Harakati ya Ansarullah ya Yemen : Tofauti kati ya masahihisho
→Mapigano ya kijeshi na mataifa ya kigeni
Mstari 82: | Mstari 82: | ||
Ansarullah ya Yemen imekuwa na mapigano ya kijeshi na nchi nyingi za kigeni, ambazo baadhi yake tunazitaja hapa chini: | Ansarullah ya Yemen imekuwa na mapigano ya kijeshi na nchi nyingi za kigeni, ambazo baadhi yake tunazitaja hapa chini: | ||
=== Mashambulio ya Saudi Arabia na Mataifa Yaliyounda Mungano Dhidi ya Ansarullah === | |||
Rais wa Yemen Abdu Rabbuh Mansour Hadi na Waziri Mkuu wake Khalid Mahfoudh Bahah walijiuzulu kutoka nyadhifa zao. [49] Kisha akaenda Aden na kuunda serikali ya muda. Mnamo Machi 26, 2015, muungano wa nchi za kikanda ukiongozwa na [[Saudi Arabia]], kwa kumuunga mkono Mansour Hadi, ulianzisha mashambulizi makali ya anga na baharini dhidi ya [[Yemen]], ambayo yaliharibu miundombinu mingi, vituo vya kijeshi na vya kiraia nchini Yemen. [50] Lengo la mashambulio haya lilikuwa ni kuyaondoa majimbo ya Yemen kutoka kwa udhibiti wa Ansarullah na kurejesha tena silaha za serikali kutoka kwa harakati hii. [51] | |||
Baada ya mashambulizi ya anga ya muungano huo, awali Ansarullah ilichukua udhibiti wa maeneo tofauti ya Yemen ili kukabiliana na kundi la kigaidi la Al-Qaeda na vikosi vinavyoshirikiana na muungano huo. Baada ya takriban miezi miwili ya uchokozi wa muungano wa Saudia, kulifanyika operesheni kadhaa dhidi ya Saudi Arabia. Pamoja na upanuzi wa mashambulizi ya muungano, Ansarullah ya Yemen ilitumia makombora ya balistiki dhidi ya Saudi Arabia kwa lengo la kusimamisha mashambulizi. [52] Wahouthi walifanya mashambulio ya kijeshi mara kadhaa dhidi ya maeneo tofauti kwa kutumia makombora ya balistiki na ndege zisizo na rubani. [53] | Baada ya mashambulizi ya anga ya muungano huo, awali Ansarullah ilichukua udhibiti wa maeneo tofauti ya Yemen ili kukabiliana na kundi la kigaidi la Al-Qaeda na vikosi vinavyoshirikiana na muungano huo. Baada ya takriban miezi miwili ya uchokozi wa muungano wa Saudia, kulifanyika operesheni kadhaa dhidi ya Saudi Arabia. Pamoja na upanuzi wa mashambulizi ya muungano, Ansarullah ya Yemen ilitumia makombora ya balistiki dhidi ya Saudi Arabia kwa lengo la kusimamisha mashambulizi. [52] Wahouthi walifanya mashambulio ya kijeshi mara kadhaa dhidi ya maeneo tofauti kwa kutumia makombora ya balistiki na ndege zisizo na rubani. [53] | ||
=== Mashambulio dhidi ya Israel na Meli zake Kujibu Mashambulio ya Mabomu Dhidi ya Gaza === | |||
Katika kuunga mkono watu wa Gaza dhidi ya mashambulizi ya Israel, harakati ya Ansarullah ya Yemen ilichukua uamuzi wa kushambulia na kulenga maeneo mbalimbali ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu kwa makombora na ndege zisizo na rubani. [54] Wahouthi pia walishambulia meli za Israel na meli zingine zilizokuwa zikielekea katika bandari za Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) katika Bahari Nyekundu na Ghuba ya Aden. [55] Marekani na Uingereza zilifanya mashambulizi kadhaa ya anga dhidi ya Ansarullah nchini Yemen, ambayo, kulingana na baadhi ya vyombo vya habari vya magharibi, hayakuweza kuwazuia Wahouthi kuendelea kutekeleza mashambulizi haya. [56] | Katika kuunga mkono watu wa [[Gaza]] dhidi ya mashambulizi ya Israel, harakati ya Ansarullah ya Yemen ilichukua uamuzi wa kushambulia na kulenga maeneo mbalimbali ya [[Palestina inayokaliwa kwa mabavu]] kwa makombora na ndege zisizo na rubani. [54] Wahouthi pia walishambulia meli za Israel na meli zingine zilizokuwa zikielekea katika bandari za Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) katika Bahari Nyekundu na Ghuba ya Aden. [55] [[Marekani]] na [[Uingereza]] zilifanya mashambulizi kadhaa ya anga dhidi ya Ansarullah nchini Yemen, ambayo, kulingana na baadhi ya vyombo vya habari vya magharibi, hayakuweza kuwazuia Wahouthi kuendelea kutekeleza mashambulizi haya. [56] Hatua hii ya Ansarullah ilifanyika kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi ya Israel dhidi ya raia, maeneo ya makazi, na vituo vya matibabu huko Gaza na kuzingirwa kwa mji huu. [57] Mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza yalifanywa kufuatia [[ Kimbunga cha al-Aqswa|operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqswa]] (Oktoba 2023) iliyotekelezwa na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS). [58] | ||
Hatua hii ya Ansarullah ilifanyika kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi ya Israel dhidi ya raia, maeneo ya makazi, na vituo vya matibabu huko Gaza na kuzingirwa kwa mji huu. [57] Mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza yalifanywa kufuatia operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqswa (Oktoba 2023) iliyotekelezwa na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS). [58] | |||
== Rejea == | == Rejea == |