Harakati ya Ansarullah ya Yemen : Tofauti kati ya masahihisho
→Mwamko wa Kiislamu na Mapinduzi 2011
Mstari 74: | Mstari 74: | ||
=== Mwamko wa Kiislamu na Mapinduzi 2011 === | === Mwamko wa Kiislamu na Mapinduzi 2011 === | ||
[[Faili:نقشه مناطق تحت سیطره انصارالله.jpg| | [[Faili:نقشه مناطق تحت سیطره انصارالله.jpg|250px|thumb|<center><small>Maeneo yanayodhibitiwa na Ansarullah (rangi ya kijani)</small></center>]] | ||
Sambamba na kuanza mapinduzi ya [[mwamko wa Kiislamu]] katika baadhi ya nchi za Kiislamu, wananchi wa Yemen nao walianzisha harakati za kuipindua serikali na Wahouthi wakaitumia fursa hiyo. [45] | Sambamba na kuanza mapinduzi ya [[mwamko wa Kiislamu]] katika baadhi ya nchi za Kiislamu, wananchi wa Yemen nao walianzisha harakati za kuipindua serikali na Wahouthi wakaitumia fursa hiyo. [45] | ||
Matokeo ya matukio hayo ikwa ni Wahouthi kuweza Machi 2011 kuudhibiti mji wa Saadah na kuchukua mamlaka na udhibiti wa mkoa huo. [46] Wahouthi walikuwa wakipinga mchakato wa makubaliano ya kisiasa na wakataa uchaguzi wa mapema wa rais na hawakumtambua Rais mpya aliyechaguliwa. [47] Baada ya Wahouthi kuungana na Ali Abdallah Saleh, mwaka 2014 waliudhibiti mji mkuu Sanaa. Mwaka 2017 Ali Abdallah Saleh kutokana na kufanya mazungumzo na muungano wa Saudia, alituhumiwa na Wahouthi kwa kufanya khiyana na akauawa katika mapigano na vikosi vya Wahouthi. [48] | Matokeo ya matukio hayo ikwa ni Wahouthi kuweza Machi 2011 kuudhibiti mji wa Saadah na kuchukua mamlaka na udhibiti wa mkoa huo. [46] Wahouthi walikuwa wakipinga mchakato wa makubaliano ya kisiasa na wakataa uchaguzi wa mapema wa rais na hawakumtambua Rais mpya aliyechaguliwa. [47] Baada ya Wahouthi kuungana na Ali Abdallah Saleh, mwaka 2014 waliudhibiti mji mkuu Sanaa. Mwaka 2017 Ali Abdallah Saleh kutokana na kufanya mazungumzo na muungano wa Saudia, alituhumiwa na Wahouthi kwa kufanya khiyana na akauawa katika mapigano na vikosi vya Wahouthi. [48] |