Nenda kwa yaliyomo

Ubora wa Imamu : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Ubora wa Imamu''' (Kiarabu: '''''أفضلية الإمام'''''); Katika nafasi ya Uimamu, suala la ubora ni mojawapo ya masharti ya kustahiki nafasi ya Uimamu. Hii inamaanisha kwamba; Mtu anaye stahiki kuwa Imamu ni yule mtu mwenye ubora katika sifa tofauti pamoja na ubora wa maadili ya kibinadamu ukilinganisha na wengine. Kulingana na maoni ya [[wanatheolojia wa madhehebu ya Shia Ithanaashariyyah]], Imamu anapaswa kuwa mbora kuliko wengine; [[kielimu]], [[kidini]], [[kiuchamungu]], [[kiukarimu]] na [[kiujasiri]]. Imamu pia anatakiwa awe ni mtu wa mbele kabisa kuliko wengine katika njia ya kutafuta [[ujira]] na manufaa ya [[Akhera]] ... Suala la sharti ya ubora wa mshika nafasi ya Uimamu, imethibitishwa kupitia hoja ya kiakili za ni: ''“tarjihu bilaa Murajjih”'' "kuto kuingia akilini tendo kuchagua kitu fulani na kuachana na chengini bila sababu maalumu" na ''“Kubhu taqdiimu al-mafdhuli ‘ala al-fadhil”'' "kuto kubalika chaguo  la kuchagua kilicho duni na kuachana na kilicho bora" na pia Hadithi ya Mtume (s.a.w.w) isemayo: "Kiongozi yeyote anayeongoza watu, kisha miongoni mwao kukawa kuna mtu aliye na elimu Zaidi kuliko yeye, mambo ya watu hao yataendelea kuwa mbaya hadi siku ya Kiyama."Pia ukachana na hoja hizi, kuna baadhi ya [[aya za Qur'an]] zilizo tumika katika kusisitiza suala hilo.
'''Ubora wa Imamu''' (Kiarabu: '''''أفضلية الإمام'''''); Katika nafasi ya Uimamu, suala la ubora ni mojawapo ya masharti ya kustahiki nafasi ya Uimamu. Hii inamaanisha kwamba; Mtu anaye stahiki kuwa Imamu ni yule mtu mwenye ubora katika sifa tofauti pamoja na ubora wa maadili ya kibinadamu ukilinganisha na wengine. Kulingana na maoni ya [[wanatheolojia wa madhehebu ya Shia Ithanaashariyyah]], Imamu anapaswa kuwa mbora kuliko wengine; [[kielimu]], [[kidini]], [[kiuchamungu]], [[kiukarimu]] na [[kiujasiri]]. Imamu pia anatakiwa awe ni mtu wa mbele kabisa kuliko wengine katika njia ya kutafuta [[ujira]] na manufaa ya [[Akhera]] ... Suala la sharti ya ubora wa mshika nafasi ya Uimamu, imethibitishwa kupitia hoja ya kiakili za ni: tarjihu bilaa Murajjih "kuto kuingia akilini tendo kuchagua kitu fulani na kuachana na chengini bila sababu maalumu" na Kubhu taqdiimu al-mafdhuli ‘ala al-fadhil "kuto kubalika chaguo  la kuchagua kilicho duni na kuachana na kilicho bora" na pia Hadithi ya Mtume (s.a.w.w) isemayo: "Kiongozi yeyote anayeongoza watu, kisha miongoni mwao kukawa kuna mtu aliye na elimu Zaidi kuliko yeye, mambo ya watu hao yataendelea kuwa mbaya hadi siku ya Kiyama". Pia ukachana na hoja hizi, kuna baadhi ya [[aya za Qur'an]] zilizo tumika katika kusisitiza suala hilo.

Wengi wa Waislamu wa madhehebu ya [[Sunni]] hawaoni suala la ubora wa Imamu kuwa suala la lazima au [[wajibu]], bali kwa mtazamo wao hata mtu wa daraja ya chini pia anaweza kuwa Imamu katika hali ya kuwepo kwa kikwazo au manufaa maalumu. Kulingana na maelezo ya [[Saad al-Din al-Taftazani]], mwanatheolojia wa Kisunni wa [[karne ya nane ya Hijiria]], ni kwamba; Kwa mujibu wa maoni ya Sunni na madhehebu mengi ya Kiislamu, katika zama na nyakati zote, Uimamu ni haki ya yule aliye mbora zaidi miongoni mwa wanajamii, isipokuwa kama uteuzi wake utapelekea machafuko na fitna katika jamii. Hoja na vielelezo juu ya maoni ya Kisunni; ni [[mawafikiano]] ya wanazuoni juu ya kukubalika uteuzi wa Imamu kupitia makubaliano na maridhiano ya wanajamii katika kumchagua imamu mwenye daraja ya chini baada zama za [[Khulafau al-Rashidina]] na tendo la [[khalifa wa pili]] la kuteuwa [[kamati ya watu sita]] ili wamchague mmoja kati yao awe khalifa.

Kulingana na wanazuoni wa [[Shia Imamiyyah|Shia]] ni kwamba, [[Maimamu wa Kishia|Maimamu wa Shia (a.s)]], baada ya [[Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w)]], ni bora zaidi kuliko viumbe wote Mwenyezi Mungu. [[Allama Majlisi]] anaamini kwamba ni mjinga mpeke yake ndiye anaye kataa ubora wa Maimu wa Kishia. Hoja ya ubora wa mtu anayetaka kushika nafasi ya Uimamu, ndiyo hoja iliyo tumika kuthibitisha Uimamu wa Imam Ali (a.s), ambayo huitwa "[[hoja ya ubora]]".
Kulingana na wanazuoni wa [[Shia Imamiyyah|Shia]] ni kwamba, [[Maimamu wa Kishia|Maimamu wa Shia (a.s)]], baada ya [[Mtume wa Mwenyezi Mungu (s.a.w.w)]], ni bora zaidi kuliko viumbe wote Mwenyezi Mungu. [[Allama Majlisi]] anaamini kwamba ni mjinga mpeke yake ndiye anaye kataa ubora wa Maimu wa Kishia. Hoja ya ubora wa mtu anayetaka kushika nafasi ya Uimamu, ndiyo hoja iliyo tumika kuthibitisha Uimamu wa Imam Ali (a.s), ambayo huitwa [[hoja ya ubora]].

== Welewa wa dhana na upeo wake ==
== Welewa wa dhana na upeo wake ==
Mstari 15: Mstari 15:
Wanatheolojia wa Shia Imamia wanaamini kwamba ubora ni mojawapo ya masharti ya Uimamu [8] nao wanakubaliana na [[wanawafikiana kinadharia]] juu ya hili. [9] Ili kuthibitisha ubora wa Imamu, hoja za kimantiki na vielelezo vya maandiko vimewasilishwa ili kudhatiti dhana hiyo.

===Hoja za kimantiki ===
=== Hoja za kimantiki ===

# Katika wasifu na ukamilifu, Imamu anaweza kuwa na hali tatu tofauti; ima atakuwa ni sawa na wengine au duni kuliko wao au anaweza kuwa ni mbora zaidi ya wao. Ikiwa yeye atakuwa ni sawa na wengine, kumchagua yeye kama ni Imamu chaguo hilo litakuwa na upendeleo lisilotegemea uzito wowote ule katika chaguo hilo. Kitaalamu chaguo la aina hii huitwa (kuchagua la moja ya vitu viwili vilivyo sawa, bila ya kuwepo sababu maalumu), ambapo kwa lugha ya Kiarabu huitwa “Tarjihu bilaa murajjihi”. Iwapo Imamu atakuwa duni kuliko wengine, katika hali hii, kwa mujibu wa hukumu ya akili, ni kwamba; kumpendelea mtu duni kuliko aliye bora, ni jambo la kuchukiza na lisilo ingia akili. Kwa hiyo Imamu ni lazima awe bora kuliko wengine. [10]

Mstari 23: Mstari 23:
=== Hoja na vielelezo vya maandiko ===
=== Hoja na vielelezo vya maandiko ===
   
Kuna vielelezo kadhaa vya maandiko vilivyo tumika katika kuwasilisha na kuthibitisha hoja ya ulazima wa kuwepo kiwango cha ubora kilicho wapindukia wengine kwa mtu anaye taka kushika nafasi ya Uimamu. Miongoni mwa maandiko yalio tumika kuthibitisha hilo ni; Aya ya 35 ya Surat Yunus, [13] [[Aya ya Sadiiqina]] (Aya ya 119 ya Suratu al-Towbah) [14] na Aya ya 9 ya Suratu al-Zamar. [15] Aya hizi zimetajwa kama ni hoja katika kuthibitisha ubora wa Imamu. Katika aya hizi, imebainishwa kwamba; mwenye kuongoza kwenye haki anatangulizwa mbele kuliko yule anayehitaji kuongozwa, kutangulizwa “aliye mwaminifu” kuliko asiye kuwa mwaminifu, na kupewa kipau mbele mwanachuoni kuliko asiyekuwa mwanachuoni. yote haya yanaonyesha kipaumbele cha mtu mwenye uzito maalumu kuliko mtu asiye kuwa na uzito wowote ule naozingatiwa kuwa ni sifa njema zinazo mwezesha mtu kuiongoza jamii kwa mfumo salama. [16]  
Kuna vielelezo kadhaa vya maandiko vilivyo tumika katika kuwasilisha na kuthibitisha hoja ya ulazima wa kuwepo kiwango cha ubora kilicho wapindukia wengine kwa mtu anaye taka kushika nafasi ya Uimamu. Miongoni mwa maandiko yalio tumika kuthibitisha hilo ni; Aya ya 35 ya Surat Yunus, [13] [[Aya ya Sadiiqina]] (Aya ya 119 ya Surat al-Towbah) [14] na Aya ya 9 ya Surat al-Zamar. [15] Aya hizi zimetajwa kama ni hoja katika kuthibitisha ubora wa Imamu. Katika aya hizi, imebainishwa kwamba; mwenye kuongoza kwenye haki anatangulizwa mbele kuliko yule anayehitaji kuongozwa, kutangulizwa “aliye mwaminifu” kuliko asiye kuwa mwaminifu, na kupewa kipau mbele mwanachuoni kuliko asiyekuwa mwanachuoni. yote haya yanaonyesha kipaumbele cha mtu mwenye uzito maalumu kuliko mtu asiye kuwa na uzito wowote ule naozingatiwa kuwa ni sifa njema zinazo mwezesha mtu kuiongoza jamii kwa mfumo salama. [16]  

Ili kuthibitisha kuwa ubora wa sifa maalumu, ni jambo la kwa mshika nafasi ya Uimamu, Wanazuoni wanukuu Hadith kadhaa kama ni vielelezo juu ya ulazima wa jambo hilo. [17] Kwa mfano, katika Hadithi iliyopokewa kutoka kwa Mtume (s.a.w.w), yeye amesema kwamb: "Mwenye kuongoza umma na ndani yao kukawa na mtu mbora zaidi kielemu kuliko yeye, basi mambo yao yataendelea kuharibika mpaka Siku ya Kiyama". Pia kwa upande wa madhehebu ya Sunni, mepokewa Hadithi isemayo kwamba; Abu Darda alikuwa akitembea mbele ya Abu Bakr, Mtume (s.a.w.w) akamwambia: “Je (huoni kwamba), unatembea mbele ya mtu ambaye ni mbora kuliko wewe duniani na Akhera?” [20] Imeelezwa kwamba; Riwaya hii inasisitiza ubaya wa kutembea na kumtangulia mbele mtu aliye zidi daraja kuliko wengine. Kwa hiyo, itakuwa ni vibaya zaidi kumtanguliza mtu wa chini kwenye nafasi ya Uimamu na kuachana na yule aliye juu zaidi yake. [21]
Ili kuthibitisha kuwa ubora wa sifa maalumu, ni jambo la kwa mshika nafasi ya Uimamu, Wanazuoni wanukuu Hadith kadhaa kama ni vielelezo juu ya ulazima wa jambo hilo. [17] Kwa mfano, katika Hadithi iliyopokewa kutoka kwa Mtume (s.a.w.w), yeye amesema kwamb: "Mwenye kuongoza umma na ndani yao kukawa na mtu mbora zaidi kielemu kuliko yeye, basi mambo yao yataendelea kuharibika mpaka Siku ya Kiyama". Pia kwa upande wa madhehebu ya Sunni, mepokewa Hadithi isemayo kwamba; Abu Darda alikuwa akitembea mbele ya Abu Bakr, Mtume (s.a.w.w) akamwambia: “Je, (huoni kwamba), unatembea mbele ya mtu ambaye ni mbora kuliko wewe duniani na Akhera?” [20] Imeelezwa kwamba; Riwaya hii inasisitiza ubaya wa kutembea na kumtangulia mbele mtu aliye zidi daraja kuliko wengine. Kwa hiyo, itakuwa ni vibaya zaidi kumtanguliza mtu wa chini kwenye nafasi ya Uimamu na kuachana na yule aliye juu zaidi yake. [21]

== Kwa mtazamo wa Ahlu al-Sunnah, inajuzu mtu wa chini kushika nafasi ya Uimamu ==
== Kwa mtazamo wa Ahlu al-Sunnah, inajuzu mtu wa chini kushika nafasi ya Uimamu ==
Mstari 31: Mstari 31:
[[Masunni]] wengi hawachukulii ubora wa Imamu kuwa ni sharti au faradhi na kwa mtazamo wao mtu wa daraja ya chini anaweza kumtangulia na kumpiku mwenye daraja ya juu katika kushika nafasi ya Uimamu.  
[[Masunni]] wengi hawachukulii ubora wa Imamu kuwa ni sharti au faradhi na kwa mtazamo wao mtu wa daraja ya chini anaweza kumtangulia na kumpiku mwenye daraja ya juu katika kushika nafasi ya Uimamu.  

'''Mtazamo wa wanazuoni wa Kiash'ariy''': Wanatheolojia wa [[Ash'ari]] hawakubali ulazima na sharti ya ubora wa Imamu. Kwa sababu hii, wao wanaona kuwa inajuzu kumuweka au kumchagua [[Imamu]] wa daraja ya chini na kuachana na Imamu wa daraja la juu. [22] Hata hivyo, Qazi Abu Bakar Baghalani, mwanatheolojia wa Ash'ari wa karne ya tano Hijiria, ana maoni kwamba; ubora ni moja ya sifa za lazima za Imamu, isipokuwa kama kutajitokeza kizuizi juu ya kumteua Imamu bora, katika hali kama hiyo inajuzu mwenye daraja ya kuchaguliwa kama ni Imamu na kuachana na yule mwenye daraja kuliko yeye. [23] Yeye ametaja vielelezo kadhaa katika kuthibitisha ulazima huo wa ubora katika kushika nafasi ya uongozi, miongoni mwazo ikiwemo Hadithi ya Mtume (s.a.w.w) isemayo: ''“یَؤُمُّ القَومَ اَفْضَلُهُم” Mtu bora wa taifa ndiye anaye takiwa kuliongoza taifa'' (mbora wa kaumu ndiye anaye takiwa kuiongoza kaumu." [24] Baghelani anaamini kwamba; ikiwa kuna hofu ya machafuko, ufisadi, kuzorota au kutoweka kwa [[hukumu za kisheria]], au kuhofiwa kwa uroho wa maadui wa [[Uislamu]] kuunyemelea Uislamu na kuuhujumu, hicho kitakuwa ni kisingizio tosha na halali cha kumwacha mtu bora na kumkabishi uongozi mtu mwenye daraja ya chini kuliko yeye. [25] Pia, kwa mujibu wa maelezo ya Saad al-Din Taftazani, mmoja wa wanatheolojia wa Ash'ari wa karne ya 8, ni kwamba; Makundi mengi ya Sunni na madhehebu kadhaa ya Kiislamu yanaamini kwamba, Uimamu ni haki ya mtu aliye mbora zaidi kuliko wengine. Nadharia inafanya kazi katika kila zama na nyakati, isipokuwa wakati ambao Uimamu wake utakuwa ndio chanzo cha machafuko na fitna, katika hali hiyo nadharia hii itabidi kuwekwa kando. [26]
'''Mtazamo wa wanazuoni wa Kiash'ariy''': Wanatheolojia wa [[Ash'ari]] hawakubali ulazima na sharti ya ubora wa Imamu. Kwa sababu hii, wao wanaona kuwa inajuzu kumuweka au kumchagua [[Imamu]] wa daraja ya chini na kuachana na Imamu wa daraja la juu. [22] Hata hivyo, Qazi Abu Bakar Baghalani, mwanatheolojia wa Ash'ari wa karne ya tano Hijiria, ana maoni kwamba; ubora ni moja ya sifa za lazima za Imamu, isipokuwa kama kutajitokeza kizuizi juu ya kumteua Imamu bora, katika hali kama hiyo inajuzu mwenye daraja ya kuchaguliwa kama ni Imamu na kuachana na yule mwenye daraja kuliko yeye. [23] Yeye ametaja vielelezo kadhaa katika kuthibitisha ulazima huo wa ubora katika kushika nafasi ya uongozi, miongoni mwazo ikiwemo Hadithi ya Mtume (s.a.w.w) isemayo: ''(یَؤُمُّ القَومَ اَفْضَلُهُم) Mtu bora wa taifa ndiye anaye takiwa kuliongoza taifa'' (mbora wa kaumu ndiye anaye takiwa kuiongoza kaumu." [24] Baghelani anaamini kwamba; ikiwa kuna hofu ya machafuko, ufisadi, kuzorota au kutoweka kwa [[hukumu za kisheria]], au kuhofiwa kwa uroho wa maadui wa [[Uislamu]] kuunyemelea Uislamu na kuuhujumu, hicho kitakuwa ni kisingizio tosha na halali cha kumwacha mtu bora na kumkabishi uongozi mtu mwenye daraja ya chini kuliko yeye. [25] Pia, kwa mujibu wa maelezo ya Saad al-Din Taftazani, mmoja wa wanatheolojia wa Ash'ari wa karne ya 8, ni kwamba; Makundi mengi ya Sunni na madhehebu kadhaa ya Kiislamu yanaamini kwamba, Uimamu ni haki ya mtu aliye mbora zaidi kuliko wengine. Nadharia inafanya kazi katika kila zama na nyakati, isipokuwa wakati ambao Uimamu wake utakuwa ndio chanzo cha machafuko na fitna, katika hali hiyo nadharia hii itabidi kuwekwa kando. [26]

'''Muutazila''': Pia [[Muutazila]] hawaoni ubora wa imamu kuwa ni [[wajibu]] katika kumchagua bali wanaona kuwa inajuzu kumpa kipaumbele mtu mwengine ambaye kidaraja yuko chini zaidi. Pia baadhi ya wakati mteua na mtu wa daraja la chini huwa ni bra Zaidi kuliko kumpa nafasi hiyo aliye bora ambaye kisifa na wasifu ndiye anayestahili zaidi. Baadhi ya mambo ambayo yanaweza kupelekea kutopewa kipau mbele kwa mtu aliye bora ni pamoja na:

Mstari 66: Mstari 66:
Kuna Aya na Riwaya kadhaa zilizo tajwa kwa ajili ya kuthibitisha ubora wa Imamu Ali (a.s) kuliko watu wengine wakiwemo [[masahaba]]. [39] Allama Hilli katika [[Kashf al-Murad]] [40] ametoa hoja na vielelezo 25 na [[Ibn Maitham Bahrani]] katika kitabu [[al-Najaatu fi al-Qiyaama]] [41] ametoa hoja 22 juu ya ubora wa Imam Ali (a.s.). Baadhi ya hoja hizi ni; [[Aya ya Mubahala]], [[Aya ya Mawaddah]], [[Hadithi ya Tairu]], [[Hadithi ya Manzila]] na [[Hadithi ya Rayah]]. [42] Imeelezwa kuwa wafuasi wote [[Mu'utazila]] wa Baghdad, ikiwa ni pamoja na [[Ibn Abi al-Hadid]], ambaye ni mfasiri wa [[Nahju al-Balagha]], na baadhi ya wafuasi wa Mu'utazila wa Basra pia wamemzingatia Imamu Ali (a.s) kuwa ni mtu bora kuliko [[Makhalifa watatu]] pamoja na [[masahaba]] wengine wote. [43]

=== Thibitisho la hoja ya Ubora ===
=== Thibitisho la hoja ya ubora ===

Ubora wa Imamu umetumiwa kama ni hoja juu ya kuthibitisha Uimamu wa Imam Ali (a.s). Uthibitisho huu, unaojulikana kama Uthibitisho wa Ubora, ni kama ifuatavyo:
Ubora wa Imamu umetumiwa kama ni hoja juu ya kuthibitisha Uimamu wa Imam Ali (a.s). Uthibitisho huu, unaojulikana kama Uthibitisho wa Ubora, ni kama ifuatavyo:
Automoderated users, confirmed, movedable
5,705

edits