Nenda kwa yaliyomo

Manabii na mitume : Tofauti kati ya masahihisho

No edit summary
Mstari 15: Mstari 15:
Mjumbe ni mtu anaye pokea ujumbe moja kwa moja kutoka kwa Mungu na kuufikisha kwa binadamu bila kuwepo kwa mtu mwengine kati kati. [1] Mtume ni kiungo kati i ya Mwenye Ezi Mungu na waja vyake, na kazi ya Mtume ni kuwaongoza watu kwenye njia ya Mwenye Ezi Mungu [2].
Mjumbe ni mtu anaye pokea ujumbe moja kwa moja kutoka kwa Mungu na kuufikisha kwa binadamu bila kuwepo kwa mtu mwengine kati kati. [1] Mtume ni kiungo kati i ya Mwenye Ezi Mungu na waja vyake, na kazi ya Mtume ni kuwaongoza watu kwenye njia ya Mwenye Ezi Mungu [2].


Kupokea ufunuo, maarifa ya elimu ya ghaibu [3], kuto tenda makosa [4], na kujibiwa maombi yao ni miongoni mwa sifa za manabii. Wanatheolojia wengi wa Kiislamu wanaamini kuwa manabii hawatendi thambi wala hawakosei katika kipengele chochote kila maishani mwao. [6] Kwa hivyo, matukio kama vile kuomba msamaha na ibara ziashiriazo kusamehewa kwao na Mwenye Ezi Mungu zilizotajwa katika Qura’n [7], kama vile tukio la nabii Musa kumuua Mmisri, [8], Nabii Yunus kuacha jukumu yake na kukimbia [9], na kisa cha Nabii Adam kula tunda alilokatazwa [10], yote yamefasiriwa kwa maana ya wao kuacha kutenda lililo bara zaidi, na badala yake wakatenda lenye ubora wa daraja ya chini. Upande wa pili pia kuna baadhi ya wanatheolojia wanao chukulia suala la kutokuwa na makosa kwa manabii kuwa linahusiana na masuala yanayohusiana na Nyanja za kufikisha ujumbe, kwa hiyo wanajuzisha Mitume kufanya makosa katika mambo yanayo husiana na maisha yao ya kila siku [11].
Kupokea [[ufunuo]], maarifa ya [[elimu ya ghaibu]] [3], kuto tenda makosa [4], na [[kujibiwa maombi]] yao ni miongoni mwa sifa za manabii. [[Wanatheolojia wengi wa Kiislamu]] wanaamini kuwa manabii hawatendi [[dhambi]] wala hawakosei katika kipengele chochote kila maishani mwao. [6] Kwa hivyo, matukio kama vile [[Istighfaru|kuomba msamaha]] na ibara ziashiriazo kusamehewa kwao na Mwenye Ezi Mungu zilizotajwa katika [[Qur'an Kareem|Qur'an]] [7], kama vile tukio la [[nabii Mussa]] kumuua Mmisri, [8], [[Nabii Yunus]] kuacha jukumu lake na kukimbia [9], na kisa cha [[Nabii Adam]] kula [[tunda alilokatazwa]] [10], yote yamefasiriwa kwa maana ya wao [[kuacha kutenda lililo bara zaidi]], na badala yake wakatenda lenye ubora wa daraja ya chini. Upande wa pili pia kuna baadhi ya [[wanatheolojia]] wanao chukulia suala la [[Umaasumu wa Manabii|kutokuwa na makosa kwa manabii]] kuwa linahusiana na masuala yanayohusiana na nyanja za kufikisha ujumbe, kwa hiyo wanajuzisha Mitume kufanya makosa katika mambo yanayo husiana na maisha yao ya kila siku [11].


== Idadi ya Manabii ==
== Idadi ya Manabii ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,842

edits