Batuli : Tofauti kati ya masahihisho
→Batuli kilugha
(→Vyanzo) |
|||
Mstari 4: | Mstari 4: | ||
== Batuli kilugha == | == Batuli kilugha == | ||
Neno Batuli ''(بَتْل)'': Ni neno la Kiarabu ambalo ni maana ya "kutenganisha kitu kutoka katika kitu chengine" au kwa maana "kukata". Kwa hiyo | Neno Batuli ''(بَتْل)'': Ni neno la Kiarabu ambalo ni maana ya "kutenganisha kitu kutoka katika kitu chengine" au kwa maana "kukata". Kwa hiyo Batuli ''(بَتُول)'' hutumika kumrejelea mwanamke bikira anaye kaa mbali na kujitenga na wanaume, ambaye amejitenga na ndoa na wala hana hamu au hisia yoyote kuhusiana na wanaume. [1] Kwa mfano, bibi Mariamu, mama wa nabii Isa (a.s), yeye alijulikana kama ni ''(بَتُول)'', kwa sababu kule yeye kujitenga na wanaume. [2] Pia jina Batuli linaweza kutumika kumrejelea mwanamke ambaye amemshiba Mungu wake na kumweke yeye peke yaka ndani ya my wake, kisha akajitenga na kukata mguu wake juu ya mambo ya kidunia. [3] | ||
== Sababu ya Bibi Fatima (a.s) kuitwa Batul == | == Sababu ya Bibi Fatima (a.s) kuitwa Batul == |