Nenda kwa yaliyomo

Manabii na mitume : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 79: Mstari 79:
== Bibliografia (seti ya orodha ya vitabu) ==
== Bibliografia (seti ya orodha ya vitabu) ==


Wanadithi, wafasiri, na wanatheolojia wa Kiislamu wamehusiha sehemu maalumu ya kazi zao za uandishi kuhusiana na manabii. Alama Majlisi ametnga juzu za kitabu chake “Bihar al-Anwar” kwa ajli ya Riwaya zinazohusiana na manabii [132], na juzu tisa kwa ajili ya historia ya bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w). [133] Pia kuna vitabu kadhaa vilivyoandikwa makhususis kuhusisna na manabii tu, ambavyo vingi miongoni mwavyo vimechapishwa kwa jina la "Qasasu al-Anbiyaa" (Hadithi za Manabii). Kwa kiasi kikubwa Katika kazi hizi, zimejikita katika kuelezea maisha ya manabii, na wakati mwengine vinahusiana na uchambuzi wa mada za imani zinazohusiana nao. Baadhi ya kazi hizi ni pamoja na:
[[Wanahadithi]], [[wafasiri]], na [[wanatheolojia wa Kiislamu]] wamehusiha sehemu maalumu ya kazi zao za uandishi kuhusiana na manabii. [[Alama Majlisi]] ametnga juzu za kitabu chake [[Bihar al-Anwar]] kwa ajli ya [[Hadithi|Riwaya]] zinazohusiana na manabii [132], na juzu tisa kwa ajili ya historia ya bwana Mtume [[Muhammad (s.a.w.w)]]. [133] Pia kuna vitabu kadhaa vilivyoandikwa makhususis kuhusisna na manabii tu, ambavyo vingi miongoni mwavyo vimechapishwa kwa jina la "Qasasu al-Anbiyaa" (Hadithi za Manabii). Kwa kiasi kikubwa Katika kazi hizi, zimejikita katika kuelezea maisha ya manabii, na wakati mwengine vinahusiana na uchambuzi wa mada za imani zinazohusiana nao. Baadhi ya kazi hizi ni pamoja na:


* [[Nur al-Mubiin fi Qisasi al-Anbiyai wa al-Mursaliina]]: Kitabu hichi kimeandikwa na [[Sayyid Ni'matullah Jazairi]] (aliye zaliwa mwaka 1050 na kufariki 1112 Hijiria). Hichi ni kitabu kinacho elezea maisha ya manabii waliotajwa majina yao katika Riwaya za Kishia. Mwandishi amejadili masuala kadhaa katika utangulizi wake, ikiwa ni pamoja na; idadi ya manabii, mambo na sifa shirikisho baina yao, [[Ulu al-Azmi]], tofauti kati ya nabii na [[Imam]]. Kitabu hichi kimeandikwa kwa lugha ya Kiarabu na kufasiriwa kwa Kifarsi kwa jina la "Daastane Peambarane ua Qissehaye Qur’ani az Adam taa Khaatam."
* [[Nur al-Mubiin fi Qisasi al-Anbiyai wa al-Mursaliina]]: Kitabu hichi kimeandikwa na [[Sayyid Ni'matullah Jazairi]] (aliye zaliwa mwaka 1050 na kufariki 1112 Hijiria). Hichi ni kitabu kinacho elezea maisha ya manabii waliotajwa majina yao katika Riwaya za Kishia. Mwandishi amejadili masuala kadhaa katika utangulizi wake, ikiwa ni pamoja na; idadi ya manabii, mambo na sifa shirikisho baina yao, [[Ulu al-Azmi]], tofauti kati ya nabii na [[Imam]]. Kitabu hichi kimeandikwa kwa lugha ya Kiarabu na kufasiriwa kwa Kifarsi kwa jina la "Daastane Peambarane ua Qissehaye Qur’ani az Adam taa Khaatam".
* [[Qasas al-Anbiya Rawandi]]: Kitabu hichi ni kazi ya [[Qutb al-Din Rawandi]]. Mwandishi ameelezea maisha ya manabii kwa utaratibu wa mfululizo wa nyakati na zama.
* [[Qasas al-Anbiya Rawandi]]: Kitabu hichi ni kazi ya [[Qutb al-Din Rawandi]]. Mwandishi ameelezea maisha ya manabii kwa utaratibu wa mfululizo wa nyakati na zama.
* [[Tanzih al-Anbiya wa al-A'immah]]: cha Sayyid Murtadha (aliye zaliwa mwaka 355 na kufariki 436 Hijiria). Yeye aliandika kazi hii kwa ajili ya kuthibitisha utakaso na [[Umaasumu wa Manabii|isma ya manabii]], kitabu ambacho alikiandika kwa Kiarabu. Mwandishi ndani ya kitabu chake amewatambulisha manabii kama ni watu waliotoharika ambao wameepukana na aina zote za dhambi, iwe ni dhambi ndogo au kubwa.
* [[Tanzih al-Anbiya wa al-A'immah]]: cha Sayyid Murtadha (aliye zaliwa mwaka 355 na kufariki 436 Hijiria). Yeye aliandika kazi hii kwa ajili ya kuthibitisha utakaso na [[Umaasumu wa Manabii|isma ya manabii]], kitabu ambacho alikiandika kwa Kiarabu. Mwandishi ndani ya kitabu chake amewatambulisha manabii kama ni watu waliotoharika ambao wameepukana na aina zote za dhambi, iwe ni [[dhambi|dhambi ndogo]] au [[kubwa]].
* [[Waqai' al-Siniina wa al-A'awaamu]]: Hii ni kazi ya [[Sayyid Abdul-Hussein Khatun-aabadi]] (aliyefariki mwaka 1105 Hijiria). Kitabu hichi kimegawika katika sehemu tatu. Sehemu ya kwanza inahusiana na historia ya manabii, mwandishi katika sehemu hii, ameainisha majina, umri, na baadhi ya wasifu wa idadi kadhaa ya manabii. Katika sehemu mbili zilizobaki za kitabu hicho, mwandishi amezungumzia matukio yanayohusiana na wakati wa bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w). Waqai' al-Sinin imeandikwa kwa Kifarsi.
* [[Waqai' al-Siniina wa al-A'awaamu]]: Hii ni kazi ya [[Sayyid Abdul-Hussein Khatun-aabadi]] (aliyefariki [[mwaka 1105 Hijiria]]). Kitabu hichi kimegawika katika sehemu tatu. Sehemu ya kwanza inahusiana na historia ya manabii, mwandishi katika sehemu hii, ameainisha majina, umri, na baadhi ya wasifu wa idadi kadhaa ya manabii. Katika sehemu mbili zilizobaki za kitabu hicho, mwandishi amezungumzia matukio yanayohusiana na wakati wa bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w). Waqai' al-Sinin imeandikwa kwa Kifarsi.
* [[Lata'ifu Qasasu al-Anbiya 'Alayhimu al-Salam]]: kilicho andikwa na Sahlu bin Abdullah Tustari (aliye fariki mwaka 238 Hijiria). Kitabu hichi kinaelezea maisha ya manabii kupitia kigezo cha aya za Qur'ani na Riwaya.
* [[Lata'ifu Qasasu al-Anbiya 'Alayhimu al-Salam]]: kilicho andikwa na [[Sahlu bin Abdullah Tustari]] (aliye fariki mwaka 238 Hijiria). Kitabu hichi kinaelezea maisha ya manabii kupitia kigezo cha [[aya za Qur'ani]] na [[Hadithi|Riwaya]].
Hayatu al-Qulubi: Hii ni kazi ya Allama Majlisi (aliyefariki mwaka 1110 Hijiria) na inajumuisha maisha ya manabii pamoja na mawarithi wao. Majlisi katika kitabu hichi amejadili unabii kwa ujumla, uongozi wa Imam Ali (a.s), ulazima wa uwepo wa Imamu, uteuzi wao, na utakaso (umaasumu) wao.
* [[Hayatu al-Qulubi]]: Hii ni kazi ya [[Allama Majlisi]] (aliyefariki [[mwaka 1110 Hijiria]]) na inajumuisha maisha ya manabii pamoja na mawarithi wao. Majlisi katika kitabu hichi amejadili [[unabii kwa ujumla]], [[uongozi wa Imam Ali (a.s)]], ulazima wa uwepo wa [[Imamu]], uteuzi wao, na [[Umaasumu|utakaso]] (umaasumu) wao.
 
Pia, kuna vitabu kadhaa vilivyo andikwa na wanazuoni wa Kisunni kuhusiana na visa vya Manabii ambavyo baadhi yake ni; [[Arā'isu al-Majālisi]] kilichoandikwa na [[Ahmad bin Muhammad Tha'alabi]], "Qasas al-Anbiya" kilichoandikwa na Ibnu Kathir, na "Qasas al-Anbiya" kilichoandikwa na Abu Ishaq al-Nisaburi.
Pia, kuna vitabu kadhaa vilivyo andikwa na wanazuoni wa Kisunni kuhusiana na visa vya Manabii ambavyo baadhi yake ni; [[Arā'isu al-Majālisi]] kilichoandikwa na [[Ahmad bin Muhammad Tha'alabi]], "Qasas al-Anbiya" kilichoandikwa na Ibnu Kathir, na "Qasas al-Anbiya" kilichoandikwa na Abu Ishaq al-Nisaburi.


Automoderated users, confirmed, movedable
7,842

edits