Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 275: Mstari 275:
==Matukio Baada ya Kifo cha Kishahidi cha Imamu (a.s)==
==Matukio Baada ya Kifo cha Kishahidi cha Imamu (a.s)==


Baada ya Imamu Hussein kuanguka kutoka kwenye farasi wake, Dul-Janahi (Farasi wa Imamu Hussein) alikwenda pembeni yake na akawa anuzunguka mwili wa Imamu Hussein aliyekuwa amepoteza fahamu, huku akimnusa na kumbusu. Kisha akajipaka kwenye paji la uso wake damu ya mwili wa Imamu Hussein (a.s), alionekana kuikita miguu yake chini na kuinamisha kichwa chake, kisha akaelekea kwenye mahema. [178] Imam Baqir (a.s) katika moja ya riwaya anasema: "Farasi huyo wakati alipokuwa anarudi mahemani alikuwa  akisema: ({{Arabic|الظليمة ، الظليمة ، من اُمّة قتلتْ ابن  بنت نبيّها}} ; Dhulma ilioje! Dhulma ilioje! kutoka katika kaumu hii, ambapo wao wameamua kumuuwa mtoto wa binti ya Mtume Wao (s.a.w.w). [179] Dhul -Janahi Alipofika kwenye mahemani, alikuwa akilia na kupiga kichwa chake chini. Familia ya Imamu Hussein walipomwona Farasi wa Imamu Hussein katika hali hiyo, walitoka nje ya mahema yao na kumkusanyikia na kumpapasa kichwani, uso na miguuni mwake. Kulthum akaweka mikono yake miwili juu ya kichwa chake na kusema: "Waa Muhammadaah Waa Jaddaah Waa Nabiyyaah.."
Baada ya Imamu Hussein kuanguka kutoka kwenye farasi wake, Dul-Janahi (Farasi wa Imamu Hussein) alikwenda pembeni yake na akawa anuzunguka mwili wa Imamu Hussein aliyekuwa amepoteza fahamu, huku akimnusa na kumbusu. Kisha akajipaka kwenye paji la uso wake damu ya mwili wa Imamu Hussein (a.s), alionekana kuikita miguu yake chini na kuinamisha kichwa chake, kisha akaelekea kwenye mahema. [178] Imam Baqir (a.s) katika moja ya riwaya anasema: "Farasi huyo wakati alipokuwa anarudi mahemani alikuwa  akisema: ({{Arabic|الظليمة ، الظليمة ، من اُمّة قتلتْ ابن  بنت نبيّها}} ; Dhulma ilioje! Dhulma ilioje! kutoka katika kaumu hii, ambapo wao wameamua kumuuwa mtoto wa binti ya Mtume Wao (s.a.w.w)). [179] Dhul -Janahi Alipofika kwenye mahemani, alikuwa akilia na kupiga kichwa chake chini. Familia ya Imamu Hussein walipomwona Farasi wa Imamu Hussein katika hali hiyo, walitoka nje ya mahema yao na kumkusanyikia na kumpapasa kichwani, uso na miguuni mwake. Kulthum akaweka mikono yake miwili juu ya kichwa chake na kusema: "Waa Muhammadaah Waa Jaddaah Waa Nabiyyaah.."
"Mtume wee! Babu yetu wee! Ee Nabii wetu wee!" [180] Ibara hii ni miongoni mwa ibara zinazosomwa katika mikusanyiko wa maadhimisho ya maombolezo ya kifo cha Imamu Hussein (a.s). [181]
"Mtume wee! Babu yetu wee! Ee Nabii wetu wee!" [180] Ibara hii ni miongoni mwa ibara zinazosomwa katika mikusanyiko wa maadhimisho ya maombolezo ya kifo cha Imamu Hussein (a.s). [181]


Automoderated users, confirmed, movedable
7,527

edits