Nenda kwa yaliyomo

Batuli : Tofauti kati ya masahihisho

Mstari 8: Mstari 8:
== Sababu ya Bibi Fatima (a.s) kuitwa Batul ==
== Sababu ya Bibi Fatima (a.s) kuitwa Batul ==


Sababu ya bibi Fatima (a.s) kuitwa "al-Batul" inaelezwa kama ifuatavyo:
Sababu ya bibi [[Fatima (a.s)]] kuitwa ''al-Batul'' inaelezwa kama ifuatavyo:
* Kulingana na Hadithi mbalimbali, bibi Fatimah (a.s) alipewa jina la "al-Batul" kwa sababu yeye hakuwa na hedhi.{{Maelezo | Baadhi ya wakati sifa pee isiyo ya kawaida huwa na thamani kubwa. Kama vile sifa ya Nabii Isa kutamka na kujielezea hali akiwa mtoto mchang, sifa ambayo ilikuwa kitendo kisicho cha kawaida, kilicho tendeka kwa idhini ya Mwenye Ezi Mungu, kitendo hicho kilimsafisha mama yake kutokana na tuhuma za watu walikuwa na nia mbovu. Kwa hiyo, ingawa sifa ya kuto kuwa na hedhi kwa wanawake ambao wako katika umri wa kuona hedh,i kunaweza kuwa ni ugonjwa hatari sana na hata kuwaletea madhara, lakini kwa nguvu na hekima za Mwenye Ezi Mungu, yeye amewajaali wanawake maalumu kutokuwa na hedhi, pia akawaepushi madhara yanayo sababishwa na kuto ona hedhi. Jambo ambalo limwewafanya wanawake hao kuwa na fursa kubwa; kwa sababu wanawake katika siku maalum (siku zao za hedhi) hawawezi kusali, kufunga, kuingia kwenye Msikiti Mtakatifu (wa Makka), Msikiti wa Mtume (wa Madina), kusimama ndani ya misikiti, na kugusa maneno na Aya za Qur’ani.  Lakini Bibi Fatima (a.s) kutokana na neema na umakini maalum wa Mwenye Ezi Mungu ameepukana na vizuizi kama hivyo. Kuna Hadithi zisemazo kwamba; Kwa msingi huo huo ulioelezwa hapo juu, Mwenye Ezi Mungu amewafanya mabinti wote wa Mitume walio pita kuwa na sifa kama hiyo. Bwana Mtume (s.a.w.w) amesema: “Hedhi ni jambo lisilopendeza kwa mabinti wa Mitume.” Imenukuliwa Hadithi kutoka kwa Sheikh Saduqu, isemayo: ''((أَنَّ النَّبِيَّ (ص) سُئِلَ مَا الْبَتُولُ فَإِنَّا سَمِعْنَاكَ يَا رَسُولَ اللهِ تَقُولُ إِنَّ مَرْيَمَ بَتُولٌ وَ فَاطِمَةَ بَتُولٌ فَقَالَ (ص) الْبَتُولُ الَّتِي لَمْ تَرَ حُمْرَةً قَطُّ أَيْ لَمْ تَحِضْ فَإِنَّ الْحَيْضَ مَكْرُوهٌ فِي بَنَاتِ الْأَنْبِيَاءِ ; Mtume (s.a.w.w) aliulizwa, "Ni nini maana ya Batul? Hakika sisi tumekusikia, ewe Mtume wa Mwenye Ezi Mungu, ukisema kwamba Mariamu ni Batul na Fatima ni Batul."Bwana Mtume (s.a.w.w) akasema, "Batul ni yule ambaye kamwe hajawahi kuona wekundu, yaani hakuwahi kupata hedhi. Kwa maana kwamba hedhi ni jambo lisilopendeza (makruhu) kwa binti za manabii''. kitabu ‘Ilalu al-Shara’i, chapa ya Al-Maktabatu Al-Haydariyya, Juzuu ya 1, ukurasa 181.}}
* Kulingana na Hadithi mbalimbali, bibi Fatimah (a.s) alipewa jina la al-Batul kwa sababu yeye hakuwa na hedhi.{{Maelezo | Baadhi ya wakati sifa pee isiyo ya kawaida huwa na thamani kubwa. Kama vile sifa ya Nabii Isa kutamka na kujielezea hali akiwa mtoto mchang, sifa ambayo ilikuwa kitendo kisicho cha kawaida, kilicho tendeka kwa idhini ya Mwenye Ezi Mungu, kitendo hicho kilimsafisha mama yake kutokana na tuhuma za watu walikuwa na nia mbovu. Kwa hiyo, ingawa sifa ya kuto kuwa na hedhi kwa wanawake ambao wako katika umri wa kuona hedh,i kunaweza kuwa ni ugonjwa hatari sana na hata kuwaletea madhara, lakini kwa nguvu na hekima za Mwenye Ezi Mungu, yeye amewajaali wanawake maalumu kutokuwa na hedhi, pia akawaepushi madhara yanayo sababishwa na kuto ona hedhi. Jambo ambalo limwewafanya wanawake hao kuwa na fursa kubwa; kwa sababu wanawake katika siku maalum (siku zao za hedhi) hawawezi kusali, kufunga, kuingia kwenye Msikiti Mtakatifu (wa Makka), Msikiti wa Mtume (wa Madina), kusimama ndani ya misikiti, na kugusa maneno na Aya za Qur’ani.  Lakini Bibi Fatima (a.s) kutokana na neema na umakini maalum wa Mwenye Ezi Mungu ameepukana na vizuizi kama hivyo. Kuna Hadithi zisemazo kwamba; Kwa msingi huo huo ulioelezwa hapo juu, Mwenye Ezi Mungu amewafanya mabinti wote wa Mitume walio pita kuwa na sifa kama hiyo. Bwana Mtume (s.a.w.w) amesema: “Hedhi ni jambo lisilopendeza kwa mabinti wa Mitume.” Imenukuliwa Hadithi kutoka kwa Sheikh Saduqu, isemayo: ''((أَنَّ النَّبِيَّ (ص) سُئِلَ مَا الْبَتُولُ فَإِنَّا سَمِعْنَاكَ يَا رَسُولَ اللهِ تَقُولُ إِنَّ مَرْيَمَ بَتُولٌ وَ فَاطِمَةَ بَتُولٌ فَقَالَ (ص) الْبَتُولُ الَّتِي لَمْ تَرَ حُمْرَةً قَطُّ أَيْ لَمْ تَحِضْ فَإِنَّ الْحَيْضَ مَكْرُوهٌ فِي بَنَاتِ الْأَنْبِيَاءِ ; Mtume (s.a.w.w) aliulizwa, "Ni nini maana ya Batul? Hakika sisi tumekusikia, ewe Mtume wa Mwenye Ezi Mungu, ukisema kwamba Mariamu ni Batul na Fatima ni Batul."Bwana Mtume (s.a.w.w) akasema, "Batul ni yule ambaye kamwe hajawahi kuona wekundu, yaani hakuwahi kupata hedhi. Kwa maana kwamba hedhi ni jambo lisilopendeza (makruhu) kwa binti za manabii''. kitabu ‘Ilalu al-Shara’i, chapa ya Al-Maktabatu Al-Haydariyya, Juzuu ya 1, ukurasa 181.}}
* Alikuwa ni tofauti na wanawake wengine wa wakati wake; Yeye alitofautiana nao kimatendo, kitabia, na elimu. Yeye alikuwa amefikia hali ya kukata mguu katika kuiendea duni na hakuwa na jingine lililomo moyoni mwake zaidi ya Allah.
* Alikuwa ni tofauti na wanawake wengine wa wakati wake; Yeye alitofautiana nao kimatendo, kitabia, na elimu. Yeye alikuwa amefikia hali ya kukata mguu katika kuiendea duni na hakuwa na jingine lililomo moyoni mwake zaidi ya Allah.
* Alikuwa ni mbora kuliko wanawake wengine katika kuwa na haya, dini, hadhi, na nasaba.
* Alikuwa ni mbora kuliko wanawake wengine katika kuwa na haya, dini, hadhi, na nasaba.
Automoderated users, confirmed, movedable
7,609

edits