Nenda kwa yaliyomo

Batuli : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:


'''Batuli''' (Kiarabu: '''''البتول''''') Ni jina maalum alilopewa Bibi Fatima (a.s) ambalo kwa mujibu wa maelezo ya wanazuoni ni kwamba yeye alipewa jina hilo kutokana na sifa pekee alizo nazo ukilinganisha na wanawake wengine. Yaani Bibi Fatima kilugha, kimatendo na kifikra ni mwanamke mwenye sifa pekee katika jamii ya wanaadamu, jambo ambalo limepelea yeye kuitwa Batuli. Imamu Ali (a.s) naye ameitwa mume wa Batuli kwa kuwa yeye ameoana na Bibi Fatima (a.s). Hata Bibi Mariamu pia naye yasemekana kwamba alikuwa akiitwa Batuli.
'''Batuli''' (Kiarabu: '''''البتول''''') Ni jina maalum alilopewa Bibi Fatima (a.s) ambalo kwa mujibu wa maelezo ya wanazuoni ni kwamba yeye alipewa jina hilo kutokana na sifa pekee alizo nazo ukilinganisha na wanawake wengine. Yaani Bibi Fatima kilugha, kimatendo na kifikra ni mwanamke mwenye sifa pekee katika jamii ya wanaadamu, jambo ambalo limepelea yeye kuitwa Batuli. [[Imamu Ali (a.s)]] naye ameitwa mume wa Batuli kwa kuwa yeye [[ameoana na Bibi Fatima (a.s)]]. Hata [[Bibi Mariamu]] pia naye yasemekana kwamba alikuwa akiitwa Batuli.


== Batuli kilugha ==
== Batuli kilugha ==
Automoderated users, confirmed, movedable
7,609

edits