Nenda kwa yaliyomo

Harakati ya Ansarullah ya Yemen : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 61: Mstari 61:
== Makabiliano ya Wahouthi na serikali ya Yemen ==
== Makabiliano ya Wahouthi na serikali ya Yemen ==

Harakati ya al-Houthi ilikuwa ikiitambua serikali ya Yemen kuwa kibaraka wa Marekani na kukosoa kuwepo kwa ubaguzi, umaskini, utegemezi wa serikali, na uingiliaji wa wageni katika masuala ya Yemen. [35]
Harakati ya al-Houthi ilikuwa ikiitambua serikali ya Yemen kuwa kibaraka wa [[Marekani]] na kukosoa kuwepo kwa ubaguzi, umaskini, utegemezi wa serikali, na uingiliaji wa wageni katika masuala ya Yemen. [35] Baada ya tukio la Septemba 11 na mashambulizi ya Marekani dhidi ya [[Afghanistan]] na [[Iraq]] na uwepo wake wa kijeshi katika eneo na Ghuba ya Aden, harakati hii ilichukua msimamo dhidi ya Marekani [36] na kauli mbiu yao maarufu inayojulikana kama Sarkha ilipigwa dhidi ya Marekani na Israel. [37] Baadhi ya watafiti wanasema kuwa, kauli mbiu ya Sarkha dhidi ya Marekani ambayo mkuu wa serikali ya Yemen aliichukulia kuwa inamlenga yeye, pamoja na kushadidi harakati za kijeshi za harakati hiyo na kukataa kwa Hussein al-Houthi kutoa majibu kuhusu shughuli za harakati hiyo ndio sababu za kuibuka mapigano kati ya serikali ya [[Yemen]] na harakati hii na kutokea vita. [38] Makabiliano ya kijeshi ya Ansarullah ya Yemen na serikali ya nchi hiyo yalipelekea kutokea vita kadhaa:
Baada ya tukio la Septemba 11 na mashambulizi ya Marekani dhidi ya Afghanistan na Iraq na uwepo wake wa kijeshi katika eneo na Ghuba ya Aden, harakati hii ilichukua msimamo dhidi ya Marekani [36] na kauli mbiu yao maarufu inayojulikana kama Sarkha ilipigwa dhidi ya Marekani na Israel. [37]
Baadhi ya watafiti wanasema kuwa, kauli mbiu ya Sarkha dhidi ya Marekani ambayo mkuu wa serikali ya Yemen aliichukulia kuwa inamlenga yeye, pamoja na kushadidi harakati za kijeshi za harakati hiyo na kukataa kwa Hussein al-Houthi kutoa majibu kuhusu shughuli za harakati hiyo ndio sababu za kuibuka mapigano kati ya serikali ya Yemen na harakati hii na kutokea vita. [38]
Makabiliano ya kijeshi ya Ansarullah ya Yemen na serikali ya nchi hiyo yalipelekea kutokea vita kadhaa:
 
* Vita vya kwanza: Vita vya kwanza vya serikali ya Yemen dhidi ya Wahouthi vilipelekea kuuawa Hussein al-Houthi. Kuuawa wanajeshi watatu wa serikali na jaribio la kumkamata Hussein al-Houthi ni mambo yaliyotajwa kuwa sababu ya kutokea vita hivyo. Vita hivi vilifanyika katika mkoa wa Marran mnamo 2004. [39]

* Vita vya kwanza: Vita vya kwanza vya serikali ya Yemen dhidi ya Wahouthi vilipelekea kuuawa [[Hussein Badreddin al-Houthi|Hussein al-Houthi]]. Kuuawa wanajeshi watatu wa serikali na jaribio la kumkamata Hussein al-Houthi ni mambo yaliyotajwa kuwa sababu ya kutokea vita hivyo. Vita hivi vilifanyika katika mkoa wa Marran mnamo 2004. [39]
* Vita vya pili: Kukataa kumaliza mivutano kulisababisha kutokea vita vya pili mnamo 2005 vilivyodumu kwa miezi miwili. Hatimaye, serikali ya Yemen ilitangaza ushindi na vita vikaisha. Wigo wa vita hivi ulikuwa mpana kuliko vita vya kwanza. [40]

* Vita vya tatu: Mivutano iliyobakia ya vita ya pili ilisababisha kutokea vita vya tatu. Wigo wa vita hivi, vilivyoanza mwishoni mwa 2005 na kumalizika mwanzoni mwa 2006, ulipanuliwa hadi katika mji wa Saadah. [41]

* Vita vya nne: Kuhamishwa kwa Wayahudi wa jimbo la Saadah na jaribio la kuanzisha serikali ya Kishia katika jimbo hili na Wahouthi kulipelekea kutokea vita vya nne. Wigo wa vita hivi, ambavyo vilifanyika mwaka 2007, uilienea mpaka nje ya mkoa wa Saadah. Vita hivi vilifikia tamati kwa upatanishi wa serikali ya Qatar. [42]

Mstari 78: Mstari 72:
* Vita vya sita: Wahouthi walituhumiwa kuwateka nyara raia wa kigeni, na vita vya sita vikaanza Agosti 2009. Utumiaji mkubwa wa serikali wa mashambulizi ya anga na kuingia kwa Wahouthi katika ardhi Saudi Arabia na kuwaua wanajeshi wawili ni miongoni mwa sifa za vita hivi. Kuondoka kwa Wahouthi kutoka Saudi Arabia mnamo 2010 ndiko kulikokuwa mwisho wa vita hivi. [44]

'''Mwamko wa Kiislamu na Mapinduzi 2011'''
=== Mwamko wa Kiislamu na Mapinduzi 2011 ===

Sambamba na kuanza mapinduzi ya mwamko wa Kiislamu katika baadhi ya nchi za Kiislamu, wananchi wa Yemen nao walianzisha harakati za kuipindua serikali na Wahouthi wakaitumia fursa hiyo. [45]
[[Faili:نقشه مناطق تحت سیطره انصارالله.jpg|200px|thumb|<center><small>Maeneo yanayodhibitiwa na Ansarullah (rangi ya kijani)</small>]</center>]
Sambamba na kuanza mapinduzi ya [[mwamko wa Kiislamu]] katika baadhi ya nchi za Kiislamu, wananchi wa Yemen nao walianzisha harakati za kuipindua serikali na Wahouthi wakaitumia fursa hiyo. [45]
Matokeo ya matukio hayo ikwa ni Wahouthi kuweza Machi 2011 kuudhibiti mji wa Saadah na kuchukua mamlaka na udhibiti wa mkoa huo. [46] Wahouthi walikuwa wakipinga mchakato wa makubaliano ya kisiasa na wakataa uchaguzi wa mapema wa rais na hawakumtambua Rais mpya aliyechaguliwa. [47] Baada ya Wahouthi kuungana na Ali Abdallah Saleh, mwaka 2014 waliudhibiti mji mkuu Sanaa. Mwaka 2017 Ali Abdallah Saleh kutokana na kufanya mazungumzo na muungano wa Saudia, alituhumiwa na Wahouthi kwa kufanya khiyana na akauawa katika mapigano na vikosi vya Wahouthi. [48]

Automoderated users, confirmed, movedable
7,828

edits