Harakati ya Ansarullah ya Yemen : Tofauti kati ya masahihisho
→Viongozi wa Ansarullah
Mstari 37: | Mstari 37: | ||
Tangu Harakati ya Ansarullah ya Yemen ianzishe harakati zake mpaka kuunda serikali, imeongozwa na viongozi mbalimbali. Wafuatao ni baadhi ya viongozi hao. | Tangu Harakati ya Ansarullah ya Yemen ianzishe harakati zake mpaka kuunda serikali, imeongozwa na viongozi mbalimbali. Wafuatao ni baadhi ya viongozi hao. | ||
=== Hussein al-Houthi === | |||
Hussein | :''Makala asili: [[Hussein Badreddin al-Houthi|Hussein al-Houthi]]'' | ||
[[Faili:حسین الحوثی 6.jpg|thumb|<center><small>Hussein Badreddin al-Houthi, kiongozi wa Ansarullah</small></center>]] | |||
Hussein al-Houthi ni mtoto wa [[Hussein Badreddin al-Houthi|Badreddin al-Houthi]] [19] ni muasisisi na kiongozi wa kwanza wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen. [20] Alikuwa mfuasi wa madhehebu ya Shia Zaidiyyah na akiwa ameathirika na fikra na mitazamo ya Imamu Khomeini, aliliweka suala la uadui dhidi ya Marekani na Israel katika nara zake na alibainisha kadhia ya Palestina kuwa ni katika masuala yanayopewa kipaumbele na yeye na harakati yake. Hussein al-Houthi [[Kufa shahidi|aliauawa shahidi]] katika vita vya kwanza vya Wahouthi na serikali ya [[Yemen]] mwaka 2004. [21] Fikra na miatazamo yake ya kiitikadi ndio iliyopelekea kuanzisha Harakati ya Ansarullah. [22] | |||
Badreddin al-Houthi | === Badreddin al-Houthi === | ||
:''Makala asili: [[Badreddin al-Houthi]]'' | |||
''Makala asili: | |||
Abdul Malik Houthi ni kiongozi wa tatu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, baada ya kaka yake Hussein na baba yake Badr al-Din, kufikia nafasi hii. [26] Kulingana na ripoti, alichaguliwa na babake kwa ajili ya kushika wadhifa huu. [27] Wengine wanasema kwamba uongozi wake kwa harakati ya Ansarullah ulianza mwaka 2010 (mwaka alioaga dunia Badr al-Din al-Houthi), [28] na wengine wanasema 2004 (mwaka ambao Hussein Houthi aliuawa) [29] na wengine wanasema 2006 [ 30]. | Badreddin al-Houthi alikuwa mmoja wa Marajii wa Shia [[Zaydiya]]; anatambuliwa kama Kiongozi wa Kimaanawi wa Harakati ya Ansarullah. [23] Akiwa pamoja na baadhi ya Maulamaa wengine wa Kizaydiya wa Yemen walisimama kukabiliana na upenyaji wa fikra za Kiwahabi. [24] Badreddin alikuwa muungaji mkono wa [[Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran]] na alifahamika kuwa aliathirika na fikra za [[Imamu Khomeini (r.a)]]. Kutokana na mashinikizo na vitisho vya Mawahabi, aliondoka [[Yemen]] na kuelekea Iran na kipindi fulani alibakia katika mji wa [[Qom]]. Uwepo wake huu, ukawa utangulizi wa kufahamu zaidi [[Ushia]] na Mapinduzi ya Kiislamu. [25] | ||
Ushindi dhidi ya serikali ya Yemen, [31] kushindwa kwa mashambulizi ya muungano wa Waarabu dhidi ya Yemen yakiongozwa na Saudi Arabia, [32] shambulio la kombora la Ansarullah na ndege zisizo na rubani dhidi ya Israel na meli zake katika Bahari Nyekundu na Ghuba ya Aden [33] na kukabiliana na Marekani na Uingereza katika bahari hizi mbili ni miongoni mwa matukio ya wakati wa uongozi wa Abdul Malik al-Houthi. [34] | |||
=== Abdul-Mlaik al-Houthi === | |||
:''Makala asili: [[Abdul-Malik al-Houthi]]'' | |||
[[Abdul-Malik al-Houthi]] ni kiongozi wa tatu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, baada ya kaka yake [[Hussein]] na baba yake [[Badr al-Din]], kufikia nafasi hii. [26] Kulingana na ripoti, alichaguliwa na babake kwa ajili ya kushika wadhifa huu. [27] Wengine wanasema kwamba uongozi wake kwa harakati ya Ansarullah ulianza mwaka 2010 (mwaka alioaga dunia Badr al-Din al-Houthi), [28] na wengine wanasema 2004 (mwaka ambao Hussein Houthi aliuawa) [29] na wengine wanasema 2006 [ 30]. | |||
Ushindi dhidi ya serikali ya [[Yemen]], [31] kushindwa kwa mashambulizi ya muungano wa Waarabu dhidi ya Yemen yakiongozwa na [[Saudi Arabia]], [32] shambulio la kombora la Ansarullah na ndege zisizo na rubani dhidi ya [[Israel]] na meli zake katika Bahari Nyekundu na Ghuba ya Aden [33] na kukabiliana na Marekani na [[Uingereza]] katika bahari hizi mbili ni miongoni mwa matukio ya wakati wa uongozi wa Abdul-Malik al-Houthi. [34] | |||
== Makabiliano ya Wahouthi na serikali ya Yemen == | == Makabiliano ya Wahouthi na serikali ya Yemen == |