Nenda kwa yaliyomo

Ubora wa Imamu : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
 
Mstari 5: Mstari 5:
Kulingana na wanazuoni wa [[Shia Imamiyyah|Shia]] ni kwamba, [[Maimamu wa Kishia|Maimamu wa Shia (a.s)]], baada ya [[Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w)]], ni bora zaidi kuliko viumbe wote Mwenyezi Mungu. [[Allama Majlisi]] anaamini kwamba ni mjinga mpeke yake ndiye anaye kataa ubora wa Maimu wa Kishia. Hoja ya ubora wa mtu anayetaka kushika nafasi ya Uimamu, ndiyo hoja iliyo tumika kuthibitisha Uimamu wa Imam Ali (a.s), ambayo huitwa [[hoja ya ubora]].

== Welewa wa dhana na upeo wake ==
== Welewa wa Dhana na Upeo Wake ==

Kwa maoni ya wanatheolojia wa madhehebu ya Shia Imamiyah, ubora wa Imamu unamaanisha na kulenga zaidi kwenye ubora wake juu ya wengine katika sifa maalumu kama vile; [[elimu]], [[uadilifu]], ujasiri na [[uchamungu]], sifa hizi ndizo zinazo zaingatiwa kuwa ndio masharti ya [[Uimamu]]. [1] Katika baadhi ya vyanzo vya kitheolojia, ubora huu unamaanisha pia ubora katika [[ibada]] na ubora katika jitihada za kutafuta [[thawabu]] na kujikirubisha kwa Mwenye Ezi Mungu. [2] Kwa hivyo, wanatheolojia wa madhehebu ya Shia Imamiyah wanaamini kwamba; [[Imamu]] ni bora kuliko watu wengine katika sifa zote za kiroho na kimwili kama vile elimu, [[dini]], uchamungu, [[ukarimu]], [[ujasiri]], [3] na ubora katika kutafuta thawabu na mafanikio ya siku ya mwisho (mafanikio ya Akhera). [4] Manatheolojia hao wanaamini kwamba; ni Imamu lazima awe ni mtu mwenye elimu zaidi, mwenye ujasiri zaidi, mwenye ukarimu zaidi, mwenye subira zaidi, mwenye uchamungu zaidi, na kadhalika, kuliko watu wote manaoishi katika zama zake, [5] ili awe ni kigezo kwa watu na awe ni mwenye kustahiki kufuatwa na wengine. [6]

Mstari 11: Mstari 11:
Imeelezwa ya kuwa; si lazima Imamu awe bora kuliko wengine katika mambo ya kidunia kama vile mali, hadhi na nguvu; kwa sababu lengo ni kumfuata Imamu kwa dhati na [[kumuamini]] kwa dhati, sio kufuata na kiju juu tu. [7]

== Kwa mtazamo wa Shia, Imamu lazima awe bora zaidi kuliko wengine ==
== Kwa Mtazamo wa Shia, Imamu Lazima awe Bora Zaidi Kuliko Wengine ==

Wanatheolojia wa Shia Imamia wanaamini kwamba ubora ni mojawapo ya masharti ya Uimamu [8] nao wanakubaliana na [[wanawafikiana kinadharia]] juu ya hili. [9] Ili kuthibitisha ubora wa Imamu, hoja za kimantiki na vielelezo vya maandiko vimewasilishwa ili kudhatiti dhana hiyo.

=== Hoja za kimantiki ===
=== Hoja za Kimantiki ===

# Katika wasifu na ukamilifu, Imamu anaweza kuwa na hali tatu tofauti; ima atakuwa ni sawa na wengine au duni kuliko wao au anaweza kuwa ni mbora zaidi ya wao. Ikiwa yeye atakuwa ni sawa na wengine, kumchagua yeye kama ni Imamu chaguo hilo litakuwa na upendeleo lisilotegemea uzito wowote ule katika chaguo hilo. Kitaalamu chaguo la aina hii huitwa (kuchagua la moja ya vitu viwili vilivyo sawa, bila ya kuwepo sababu maalumu), ambapo kwa lugha ya Kiarabu huitwa “Tarjihu bilaa murajjihi”. Iwapo Imamu atakuwa duni kuliko wengine, katika hali hii, kwa mujibu wa hukumu ya akili, ni kwamba; kumpendelea mtu duni kuliko aliye bora, ni jambo la kuchukiza na lisilo ingia akili. Kwa hiyo Imamu ni lazima awe bora kuliko wengine. [10]

Mstari 21: Mstari 21:
# Imamu ni mtu anaye teuliwa na [[Mtume (s.a.w.w)]]. Daima bwana Mtume (s.a.w.w) alikuwa akizingatia suala la ubora katika kuchagua mrithi wake atakaye shika madaraka ya uongozi baada yake. [12]

=== Hoja na vielelezo vya maandiko ===
=== Hoja na Vielelezo vya Maandiko ===
   
Kuna vielelezo kadhaa vya maandiko vilivyo tumika katika kuwasilisha na kuthibitisha hoja ya ulazima wa kuwepo kiwango cha ubora kilicho wapindukia wengine kwa mtu anaye taka kushika nafasi ya Uimamu. Miongoni mwa maandiko yalio tumika kuthibitisha hilo ni; Aya ya 35 ya Surat Yunus, [13] [[Aya ya Sadiiqina]] (Aya ya 119 ya Surat al-Towbah) [14] na Aya ya 9 ya Surat al-Zamar. [15] Aya hizi zimetajwa kama ni hoja katika kuthibitisha ubora wa Imamu. Katika aya hizi, imebainishwa kwamba; mwenye kuongoza kwenye haki anatangulizwa mbele kuliko yule anayehitaji kuongozwa, kutangulizwa “aliye mwaminifu” kuliko asiye kuwa mwaminifu, na kupewa kipau mbele mwanachuoni kuliko asiyekuwa mwanachuoni. yote haya yanaonyesha kipaumbele cha mtu mwenye uzito maalumu kuliko mtu asiye kuwa na uzito wowote ule naozingatiwa kuwa ni sifa njema zinazo mwezesha mtu kuiongoza jamii kwa mfumo salama. [16]  

Mstari 27: Mstari 27:
Ili kuthibitisha kuwa ubora wa sifa maalumu, ni jambo la kwa mshika nafasi ya Uimamu, Wanazuoni wanukuu Hadith kadhaa kama ni vielelezo juu ya ulazima wa jambo hilo. [17] Kwa mfano, katika Hadithi iliyopokewa kutoka kwa Mtume (s.a.w.w), yeye amesema kwamb: "Mwenye kuongoza umma na ndani yao kukawa na mtu mbora zaidi kielemu kuliko yeye, basi mambo yao yataendelea kuharibika mpaka Siku ya Kiyama". Pia kwa upande wa madhehebu ya Sunni, mepokewa Hadithi isemayo kwamba; Abu Darda alikuwa akitembea mbele ya Abu Bakr, Mtume (s.a.w.w) akamwambia: “Je, (huoni kwamba), unatembea mbele ya mtu ambaye ni mbora kuliko wewe duniani na Akhera?” [20] Imeelezwa kwamba; Riwaya hii inasisitiza ubaya wa kutembea na kumtangulia mbele mtu aliye zidi daraja kuliko wengine. Kwa hiyo, itakuwa ni vibaya zaidi kumtanguliza mtu wa chini kwenye nafasi ya Uimamu na kuachana na yule aliye juu zaidi yake. [21]

== Kwa mtazamo wa Ahlu al-Sunnah, inajuzu mtu wa chini kushika nafasi ya Uimamu ==
== Kwa Mtazamo wa Ahlu al-Sunnah, Inajuzu Mtu wa Chini Kushika Nafasi ya Uimamu ==

[[Masunni]] wengi hawachukulii ubora wa Imamu kuwa ni sharti au faradhi na kwa mtazamo wao mtu wa daraja ya chini anaweza kumtangulia na kumpiku mwenye daraja ya juu katika kushika nafasi ya Uimamu.  

Mstari 66: Mstari 66:
Kuna Aya na Riwaya kadhaa zilizo tajwa kwa ajili ya kuthibitisha ubora wa Imamu Ali (a.s) kuliko watu wengine wakiwemo [[masahaba]]. [39] Allama Hilli katika [[Kashf al-Murad]] [40] ametoa hoja na vielelezo 25 na [[Ibn Maitham Bahrani]] katika kitabu [[al-Najaatu fi al-Qiyaama]] [41] ametoa hoja 22 juu ya ubora wa Imam Ali (a.s.). Baadhi ya hoja hizi ni; [[Aya ya Mubahala]], [[Aya ya Mawaddah]], [[Hadithi ya Tairu]], [[Hadithi ya Manzila]] na [[Hadithi ya Rayah]]. [42] Imeelezwa kuwa wafuasi wote [[Mu'utazila]] wa Baghdad, ikiwa ni pamoja na [[Ibn Abi al-Hadid]], ambaye ni mfasiri wa [[Nahju al-Balagha]], na baadhi ya wafuasi wa Mu'utazila wa Basra pia wamemzingatia Imamu Ali (a.s) kuwa ni mtu bora kuliko [[Makhalifa watatu]] pamoja na [[masahaba]] wengine wote. [43]

=== Thibitisho la hoja ya ubora ===
=== Thibitisho la Hoja ya Ubora ===

Ubora wa Imamu umetumiwa kama ni hoja juu ya kuthibitisha Uimamu wa Imam Ali (a.s). Uthibitisho huu, unaojulikana kama Uthibitisho wa Ubora, ni kama ifuatavyo:

Mstari 81: Mstari 81:
* '''Mifano isiyo afikiana na ubora''': Imedaiwa kwamba nadharia ya ubora haiwiani na mifano ya uteuzi wa viongozi ulio fanyika katika zama za bwana Mtume (s.a.w.w) na makhalifa. Uteuzi wa maimamu au makamanda wa jeshi haukuonekana kufuata kanuni hiyo. [48] Miongoni mwao, ni uteuzi wa amri ya [[Zaidu bin Harith]] katika [[vita vya Mauta]], licha ya kuwepo kwa [[Jafar bin Abi Talib]], uteuzi wa [[Usama bin Zaid]], katika siku za mwisho za uhai wa Mtume (s.a.w.w) pamoja na kuwepo kwa Imam Ali (a.s) [49]. Mifano mengine ni kuuwakilisha uteuzi wa ukhalifa mikononi mwa baraza la watu sita, ambapo [[Omar bin Khattab]] pamoja na kuwepo kwa Ali (a.s) na [[Othman]], aliwakabidhi hatu hao sita wenyewe kwa wenyewe wamchague mmoja miongoni mwao kuwa khalifa. Waliojibu pingamizi hii wamesema ya kwamba; Uteuzi wa kamanda hauzingatii wala hauhitaja ukamilifu na ubora wa mtu katika nyanja zote, wala kamda hahitaji kuwa na ukamilifu timamu na kuwa mbora kuliko wote, bali inatosha yeye kuwa ni mbora katika mambo yanayohusiana na vita tu. Kwa vile Zaid na Osama walikuwa na wabora katika seta hizo, hilo lilitosha kuwa ni ndio sababu ya kuteuliwa kwao. Kuhusu uteuzi wa Usama, inasemekana kwamba; Imam Ali (a.s) alikuwa karibu na kitanda cha [[Mtume (s.a.w.w)]] siku hiyo, na wala Mtume (s.a.w.w) hakumtaka Imam Ali (a.s) kujiunga na jeshi la Usama. Kwa hiyo, Ali (a.s.) hakulazimika kuwa katika jeshi la Usama. [51] Kwa upande wa pili unao husiana na maamuzi ya Omar ni kwamba; Usahihi wa matendo ya Omar bin Khattab umeegemea juu uhalali wa matendo ya Masahaba, ambapo Mashia hawayakubali na nadharia hiyo. [52] Yaani [[Shia Imamiyyah|Mashia]] hawayahisabu matendo ya [[Masahaba]] kuwa ni hoja na kielelezo kinachoweza cha kutegemewa katika kusimamisha hoja.

== Monografia (vitabu malumu juu ya mada hii) ==
== Monografia (Vitabu Maalumu Juu ya Mada hii) ==

* ''Afzaliyyate Imam az Manzare ‘Aqle wa Naqle'', cha Muhammad Hussein Faaryaab. Kitabu hichi kimechapwa na [[Muassese Amuzeshi wa Pazuheshi Imam Khomeiniy]]. [53]

== Masuala yanayo fungamana ==
== Masuala Yanayo Fungamana ==
{{col-begin|3}}
{{col-begin|3}}
* [[Ubora wa Ahlul-Bayt (a.s)]]
* [[Ubora wa Ahlul-Bayt (a.s)]]
* [[Sifa na wasifu wa Imamu Ali (a.s)]]
* [[Sifa na wasifu wa Imamu Ali (a.s)]]
* [[Uimamu au Uongozi|Uimamu]]
* [[Uimamu au Uongozi|Uimamu]]
Automoderated users, confirmed, movedable
5,705

edits