Nenda kwa yaliyomo

Tukio la Karbala : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
'''Tukio la Karbala''' au '''tukio la Ashura''' (Kiarabu:  {{Arabic|واقعة کربلا}} أو {{Arabic|واقعة عاشوراء}}) ni tukio la vita vya [[jeshi la Kufa]] dhidi ya [[Imamu Hussein (a.s)]] na [[masahaba zake]] huko [[Karbala|Karbala,]]. Tukio la Karbala lilitokea tarehe [[10 Muharram]] (Mfunguo Nne) [[mwaka wa 61 Hijiria|mwaka 61 Hijiria]], baada ya Imamu Hussein (a.s) kukataa kutoa [[kiapo cha utiifu]] cha kutawazishwa [[Yazid bin Muawiah]] kushika nafasi ya ukhalifa. Jambo hilo ndilo lililopelekea kuuawa [[shahidi]] Imamu na masahaba zake, kisha [[kutekwa kwa familia yake]] baada ya vita hivyo.

Kadhia ya Karbala linachukuliwa kuwa ni tukio la kuhuzunisha zaidi katika historia ya Uislamu. Kulingana na umuhimu wa tukio hilo, Mashia huadhimisha maombolezo makubwa zaidi kuliko mengine yote katika kumbukumbu ya kila mwaka ya tukio huilo adhimu.
Kadhia ya Karbala linachukuliwa kuwa ni tukio la kuhuzunisha zaidi katika historia ya Uislamu. Kulingana na umuhimu wa tukio hilo, Mashia huadhimisha maombolezo makubwa zaidi kuliko mengine yote katika kumbukumbu ya kila mwaka ya tukio hilo adhimu.

Vuguvugu la tukio la Karbala lilianza baada tu ya kifo cha [[Muawia bin Abi Sufian]] kilichotokea mnamo [[mwezi 15 Rajabu]] ya [[mwaka wa 60 Hijiria]]. Huo ulikuwa ndio mwanzo wa utawala wa mtoto wa Muawia ([[Yazid]]). Kwa maana hiyo; tukio la karbala litakuwa lianzia baada ya kifo cha Muawia na kumalizika baada ya [[Mateka wa Karbala|mateka wa Karbala]] kurudi [[Madina]]. Mtawala wa Madina alichukuwa juhuidi kubwa za kupata [[kiapo cha utiifu]] cha kumtawazisha Yazid kutoka kwa Imamu Hussein (a.s). Ili Imamu Hussein aepukane na shinikizo hilo la kiongozi wa Madina, aliamua aliondoka usiku kutoka mji wa Madina  na akaelekea [[Makka]]. Katika safari hiyo, Imamu Hussein alifungamana na familia yake, idadi kadhaa ya [[Bani Hashimu]] na baadhi ya Mashia (wafuasi) wake.

Automoderated users, confirmed, movedable
7,527

edits