144,000. [16] [[Allama Majlisi]] anadhani kwamba yawezekna idadi ya 8,000 inarejelea manabii wakubwa. [17] Mtume wa kwanza kabisa alikuwa ni [[nabii Adamu]] na wa mwisho alikuwa ni [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]]. [18] [19] | ||
[[Qur'an Kareem|Qur'an]] inataja majina ya baadhi tu ya manabii. [20] [[Adamu (a.s)]], [[Nuh (a.s)]], Idris (a.s), [[Hud (a.s)]], [[Saleh (a.s)]], [[Ibrahim (a.s)]], [[Lut (a.s)]], [[Ismail (a.s)]], [[Elisha (Al-Yasa’a) (a.s)]], [[Zulkifli (a.s)]], [[Ilyas (a.s)]], [[Yunus (a.s)]], [[Ishaq (a.s)]], [[Ya'aqub (a.s)]], [[Yusuf (a.s)]], [[Shu'aib (a.s)]], [[Mussa (a.s)]], [[Harun (a.s)]], [[Daudi (a.s)]], [[Sulaiman (a.s)]], [[Ayubu (a.s)]], [[Zakaria (a.s)]], [[Yahya (a.s)]], [[Issa (a.s)]], na [[Muhammad (s.a.w.w)]] ni manabii ambao majina yao yamekuja katika Qur'an. [21] Baadhi ya wafasiri wanaamini kwamba; jina la Ismail bin Ezekiel pia limetajwa katika Qur'an. [22] {{Maelezo | Isma'il bin Hizqiil (Ezekiel) ni miongoni mwa manabii wa Waisraeli. Allama Tabatabai anaamini kwaba; Isma'il aliye tajwa na Qur'an katika Suratu Mariam, ni nabii Hizqiil (Ezekiel), ambapoMwenye Ezi Mungu katika Aya hiyo alisema: | [[Qur'an Kareem|Qur'an]] inataja majina ya baadhi tu ya manabii. [20] [[Adamu (a.s)]], [[Nuh (a.s)]], Idris (a.s), [[Hud (a.s)]], [[Saleh (a.s)]], [[Ibrahim (a.s)]], [[Lut (a.s)]], [[Ismail (a.s)]], [[Elisha (Al-Yasa’a) (a.s)]], [[Zulkifli (a.s)]], [[Ilyas (a.s)]], [[Yunus (a.s)]], [[Ishaq (a.s)]], [[Ya'aqub (a.s)]], [[Yusuf (a.s)]], [[Shu'aib (a.s)]], [[Mussa (a.s)]], [[Harun (a.s)]], [[Daudi (a.s)]], [[Sulaiman (a.s)]], [[Ayubu (a.s)]], [[Zakaria (a.s)]], [[Yahya (a.s)]], [[Issa (a.s)]], na [[Muhammad (s.a.w.w)]] ni manabii ambao majina yao yamekuja katika Qur'an. [21] Baadhi ya wafasiri wanaamini kwamba; jina la Ismail bin Ezekiel pia limetajwa katika Qur'an. [22] {{Maelezo | Isma'il bin Hizqiil (Ezekiel) ni miongoni mwa manabii wa Waisraeli. Allama Tabatabai anaamini kwaba; Isma'il aliye tajwa na Qur'an katika Suratu Mariam, ni nabii Hizqiil (Ezekiel), ambapoMwenye Ezi Mungu katika Aya hiyo alisema: ({{Arabic|واذكُر فِى الكِتبِ اِسمعيلَ اِنَّهُ كانَ صادِقَ الوَعدِ و كانَ رَسولاً نَبيـّا}} ; Na mtaje katika kitabu Isma'il. Hakika yeye alikuwa mwaminifu wa ahadi, na alikuwa Mtume na Nabii) (Surat Maryam, aya 54), (Tabatabai, Al-Mizan, Chapa ya Mwaka 1417 Hijiria, Juzuu ya 14, Ukurasa 63).}} | ||
Wengine wanaamini kwamba Qur'an imetaja sifa za baadhi ya manabii, kama vile [[Yeremia]] na Samweli, lakini haikutaja majina yao. [23] Ndani ya Qur'an, kuna Sura maalumu inayoitwa "Anbiya" pia ndani yake mna [[Sura]] nyengine kadhaa zenye majina ya Mitume kama vile; [[Yunus]], [[Hud]], [[Yusuf]], [[Ibrahim]], [[Muhammad (s.a.w.w)]], na [[Nuh]]. | Wengine wanaamini kwamba Qur'an imetaja sifa za baadhi ya manabii, kama vile [[Yeremia]] na Samweli, lakini haikutaja majina yao. [23] Ndani ya Qur'an, kuna Sura maalumu inayoitwa "Anbiya" pia ndani yake mna [[Sura]] nyengine kadhaa zenye majina ya Mitume kama vile; [[Yunus]], [[Hud]], [[Yusuf]], [[Ibrahim]], [[Muhammad (s.a.w.w)]], na [[Nuh]]. | ||
Mstari 29: | Mstari 29: | ||
== Viwango na daraja za Mitume == | == Viwango na daraja za Mitume == | ||
Kulingana na Aya isemayo: | Kulingana na Aya isemayo: ({{Arabic|وَلَقَدْ فَضَّلْنَا بَعْضَ النَّبِيِّينَ عَلَىٰ بَعْضٍ}} ; Na kwa hakika tumewapandisha viwango baadhi ya manabii na tukawapa daraja kubwa kuliko wengine). [81] Kiuhalisia hadhi na nafasi za manabii haziko sawa, bali baadhi yao wana daraja kubwa zaidi kuliko wengine. Katika Hadithi ni kwamba; hadhi ya bwana [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]], ni bora ya juu zaidi kuliko manabii wengine. [82] {{Maelezo | {{Arabic|قَالَ رَسُولُ اللَّهِ (ص) مَا خَلَقَ اللَّهُ خَلْقاً أَفْضَلَ مِنِّي وَ لَا أَكْرَمَ عَلَيْهِ مِنِّي قَالَ عَلِيٌّ (ع) فَقُلْتُ يَا رَسُولَ اللَّهِ فَأَنْتَ أَفْضَلُ أَمْ جَبْرَئِيلُ؟ فَقَالَ (ص) يَا عَلِيُّ! إِنَّ اللَّهَ تَبَارَكَ وَ تَعَالَى فَضَّلَ أَنْبِيَاءَهُ الْمُرْسَلِينَ عَلَى مَلَائِكَتِهِ الْمُقَرَّبِينَ وَ فَضَّلَنِي عَلَى جَمِيعِ النَّبِيِّينَ وَ الْمُرْسَلِينَ}} ; Mjumbe wa Allah (s.a.w.w) alisema, "Allah hajamuumba kiumbe bora zaidi kuliko mimi, wala hajamtukuza yeyote zaidi yangu." Ali (a.s) anasema, nilimuuli nikasema: "Ewe mjumbe wa Allah, je, wewe ni bora zaidi au Jibril?" Bwana Mtume (s.a.w.w) akasema, "Ewe Ali, hakika Allah, Mtukufu Alie wa juu kabisa, amewapandisha na kuwatafautisha mitume wake kidaraja kuliko hata Malaika wake wa karibu, na akanikweza mimi kuwa ni mbora kuliko manabii na mitume wote.'' (Saduq, Kamal al-Din, 1395 A.H., Juz. 1, uk. 254)}}Kulingana na mtazamo wa [[Wayahudi]], manabii watokao ukoo wa [[Wana wa Israeli]], ni bora zaidi kuliko manabii wengine, ambao kati yao, [[Nabii Mussa (a.s)]], kwa mtazamo wao Nabii Musa (a.s) ni bora kuliko manabii wengine. [83] | ||
=== Ulu al-Azmi === | === Ulu al-Azmi === | ||
:''Makala: [[Ulu al-Azmi]]'' | :''Makala Asili: [[Ulu al-Azmi]]'' | ||
Kulingana na maoni ya [[Ayatullahi Tabatabai]] ni kwamba, maana ya "al-Azm" katika Aya ya 35 ya Surat al-Ahqaf ni sheria na maana ya [[Ulu al-Azm]] ni Mitume [[wenye sharia]] au walikuja na sheria. Kwa mtazamo wake, Mitume watano (Nuhu, Ibrahim, Mussa, Issa, na Muhammad (s.a.w.w)) ndio wenye sheria amabo wnajulikana kwa jina la Ulu al-Azm. [84] Baadhi ya wanazuoni wengine wanaamini kuwa "Ulu al-Azm" siyo jina linalohusiana na Mitume wenye sheria tu. [85] Kulingana na maelezo ya moja ya [[Hadithi|Riwaya]] za bwana Mtume (s.a.w.w), ni kwamba; Ulu al-Azm ni bora kuliko Mitume wengine. [86] | Kulingana na maoni ya [[Ayatullahi Tabatabai]] ni kwamba, maana ya "al-Azm" katika Aya ya 35 ya Surat al-Ahqaf ni sheria na maana ya [[Ulu al-Azm]] ni Mitume [[wenye sharia]] au walikuja na sheria. Kwa mtazamo wake, Mitume watano (Nuhu, Ibrahim, Mussa, Issa, na Muhammad (s.a.w.w)) ndio wenye sheria amabo wnajulikana kwa jina la Ulu al-Azm. [84] Baadhi ya wanazuoni wengine wanaamini kuwa "Ulu al-Azm" siyo jina linalohusiana na Mitume wenye sheria tu. [85] Kulingana na maelezo ya moja ya [[Hadithi|Riwaya]] za bwana Mtume (s.a.w.w), ni kwamba; Ulu al-Azm ni bora kuliko Mitume wengine. [86] | ||
Mstari 45: | Mstari 45: | ||
* Mtume ni mjumbe aliyekuja na sharia na huanzisha sharia ndani ya jamii, ila Nabii ni mlinzi wa sheria iliyopo au iliopita kabla yake. [[Tabrisi]] amenasibisha kauli hii na mwanazuoni aitwaye Jahidh. Hata hivyo, baadhi ya wafasiri kama vile Tabari, wanachukulia Nabii na Mtume kama ni maneno yanayoweza kutumika kwa kunaibiana, kwa mtazamo huu, yote mawili yatakuwa na maana moja. [93] | * Mtume ni mjumbe aliyekuja na sharia na huanzisha sharia ndani ya jamii, ila Nabii ni mlinzi wa sheria iliyopo au iliopita kabla yake. [[Tabrisi]] amenasibisha kauli hii na mwanazuoni aitwaye Jahidh. Hata hivyo, baadhi ya wafasiri kama vile Tabari, wanachukulia Nabii na Mtume kama ni maneno yanayoweza kutumika kwa kunaibiana, kwa mtazamo huu, yote mawili yatakuwa na maana moja. [93] | ||
=== Wajumbe | === Wajumbe Waanzilishi wa Sharia na Wajumbe Wasambazaji wa Sharia === | ||
Kulingana na mgawanyiko wa wajumbe na mitume katika makundi mawili; wajumbe waanzilishi sharia na wahubiri au wasambazaji wa sharia, wajumbe wasambazaji sharia wanajukumu la kukuza, kutangaza, kutekeleza, na kufasiri sheria ambazo zilikuwepo wakati wa ujumbe wao. Kinyume na mitume au wajumbe ambao ni waanzilishi wa sharia, ambao ni kama vile; Nuhu, Ibrahimu, Musa, na Isa [95], ambao wao wenyewe walikuwa ni waanzilishi wa sharia. [96] Kiuhalisia idadi ya wajumbe waliokuja na sharia mpya, ni ndogo mno. [97] | Kulingana na mgawanyiko wa wajumbe na mitume katika makundi mawili; wajumbe waanzilishi sharia na wahubiri au wasambazaji wa sharia, wajumbe wasambazaji sharia wanajukumu la kukuza, kutangaza, kutekeleza, na kufasiri sheria ambazo zilikuwepo wakati wa ujumbe wao. Kinyume na mitume au wajumbe ambao ni waanzilishi wa sharia, ambao ni kama vile; Nuhu, Ibrahimu, Musa, na Isa [95], ambao wao wenyewe walikuwa ni waanzilishi wa sharia. [96] Kiuhalisia idadi ya wajumbe waliokuja na sharia mpya, ni ndogo mno. [97] | ||
=== Nafasi na | === Nafasi na Cheo cha Uimamu === | ||
Kulingana na [[Aya ya kutahiniwa kwa nabii Ibrahimu]], yaonekana kwamba; baadhi ya Mitume walikuwa na cheo cha [[Uimamu]]. [98] Katika baadhi ya [[Hadithi|Riwaya]] kunai bara zioneshazo kwamba; cheo cha Uimamu ni kikubwa zaidi kuliko cheo cha Utume na [[Unabii]], dhana hii inaeleweka kupitia maelezo ya Aya hiyo ya kutahiniwa kwa [[nabii Ibrahim (a.s)]], kwani yeye alipata cheo hicho mnamo mwishoni mwa umri wake, ambapo hapo mwanzo alikuwa ni nabii au mtume ila haukuwa ni Imamu. [99] {{Maelezo | Kwenye Hadithi maarufu kutoka kwa Imamu Sadiq (a.s), hatua za Ibrahimu (a.s) kabla ya kuwa Imam zimeorodheshwa kama ifuatavyo: 1- Uchamungu 1- Unabii 2- Utume 3- Ukhalifa (Khalilu Llahi) na 4- Uimamu. Hadithi imekuja kama ifuatavyo: | Kulingana na [[Aya ya kutahiniwa kwa nabii Ibrahimu]], yaonekana kwamba; baadhi ya Mitume walikuwa na cheo cha [[Uimamu]]. [98] Katika baadhi ya [[Hadithi|Riwaya]] kunai bara zioneshazo kwamba; cheo cha Uimamu ni kikubwa zaidi kuliko cheo cha Utume na [[Unabii]], dhana hii inaeleweka kupitia maelezo ya Aya hiyo ya kutahiniwa kwa [[nabii Ibrahim (a.s)]], kwani yeye alipata cheo hicho mnamo mwishoni mwa umri wake, ambapo hapo mwanzo alikuwa ni nabii au mtume ila haukuwa ni Imamu. [99] {{Maelezo | Kwenye Hadithi maarufu kutoka kwa Imamu Sadiq (a.s), hatua za Ibrahimu (a.s) kabla ya kuwa Imam zimeorodheshwa kama ifuatavyo: 1- Uchamungu 1- Unabii 2- Utume 3- Ukhalifa (Khalilu Llahi) na 4- Uimamu. Hadithi imekuja kama ifuatavyo: ({{Arabic|إنّ اللّه َ تباركَ و تعالى اتَّخَذَ إبراهيمَ عَبدا قَبلَ أن يَتَّخِذَهُ نَبيّا ، و إنّ اللّه َ اتَّخَذَهُ نَبيّا قَبلَ أن يَتَّخِذَهُ رَسولاً ، و إنّ اللّه َ اتَّخَذَهُ رَسولا ً قَبلَ أن يَتَّخِذَهُ خَليلاً ، و إنّ اللّه َ اتَّخَذَهُ خَليلاً قَبلَ أنْ يَجعَلَهُ إماما ، فلَمّا جَمَعَ لَهُ الأشياءَ قالَ : «إنّي جاعِلُكَ لِلنّاسِ إماماً...}} ; Hakika Mwenyezi Mungu amemfanya Ibrahimu kuwa mtumwa (mchamungu) kabla ya kumfanya kuwa nabii, na hakika Mwenyezi Mungu amemfanya kuwa nabii kabla ya kumfanya kuwa mtume, na hakika Mwenyezi Mungu amemfanya kuwa mtume kabla ya kumfanya kuwa Khalifa, na hakika Mwenyezi Mungu amemfanya kuwa Khalifa kabla ya kumfanya kuwa Imamu, na alipokamilishia vyeo vyote hivyo, alisema: "Hakika mimi nimekufanya wewe kuwa ni Imamu wa watu...) Al-Kulayni, Al-Kafi, Chapa ya mwaka 1407 Hijiria, Juzuu ya 1, Ukurasa 175.}} Katika [[Surat al-Anbiyaa]], kuna mitume kadhaa waliotambuliwa kuwa ni Maimamu, nao ni; Ibrahimu, [[Ishaq]], [[Yaaqub]] na [[Lut (a.s)]]. [100] Katika moja ya Hadirhi ilionukuliwa kutoka kwa [[Imamu Swadiq (a.s)]] ni kwamba; Mitume wa [[Ulu al-Azmi]] ni wenye cheo cha Uimamu. [101] | ||
=== Kuwakiuka Malaika kwa Utukufu === | === Kuwakiuka Malaika kwa Utukufu === | ||
Mstari 57: | Mstari 57: | ||
Kulingana na kauli ya [[Sheikh Mufidu]] ni kwamba; [[Shia Imamiyyah|Mashia]] na [[Ahlul-Hadith]] wa upande wa [[Masunni]], wanawatambua Mitume kuwa ni wenye cheo kukubwa zaidi kuliko [[Malaika]], ila [[Mu’utazila]] wao wanaamini ya kwamba; Mailka ni wenye cheo kikubwa kuwazidi Mitume (a.s). [102] Katika baadhi ya [[Hadithi]] yaonesha kwamba; cheo na Nabii Muhammad (s.a.w.w) pamoja na [[Maimamu wa Kishia|Maimamu 12 (a.s)]], kikubwa zaidi kuwazidi Malaika. [103] | Kulingana na kauli ya [[Sheikh Mufidu]] ni kwamba; [[Shia Imamiyyah|Mashia]] na [[Ahlul-Hadith]] wa upande wa [[Masunni]], wanawatambua Mitume kuwa ni wenye cheo kukubwa zaidi kuliko [[Malaika]], ila [[Mu’utazila]] wao wanaamini ya kwamba; Mailka ni wenye cheo kikubwa kuwazidi Mitume (a.s). [102] Katika baadhi ya [[Hadithi]] yaonesha kwamba; cheo na Nabii Muhammad (s.a.w.w) pamoja na [[Maimamu wa Kishia|Maimamu 12 (a.s)]], kikubwa zaidi kuwazidi Malaika. [103] | ||
== Manabii | == Manabii Waliopewa Vitabu == | ||
Baadhi ya manabii wamekuwa na vitabu vya mbinguni; kwa mujibu wa [[Aya za Qur'an]], [[Zabur]] ni kitabu cha [[Nabii Daud (a.s)]] [104], [[Taurati]] ni kitabu cha [[Nabii Mussa (a.s)]], Injil ni kitabu cha [[Nabii Issa (a.s)]] [105], na [[Qur'an Kareem|Qur'an]] ni kitabu cha [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]] [106]. {{Maelezo | Qur'an haitoi tamko la moja kwa moja kuhusiana na suala la kuteremshiwa nabii Musa Taurati; lakini inakiri kuteremshwa kwa Taurati kutoka kwa Mwenye Ezi Mungu. Jambo ambalo limethibitishwa kwenye (Surat al-Ma'ida, Aya 44) na pia inathibitisha kuteremshwa kwa Al-waahu kwa ajili ya nabii Musa, jambo ambalo linapatikana kwenye (Surat al-A'araf, Aya 154). Baadhi ya wafasiri wamesema kuwa; Al-waahu ni Taurati (Tabatabai, Al-Mizan, Chapa ya 1417 Hijiria, Juzuu ya 8, Ukurasa 250).}} Quran haitaji kitabu makhususi kwa ajili ya [[Nabii Ibrahim (a.s)]] na badala yake imetumia neno [[Suhuf]] kuhusiana na kitabu chake. [107] Zaidi ya hayo, kwa kuzingatia maelezo ya baadhi ya Hadithi, Mwenyezi Mungu alituma Suhuf 50 kwa [[Nabii Sheith (a.s)]], Suhuf 30 kwa [[Nabii Idris (a.s)]], na Suhuf 20 kwa Nabii Ibrahim (a.s) [108]. | Baadhi ya manabii wamekuwa na vitabu vya mbinguni; kwa mujibu wa [[Aya za Qur'an]], [[Zabur]] ni kitabu cha [[Nabii Daud (a.s)]] [104], [[Taurati]] ni kitabu cha [[Nabii Mussa (a.s)]], Injil ni kitabu cha [[Nabii Issa (a.s)]] [105], na [[Qur'an Kareem|Qur'an]] ni kitabu cha [[Mtume Muhammad (s.a.w.w)]] [106]. {{Maelezo | Qur'an haitoi tamko la moja kwa moja kuhusiana na suala la kuteremshiwa nabii Musa Taurati; lakini inakiri kuteremshwa kwa Taurati kutoka kwa Mwenye Ezi Mungu. Jambo ambalo limethibitishwa kwenye (Surat al-Ma'ida, Aya 44) na pia inathibitisha kuteremshwa kwa Al-waahu kwa ajili ya nabii Musa, jambo ambalo linapatikana kwenye (Surat al-A'araf, Aya 154). Baadhi ya wafasiri wamesema kuwa; Al-waahu ni Taurati (Tabatabai, Al-Mizan, Chapa ya 1417 Hijiria, Juzuu ya 8, Ukurasa 250).}} Quran haitaji kitabu makhususi kwa ajili ya [[Nabii Ibrahim (a.s)]] na badala yake imetumia neno [[Suhuf]] kuhusiana na kitabu chake. [107] Zaidi ya hayo, kwa kuzingatia maelezo ya baadhi ya Hadithi, Mwenyezi Mungu alituma Suhuf 50 kwa [[Nabii Sheith (a.s)]], Suhuf 30 kwa [[Nabii Idris (a.s)]], na Suhuf 20 kwa Nabii Ibrahim (a.s) [108]. | ||
[[Wafasiri]] wameamini kuwa Nabii Nuhu (a.s), Ibrahim (a.s), Mussa (a.s), Issa (a.s), na Muhammad (s.a.w.w) walikuja na sheria mpya kutoka mbinguni, imani hii inatokana na ufahamu wao kulingana na Aya isemayo: | [[Wafasiri]] wameamini kuwa Nabii Nuhu (a.s), Ibrahim (a.s), Mussa (a.s), Issa (a.s), na Muhammad (s.a.w.w) walikuja na sheria mpya kutoka mbinguni, imani hii inatokana na ufahamu wao kulingana na Aya isemayo: ({{Arabic|شَرَعَ لَكُمْ مِنَ الدِّينِ مَا وَصَّىٰ بِهِ نُوحًا وَالَّذِي أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ وَمَا وَصَّيْنَا بِهِ إِبْرَاهِيمَ وَمُوسَىٰ وَعِيسَىٰ}} ; Tumekupangieni sheria kutokana na dini sawa yale tuliyomuamrisha Nuhu, [[sharia]] ambazo tumekuusia wewe (tumekufunulia wewe), na ambazo tuliyowausia Ibrahim, Mussa na Issa))'' [109] [110]. Katika baadhi ya [[Hadithi|Riwaya]], emeelezwa kwamba; sababu ya Manabii hawa kuitwa [[Ulu al-Azimi]] inatokana na Manabii hawa kuwa sheria zao mpya katika jamii zao. [111] | ||
[[Alama Tabatabai]] amesema kuwa kila Mtume wa Ulu al-Azmi alikuja na kitabu na sheria yake maalumu [112], na suala la kuwepo kwa vitabu vya Manabii ambao sio Ulu al-Azmi kama [[Daud (a.s)]] [113], [[Sheith (a.s)]] na [[Idris (a.s)]] [114], halikinzani na kauli inayo dai kwamba; Manabii wa Ulu al-Azmi ndio walikuja na sharia mpya kutoka kwa Mola wao; kwa sababu kwa vitabu vya Manabii ambao sio Ulu al-Azmi havijumuishi ndani yake amri na [[Hukumu za kisheria|sheria]] [115]. | [[Alama Tabatabai]] amesema kuwa kila Mtume wa Ulu al-Azmi alikuja na kitabu na sheria yake maalumu [112], na suala la kuwepo kwa vitabu vya Manabii ambao sio Ulu al-Azmi kama [[Daud (a.s)]] [113], [[Sheith (a.s)]] na [[Idris (a.s)]] [114], halikinzani na kauli inayo dai kwamba; Manabii wa Ulu al-Azmi ndio walikuja na sharia mpya kutoka kwa Mola wao; kwa sababu kwa vitabu vya Manabii ambao sio Ulu al-Azmi havijumuishi ndani yake amri na [[Hukumu za kisheria|sheria]] [115]. | ||
Mstari 73: | Mstari 73: | ||
=== Viashio (Irhaasaat) === | === Viashio (Irhaasaat) === | ||
:Makala | :''Makala Asili: [[Irhaas]] (Viashiria)'' | ||
Matukio yaliyotokea kabla ya [[utume]] wa manabii na kwa lengo la kuwaandaa watu kwa ajili ya kukubali dai lao la baadaye (la utume), [129] katika istilahi za [[wanatheolojia]] hujulikana kwa jila la [[Irhaasaat]] ''ارهاصات'' (vithibitisho na viashirio). Kuokolewa kwa Nabii Mussa (a.s) kutoka kwenye Mto Nile, kuzungumza kwa Nabii Isa (a.s) hali akiwa ni mtoto mchanga, kukauka kwa [[Ziwa la Sawe]], kutetemeka kwa kasri la [[utawala wa Kisra]], kuzimika kwa [[moto wa Faris]] (Iran) na matukio mengine ambayo yalitokea wakati wa kuzaliwa kwa bwana [[Mtume (s.a.w.w)]] yalikuwa ni miongoni mwa ishara za unabii. [131] | Matukio yaliyotokea kabla ya [[utume]] wa manabii na kwa lengo la kuwaandaa watu kwa ajili ya kukubali dai lao la baadaye (la utume), [129] katika istilahi za [[wanatheolojia]] hujulikana kwa jila la [[Irhaasaat]] ''ارهاصات'' (vithibitisho na viashirio). Kuokolewa kwa Nabii Mussa (a.s) kutoka kwenye Mto Nile, kuzungumza kwa Nabii Isa (a.s) hali akiwa ni mtoto mchanga, kukauka kwa [[Ziwa la Sawe]], kutetemeka kwa kasri la [[utawala wa Kisra]], kuzimika kwa [[moto wa Faris]] (Iran) na matukio mengine ambayo yalitokea wakati wa kuzaliwa kwa bwana [[Mtume (s.a.w.w)]] yalikuwa ni miongoni mwa ishara za unabii. [131] |