Harakati ya Ansarullah ya Yemen : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Faili:لوگوی انصار الله یمن.jpg|thumb|<center>Ansarullah</center>]] | [[Faili:لوگوی انصار الله یمن.jpg|thumb|<center>Ansarullah</center>]] | ||
'''Harakati ya Ansarullah ya Yemen''' (Kiarabu: {{Arabic| أنصار اللّه اليمنية}}) au Wahouthi ni harakati ya kisiasa na kidini ya ya wafuasi wa madhehebu ya Zaydiya nchini Yemen ambayo ilianzishwa mnamo 1990 na kudhibiti sehemu ya ardhi ya nchi hiyo. Ansarullah inachukuliwa kuwa imeathiriwa na [[Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran]] na fikra za [[Imam Khomeini]]. Kuundwa kwa serikali ya Houthi kunachukuliwa kuwa ni muendelezo wa serikali ya Uimamu wa Zaidiya nchini [[Yemen]], ambayo ilianzishwa katika karne ya tatu Hijria na kuendelea kwa zaidi ya miaka 1100. | '''Harakati ya Ansarullah ya Yemen''' (Kiarabu: {{Arabic|أنصار اللّه اليمنية}}) au Wahouthi ni harakati ya kisiasa na kidini ya ya wafuasi wa madhehebu ya Zaydiya nchini Yemen ambayo ilianzishwa mnamo 1990 na kudhibiti sehemu ya ardhi ya nchi hiyo. Ansarullah inachukuliwa kuwa imeathiriwa na [[Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran]] na fikra za [[Imam Khomeini]]. Kuundwa kwa serikali ya Houthi kunachukuliwa kuwa ni muendelezo wa serikali ya Uimamu wa Zaidiya nchini [[Yemen]], ambayo ilianzishwa katika karne ya tatu Hijria na kuendelea kwa zaidi ya miaka 1100. | ||
Kukabiliana kwa harakati hii na [[Marekani]] na muungano wa serikali ya Yemen na nchi hii kulipelekea kutokea mapigano kati ya Ansarullah na serikali ya Yemen. Vuguvugu hili lilimpoteza mwanzilishi wake [[Hussein Badreddin al-Houthi|Hussein Houthi]] katika vita vya kwanza na serikali ya Yemen, lakini likapata mafanikio katika vita vilivyofuata. | Kukabiliana kwa harakati hii na [[Marekani]] na muungano wa serikali ya Yemen na nchi hii kulipelekea kutokea mapigano kati ya Ansarullah na serikali ya Yemen. Vuguvugu hili lilimpoteza mwanzilishi wake [[Hussein Badreddin al-Houthi|Hussein Houthi]] katika vita vya kwanza na serikali ya Yemen, lakini likapata mafanikio katika vita vilivyofuata. |